Badili mkao wa kitanda chumbani

................Angalizo; Si wote wanaokutana na hizi hali na kwa wale wanaosali na kufanya dua kabla ya kulala ni mara chache mno kukutana na hizi hali................... Hasa kwa hakika.
 
hivi ni sahii kununua kitanda au godoro la mtumba au alilotumia mtu mwingine,au ni sahihi kuoa na ukaendelea kutumia kitanda chako cha enzi za ubachela amabacho makahaba rasmi na wasio rasmi walilala
Hahhahahaaaa hii haina madhara kaka labda tu kama hapo nyuma lilifanyiwa colabo na mambo yetu yale
Vp naona jana hatukuwasiliana tena, kama upo maeneo tuonane
 
Hahhahahaaaa hii haina madhara kaka labda tu kama hapo nyuma lilifanyiwa colabo na mambo yetu yale
Vp naona jana hatukuwasiliana tena, kama upo maeneo tuonane
ahahaha kuna makahaaba wengine wana gundu mkuu,itabidi nikuone leo.ila kuna kabila mbeya ni marufuku kwa mwanaume kuoa na kumlaza mkeo kwenye kitanda cha zamani
 
yaani kalumanzila nawe una mambo!! mie nishakigeuza weeee kila upande ila usingizi mtamuuuu!!
 
Mimi mkuu mshana nahitaji uniambie ni wapi naweza kupata pete ya kuniwezesha kupata fedha kwa miujiza
 

Pamoja na kwamba umeegemea upande MMOJA tu, pia kwenye swala la IMANI tunaamini kuna roho wa Mungu wa kupambana na nguvu za giza. Kwa muumini aliyesimama imara wala hawezi tishiwa na chochote maana Mungu akiwa upande wetu ni nani awezaye kutushinda? Mungu ni muumba na mweza yote, hakuna kiumbe kinachoweza kusimama mbele yake. So guys, welcome close to GOD for everlasting safety!
 
Umesoma hapo kwenye angalizo lakini?
 


well noted
 
duh.............kua uyaone
 
Ama kweli Kigoma wakarimu sana, maana si kwa karibu hizo,
Nitakaribia Mungu akipenda,

Mwanga au Ujiji?
...hahahaha...hata ukishindwa kukaribia 'kwa bahati mbaya' atakuwa kapenda pia!
....Mwanga,Ujiji waulizia asili,ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…