Bad news

Mleta mada ni muuza sura na mtafuta kiki
Screenshot_20171117-222007.png
Screenshot_20171117-221905.png
Screenshot_20171117-222034.png
Screenshot_20171117-221935.png
Screenshot_20171117-222057.png
kukulaumu wewe nitakuwa nimelitendea jukwaa dhambi kubwa sana
 
Wanaume wenye viashiria vya utamaduni wa kupakwa mafuta utawajua tu, unamshangaa kidume mwenzako kutafuta chumba cha 120,000 , hahahaha naishi raha mustarehe huku nilipo kwa bei hiyo
IMG-20171116-WA0058.jpg
bado unapaswa kuelimishwa.. Kwasasa kipaumbele chako ni kupanga chumba, na wala sio nyumba.. Yani ni dalili za kuanza maisha, kuna tofauti Kuwa kati yetu kuanzia umri mpaka uelewa... Hata lugha yako inakufunua uhalisia wako
 
Back
Top Bottom