Bad news

Hii habari ingetoka mwanzoni mwa disemba.....wale 59600 wapate chao kwanza kama kipo.
 
Huo ni uzushi.
Hiyo sio web site ya kweli. Tovuti ya BBC huwa haiandikwi Bbc....

Ni wale vijana wa Lumumba wakiwa busy mitandaoni kutengeneza kick za Magu, soon utaona serikali ya Magumashi ikija kukanusha utadhani ni kitu cha maana sana.
Wanajitekenya na kujichekesha wenyewe.
 
Habari mbona imekaa kimchangani mchangani sana?

Hata Google News haipo.
 
mshana jr, Magumashi alitusababishia hadi tukaanze kujifunza kuendesha magari, tukaambiwa Noah hatuwezi pewa,tukaambiwa tutagonga balimi saba saba nchi nzima, sasa na zenyewe zimeota mbawa!!! Hii ni taarifa mbaya zaidi mwaka huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
"....kuilipa serikali ya Tz...!!?
yaani chombo cha habari kama BBC Swahili ndo wameandika vile?
You have a good analytical eye brother!!
Umeona hilo, na pia nembo huandikwa BBC, sio Bbc.
Pia hamna neno "kwakauli" bali ni "kwa kauli"!
Nafikiri mleta mada alitakiwa aweke huu uzi jukwaa la jokes.
 
BBC swahili wao wahusika hawaandikagi nembo yao kwa herufi mchanganyiko, na aliyeandika hiyo taarifa hajui hata wapi aweke nukta! Duh!
FAKE NEWS.
Basi uchuro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Madini yako ila kulipwa stahiki yako unazungushwa kama chapati kwenye kikaango halafu bado tunasema tuko huru!!!

Hata nyumba yako unayopangisha ukiwa na kiburi cha kukataa kufuata sheria husika , ukadhani ubabe utakusaidia, usishangae kuona inaishia kumilikiwa na mpangaji. CCM ndiye adui wa Watanzania. Yote haya ni matokeo ya ccm.
 
dah ama kweli sijui hapa serikali itachukua uamuzi upi sasa maana trillions hazitalipwa, iyo 700 haitalipwa, je hii inatupa picha kuwa hayo madai ni ya uongo kwao au wameamua ili serikali ijaribu kama itaweza ivunje mkataba halafu wapelekane mahakamani; huu unaweza kuwa ni mtego
 
Wewe umeitoa kwa nani?? Huoni kuwa umekurupuka??
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Hii habari haipo popote.. Nimeiokota kwenye kundi moja la WhatsApp, nilitaka kuwaomba moderator wwaifute lakini nimeghairi, kwa njia hii ya kubaki hapa tunaweza kupanua ufahamu wetu zaidi
Tuiache tuone mwisho wake ninini
 
You have a good analytical eye brother!!
Umeona hilo, na pia nembo huandikwa BBC, sio Bbc.
Pia hamna neno "kwakauli" bali ni "kwa kauli"!
Nafikiri mleta mada alitakiwa aweke huu uzi jukwaa la jokes.
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] iache tu huku huku lakini ndio hivyo tena pesa ishatiwa uchuro. Unajua kuna watu wana midomo mibaya sana. Wanaroga kwa kauli tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…