Zamani enzi zile kuna chupa bia fupifupi nene, ilikuwa mwanamke akionekana ana mguu mnene halafu mfupi wanasema eti ana mguu wa bia....!! Sasa najiuliza hivi.....baada ya mabadiliko ya zile chupa cku hizi miguu inaitwaje?

Wenye miguu toeni majibu!!!