Badili mkao wa kitanda chumbani

Badili mkao wa kitanda chumbani

Uhalisia ni upi sasa hapo? Kisa tu michoro na maneno yaloandikwa in english kunatosha kutufanya tuamini umefanya tafiti na kwamba tukubaliane na ramli zako? Kisa imeandikwa kwa kiingereza na michoro yake...

Hayo unayotueleza ni kuwajengea tu watu wa Mungu hofu unnecessarily!

Kwa wale wakirsto, damu ya mwana kondoo wa Mungu (Yesu Kristo) yatosha. Weka kitanda chako kona yoyote, elekeza kokote utakako lala kwa amani yote ya Bwana Yesu na hutopata usumbufu wowote!

Hayo mengine tuwaachie wapagani na uchawi wao...

Ps: hivi majuzi tu ulikuwa unachambua somo moja zuri na zito la "Malango", ulisema mwenyewe umeachana na haya Mambo lkn sasa Umerudi tena kuwatia watu wa Mungu hofu na imani za ajabu ajabu!

Acha kuwatia watu wa Mungu hofu na usumbufu usio wa lazma!
1469148268626.jpg
 
Kwa hiyo chumba cha kulala kikiwa duara haya mambo unayosema hayapo? Nikilala sebureni je, yatakuwepo? Mimi naona haya mambo yana-exist kwenye mind yako na namna ya kuyafahamu si njia ya scientific research inayofahamika.
Kama unadhani dunia ipo kama ilivyo leo kwa scientific research tu unahitaji darasa zaidi
Hivi kwani chumba cha duara hakina pande nne?
 
Mshana ni moja ya koo maskini na ya kishirikina kule upareni...

Sitashangaa kusikia huyu jamaa anawapiga fix mpaka wabunge na mawaziri na anawalambia pesa zao
Replies kama hizi huwa ni sawa na chachandu kwenye nyama choma, hazina faida zaidi ya kunogesha ulaji
 
Naamini huu ni wakati muafaka wa kusoma huu uzi...!kama uko chumbani kwako angalia position ya kitanda chako na jiulize kama una amani...!!!

Wengi wetu hupenda kubadili position ya kitanda chumbani kila baada ya muda fulani...hii ni natural attraction ambayo huleta mtazamo mpya na mvuto pia.

Lakini kama wewe ni mfuatiliaji lazima Ulishawahi kukumbana na hiki kisanga kwamba baada tu ya kubadili mkao wa kitanda chumbani basi maruerue ndoto za kutisha na majinamizi vimekuwa havikomi usiku chumbani

Wengi bila kujua asili ya tatizo wamejikuta wakikimbilia kwa waganga wa kienyeji na kupoteza pesa nyingi lakini ukweli ni huu hapa

Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni mapito ya nguvu za giza

.Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni makazi ya roho chafu

Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni centre ya mawasiliano kati ya nguvu za giza na ulimwengu wa roho

Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni makazi ya roho za uharibifu

Hivyo basi unapobadili position ya kitanda na usiku wa kwanza au wiki ya kwanza ukaanza kupata mambo mageni usihangaike wala kupata shida na waganga wa kienyeji ama fikra za kufanyiwa ushirikina peleka kitanda chako upande mwingine utakuwa umesolve tatizo ambalo lingekugharimu pesa mingi.

Angalizo;
Si wote wanaokutana na hizi hali na kwa wale wanaosali na kufanya dua kabla ya kulala ni mara chache mno kukutana na hizi hali
Mkuu nimekuwa muumini wa kusoma thread zako nikijipatia ufahamu wa mambo mapya na magumu.nawaza kwa sauti na kona umuhimu wa kuuliza swali kwako mkuu.hivi mkuu Elimu ya haya mambo unayotupatia inapatikana chuo gani?
 
Naamini huu ni wakati muafaka wa kusoma huu uzi...!kama uko chumbani kwako angalia position ya kitanda chako na jiulize kama una amani...!!!

Wengi wetu hupenda kubadili position ya kitanda chumbani kila baada ya muda fulani...hii ni natural attraction ambayo huleta mtazamo mpya na mvuto pia.

