Unapata mvinyo tartiiiiiiibuuuuu....wk end imeanza.![]()
![]()
![]()
natamani ujue niko wapi saa hii
Naamini huu ni wakati muafaka wa kusoma huu uzi...!kama uko chumbani kwako angalia position ya kitanda chako na jiulize kama una amani...!!!
Wengi wetu hupenda kubadili position ya kitanda chumbani kila baada ya muda fulani...hii ni natural attraction ambayo huleta mtazamo mpya na mvuto pia.
Lakini kama wewe ni mfuatiliaji lazima Ulishawahi kukumbana na hiki kisanga kwamba baada tu ya kubadili mkao wa kitanda chumbani basi maruerue ndoto za kutisha na majinamizi vimekuwa havikomi usiku chumbani
Wengi bila kujua asili ya tatizo wamejikuta wakikimbilia kwa waganga wa kienyeji na kupoteza pesa nyingi lakini ukweli ni huu hapa
Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni mapito ya nguvu za giza
.Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni makazi ya roho chafu
Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni centre ya mawasiliano kati ya nguvu za giza na ulimwengu wa roho
Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni makazi ya roho za uharibifu
Hivyo basi unapobadili position ya kitanda na usiku wa kwanza au wiki ya kwanza ukaanza kupata mambo mageni usihangaike wala kupata shida na waganga wa kienyeji ama fikra za kufanyiwa ushirikina peleka kitanda chako upande mwingine utakuwa umesolve tatizo ambalo lingekugharimu pesa mingi.
Angalizo; Si wote wanaokutana na hizi hali na kwa wale wanaosali na kufanya dua kabla ya kulala ni mara chache mno kukutana na hizi hali
Replies za namna hii kwangu huwa ni burudani tuu kwakuwa najua hujui na hutaki kujua ...! Hauko peke yako mko wengi halafu kiuhalisia ni kwamba hakuna wabovu kama ninyiAkili yako inahitaji msaada. Hivi kweli bado unamawazo potofu namna hii? ?!!kweli Tanzania bado sana sijui umeamka na mbege za wapi aisee
WeeeeeeeeHata sikihamishi, huu upande una usingizi mtaam kweli kweli... Inaelekea kona hii haina mambo mengi
Sinaga wasi wasi na weweView attachment 368955View attachment 368956Kama huvijui hivi vitu uliza upewe elimu au ulidhani nimetunga tu kichwani mwangu? Kila niwekacho hapa nimejiridhisha na uhalisia wake...siandiki kufurahisha genge ndugu yangu
Nyie ndio mnarudisha maendeleo ya nchi nyuma! Think big aiseeReplies za namna hii kwangu huwa ni burudani tuu kwakuwa najua hujui na hutaki kujua ...! Hauko peke yako mko wengi halafu kiuhalisia ni kwamba hakuna wabovu kama ninyi
Duuh huu utaalam aisee teh teh teh,hawa ndo Wakina Newton wa kibongo.Nyongeza kwa wasomaji. Hata siku moja usiweke kitanda sehemu ya kichwa ikaelekezwa kaskazini. Elekeza sehemu yoyote isipokuwa kaskazini tu. Sababu za kutoelekeza kichwa kaskazini ni kwa sababu zifuatazo. Kwanza kwenye damu ya mwanadamu kuna kitu kinaitwa Haemoglobin ambayo ina madini ya iron ambayo ndiyo utumika kusafirisha oxygen kwenye mwili wa binadamu. Dunia pia imejazwa na magnetic field ambazo ambazo sifa zake ni kwamba siku zote ni kwamba nguvu za uvutano uelekea kazikanini. Hivyo basi u napolala wakati kichwa kimelekea kazikazini madhara yake ni kwamba nguvu ya uvutano ya sumaku (magnetic field) itavuta ubongo wako uliona madini ya chuma (iron) na kukusababishia mgandamizo (pressure) kwenye ubongo wako ambao unaweza kukusababisha stroke.