Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Kama tunawaza sawa sawa na Kama miradi tunayojenga tunatambua thamani yake naamini leo tusingesikia kauli ya Rais kujenga soko Jangwani. Haya ni matumizi mabaya ya fedha. Uwepo wa machinga Karikoo unapaswa kufanyia utafiti na siyo kufanya- siasa. Koko bearch Kuna sunami, Jangwani Kuna mkondo wa maji, kwanini tunajiandaa kutoa kafara Watanzania wenzetu?
Mimi naomba nimkumbushe Mhe. Rais Ni kiasi gani Cha fedha za walipa Kodi zimetumika bila tija.
1. Ndani ya eneo la kilomita zisizozidi tatu Kuna Soko la Kariakoo ambalo amesema limetengewa fedha, Kuna Soko jipya Kisutu,Kuna Soko la magomeni, Kuna karume, Kuna buguruni, Kuna machinga complex. Haya ni masoko yaliyorundikwa karibu na City center Jambo ambalo linaenda kinyume kabisa na ukuaji wa miji ikiwemo dar. Hizi fedha zinazorundikw Jangwani na Kariakoo zinakosa kazi?
2. Eneo la jangwani baada yakufanyiwa utafiti wa kimazingira Ni wazi siyo sehemu ya uwekezaji. Mwendo Kasi walitumia mabilioni ya wananchi lakini majengo hayatumiki baada ya magari kujaa maji. Leo mwendokasi wamehamia Ubungo, magari yalale ubungo lakini machinga na mitaji yao midogo walaze bidhaa Jangwani, are we serious. Hizi Ni fedha za umma lazima tuzitumie kwa uangalifu.
Nini kifanyike?
Hakuna machinga anayefanya kazi Kariakoo anaishi Kariakoo na viunga vyake, Hawa watu wanatoka mbagala, Chanika, mbezi, tegeta nk Kama watu Hawa wanatoka upcountry kwenda karikoo na Kariakoo tunaona pamejaa Basi tutafute suluhisho ambalo Ni;
1. Mbezi Luis hakuna soko, maeneo yapo Tena kwa Bei nafuu Sana, tujenge soko kubwa mbezi Luis kuzuia watu kwenda Kariakoo wapate bidhaa karibu. Kariakoo yawepo maduka makubwa yakununua bidhaa nakupeleka masoko madogo
2. Tegeta kuelekea Bagamoyo hakuna soko, kwanini tusijenge soko kubwa huko?
3. Mbagala hakuna kuelekea mkuranga hakuna soko, kwanini tusijenge soko huko?
4 Gongo la mboto Chanika hakuna soko, tunapeleka mabilioni Jangwani yakafanye Nini?
5. Kigamboni hakuna soko, kwanini tukazoe mchanga na kujenga soko Jangwani?
Endapo tutajenga masoko niliyoainisha naamini tutatumia fedha kidogo kupanua huduma, tutapunguza foleni isiyo ya lazima Kariakoo, tutalifanya soko la Kariakoo kupanuka na kuwa soko la kimataifa ambapo bidhaa za jumla zitapatikana, tutazisaidia halmashauri kupanuka na kukusanya mapato kwa wingi lakini pia miji itatanuka na kukua.
Tukumbuke kwamba tunaomradi mkubwa mwendokasi ambao itatusaidia Sana kupeleka watu wachache na kwa staha mjini huku miundombinu hiyo ikitumika kurudisha bidhaa nyingi kwenye masoko.
Lakini pia utaratibu huu ukifanyika hata bodaboda watapungua kwa sababu watu wanaoingia mjini asubuhi watapungua , mitaa itapitika na mji utakuwa na hadhi.
Nikuombe Mama yetu Samia Suluhu Hasani ,kauli yako yakujenga soko la machinga Jangwani ifute badala yake elekeka masoko yajengwe kwenye maeneo niliyotaja utakumbukwa na vizazi vijavyo kwa kuwaokoa vijana na mafuriko lakini pia kwa kurihusu huduma kusogea karibu na wananchi. Jifunze kwa mwendokasi lakini pia jaribu kuvuta picha kipindi Cha masika Hali inakuwaje hapo unapotaka kupeleka watoto wa wenzio?