Lakini kama wewe ni mfuatiliaji lazima Ulishawahi kukumbana na hiki kisanga kwamba baada tu ya kubadili mkao wa kitanda chumbani basi maruerue ndoto za kutisha na majinamizi vimekuwa havikomi usiku chumbani

Wengi bila kujua asili ya tatizo wamejikuta wakikimbilia kwa waganga wa kienyeji na kupoteza pesa nyingi lakini ukweli ni huu hapa

Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni mapito ya nguvu za giza

.Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni makazi ya roho chafu

Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni centre ya mawasiliano kati ya nguvu za giza na ulimwengu wa roho

Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni makazi ya roho za uharibifu

Hivyo basi unapobadili position ya kitanda na usiku wa kwanza au wiki ya kwanza ukaanza kupata mambo mageni usihangaike wala kupata shida na waganga wa kienyeji ama fikra za kufanyiwa ushirikina peleka kitanda chako upande mwingine utakuwa umesolve tatizo ambalo lingekugharimu pesa mingi.

Angalizo;
Si wote wanaokutana na hizi hali na kwa wale wanaosali na kufanya dua kabla ya kulala ni mara chache mno kukutana na hizi hali
Huwa sibadili hata siku moja. Lkn kaka yangu ni bingwa ktk hili. Alikuwa ananikera sana
 
Dah Kuna mzee niliwah msikia akisema ndo utajua kwa nini kitanda huwekwa kwenye kona na si katikati Hii maana yake nini?
Kupata balance, maana ukuta unatoa balance tofauti na katikati ambapo kitanda kinakuwa kama kina hang
 
Hapa nakupinga mshana kwasababu hili swala nimelifanyia utafiti sana.
Ukweli ni kwamba, kama chumba chako hakijakaa levo /yaani kuna upande kumeinama au kitanda chako kimenyanyuka upande mmoja.. Ukilala kwa kuelekeza kichwa upande ambao maji yanaelekea pindi yanapomwagika basi ndio ndoto huwa nyingi na za ajabuajabu.
Lakini ukielekeza kichwa upande ulionyanyuka basi unaweza hata kuchukua mwezi hujaota kabisa.
Mimi huwa nikitaka kuota mfululizo basi nanyanyua kitanda upande wa miguuni ili kichwani kuwe kumeinama.

Hii ni kwa kila nilipoishi na sii nyumba moja tu!
Swala la kuhusisha kila kitu na imani za kushirikiana ni kuzidi kuidumaza jamii.

Kama huamini jaribu leo kunyanyua kitanda upande wa miguuni /kichwa kiwe upande ulioinama alafu ulete mrejesho.
Tangu nikiwa na umri wa miaka 7 niligundua hii hali ya kuwa ukilala upande wa kichwa ukiwa ukiwa umeinama basi ndoto haziishi
 
At least umenipinga kwa hoja lakini kuna mahali umeharibu kidogo! Hebu nisome para mbili za mwisho za post yangu
Vile vile kuna vyumba vipo level kwahiyo hoja ya kuwa kuna upande upo juu au chini kidogo inaleta makengeza
Msingi wa post yangu ni kutahadharisha watu kukimbilia kwa waganga wa kienyeji kila wanapoona mauzauza, bahati mbaya sana kuna baadhi walisoma juu juu tu kisha wakatoa maoni ya kuchekesha mno
 
Mimi napinga hapo unaposema kuwa kwenye chumba kuna kona mbazo ni makazi ya roho chafu mkuu.
 
Japo si vyumba vyote lakini hili lipo tena lipo sana.hizi roho chafu zina makazi yao kila mahali barabarani nyumbani hotelini nk nk
 
Hapa nakupinga mshana kwasababu hili swala nimelifanyia utafiti sana.
Ukweli ni kwamba, kama chumba chako hakijakaa levo /yaani kuna upande kumeinama au kitanda chako kimenyanyuka upande mmoja.. Ukilala kwa kuelekeza kichwa upande ambao maji yanaelekea pindi yanapomwagika basi ndio ndoto huwa nyingi na za ajabuajabu.
Lakini ukielekeza kichwa upande ulionyanyuka basi unaweza hata kuchukua mwezi hujaota kabisa.
Mimi huwa nikitaka kuota mfululizo basi nanyanyua kitanda upande wa miguuni ili kichwani kuwe kumeinama.

Hii ni kwa kila nilipoishi na sii nyumba moja tu!
Swala la kuhusisha kila kitu na imani za kushirikiana ni kuzidi kuidumaza jamii.

Kama huamini jaribu leo kunyanyua kitanda upande wa miguuni /kichwa kiwe upande ulioinama alafu ulete mrejesho.
Tangu nikiwa na umri wa miaka 7 niligundua hii hali ya kuwa ukilala upande wa kichwa ukiwa ukiwa umeinama basi ndoto haziishi
Sababu ni ipi sasa kitanda kikiinama unaota? Na unaota ndoto za namna gani?
 
Back
Top Bottom