Bad news

dah ama kweli sijui hapa serikali itachukua uamuzi upi sasa maana trillions hazitalipwa, iyo 700 haitalipwa, je hii inatupa picha kuwa hayo madai ni ya uongo kwao au wameamua ili serikali ijaribu kama itaweza ivunje mkataba halafu wapelekane mahakamani; huu unaweza kuwa ni mtego
Naskia jamaa alushaipangia bajeti ikitoka tu CHATO
 
Vile vyeti mkurupukaji uchwara alivyovitoa eti kwa kazi nzuri sasa awaambie wavirudishe Ikulu haraka sana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo October, 23 ametuku vyeti Maalum vya shukrani kwa kamati maalumu za uchuguzi na majadilino kati ya Serikali na Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrik Gold Corporation ambayo yalifanikiwa.

  • Thanks
Reactions: BAK
Kutoka trioni mia nne na kitu hadi bilioni 700, na zenyewe tunakataliwa. Na hapo Tundu Lisu amelala kitandani kutokana na kuishauri serikali kuhusu utaratibu iliokuwa inautumia ktk kushughulikia hii issue. Inasikitisha sana! Kuna watu hii nchi wanajiona ni Mungu watu hawasemwi wala hawashauriwi. Deni la Taifa linazidi kupaa, na hata ahadi uchwara walizotuahidi hazitekelezeki. Umebaki ubabe na udikiteta usio na maana.
 
Back
Top Bottom