BAD NEWS: Mwandishi Finnigan Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar

Kazi ya pombe hiyo, katengenisha nchi nzima alafu anajiita rais wa wote, ila akianza kutoa speech tu utasikia nimetumwa na wazaa rangi za kijani, mara anasifia mikoa ya waliompigia kura, mtenganishi namba moja, ovyo kabisa yule kijibabu. Kuna watu wanaendana na majina yao kabisa.
 
KWA maelezo yaliyotolewa viz a viz mihemko ya baadhi ya wachangiaji ------- ndowa ya simbeye kwishey
 
Hivi hiyo timetable ya Finnigan mbona imekaa kimpangilio namna hiyo?aliyekuwa akifuatilia muda na idadai ya beer alizokunywa alikuwa ana interest gani nae?? Watu wengine ni wapika dhambi wakuuu
 
Tunaomba uchunguzi ufanyike ili kuwajua wanaofanya matukio haya yakuwatesa watu na kuwatupa. Binadamu tumekuwa ni zaidi ya wanyama tukumbuke kwamba kuna kesho hukumu jamani tubadilikeeeeeeeee
 
Chagadema wana mawazo ya ajabu sana. Tafuteni mawasiliano yake mjue alikuwa anawasiliana na nani sio kukurupuka tu eti Serikali, au ikiwezekana muulizeni Tonto wa bar ya B&DG Tegeta darajani au Grace wa bar ya QR Azania Tegeta atawapa majibu mazuri kwamba katekwa au alilewa kupindukia. Acheni kusingizia serikali mambo ya kilevi.
Sawa lakini hizo bar zote si wanauza POMBE? na wakishamaliza si wanafunga milango yao kwa KUFULI? sasa mwandishi/ mhariri akikutana na wasiojulikana akaokotwa kesho yake kuna cha ajabu?
 
Chagadema wana mawazo ya ajabu sana. Tafuteni mawasiliano yake mjue alikuwa anawasiliana na nani sio kukurupuka tu eti Serikali, au ikiwezekana muulizeni Tonto wa bar ya B&DG Tegeta darajani au Grace wa bar ya QR Azania Tegeta atawapa majibu mazuri kwamba katekwa au alilewa kupindukia. Acheni kusingizia serikali mambo ya kilevi.
Sawa lakini hizo bar zote si wanauza POMBE? na wakishamaliza si wanafunga milango yao kwa KUFULI? sasa mwandishi/ mhariri akikutana na wasiojulikana akaokotwa kesho yake kuna cha ajabu?
 
Hivi hiyo timetable ya Finnigan mbona imekaa kimpangilio namna hiyo?aliyekuwa akifuatilia muda na idadai ya beer alizokunywa alikuwa ana interest gani nae?? Watu wengine ni wapika dhambi wakuuu
Hapo sasa yaani kuna mwandishi alikuwa anahesabu idadi ya pombe aliyokunywa na alipanda bodaboda mara ngapi kwenda kwake mara ngapi anagonga hafunguliwi, anatoka bar moja kwenda nyingine mtu mpaka anaishia mtaroni. Mwenyewe hawezi kuwa source ya hii habari maana alikuwa tila lila hakumbuki kitu.
 
Style mpya hiyo ya kute_na.Ila Mganga wao mzuri hawagusi wanawake aisee ila Mange mmm lazima wam_ke.
 
Nahisi wewe ndo upelekwe milembe

tunaongelea mauaji wewe unaongelea ndege usipanic bawacha
Unaweza weka hiyo sentensi niliongelea kuhusu ndege kwenye hii thread au ndio kuwa Ktk Hali ya mahangaiko kwa kukosa papai? Nenda pharmacy basi
 
Dada nahisi unatafuta bwana jf kwa bahati nzuri nimeoa na sina mpango wa kuongeza nyumba ndogo
 
*TAARIFA YA MWANDISHI WA GUARDIAN KULEWA BILA KUJITAMBUA*

Mnamo tarehe 08/04/2018 majira ya Saa 1:30 asubuhi eneo la Bunju A Mianzini mwandishi wa habari aitwaye *Finnigan Frazer Simbeye*,47 yrs Mkristo mwandishi wa habari wa gazeti la Guardian Mnyiha,mkazi wa Bahari beach mtaa wa kondo alikutwa amelewa bila kujitambua na kukutwa amelala mtaroni jirani Bagamoyo road.

Taarifa kamili ni kwamba mnamo tarehe 07/04/2018 Majira ya saa 4:00 asubuhi alitoka nyumbani kwake Bahari beach akiwa na gari lake T383 BCU Toyota Mark ll kwenda Tegeta Kibo ambako aliiacha gari pale na kwenda eneo la Mwenge na baadae alirudi Tegeta kibo na kuchukua gari lake hadi Ununio katika bar ya *Bajet* na baadae alirudi Tegeta darajani katika bar ya *B &DG* ambako alikutana na hawala yake aitwaye *Tonto* mkazi wa Salasala na hapo alikunywa bia 8. Ilipofika saa 1:00 hrs usiku alikwenda katika Bar ya *QR* eneo la Azania Tegeta na kukutana na hawala yake mwingine mhudumu wa Bar hiyo anayeitwa *Grace* na kuendelea kunywa pombe!!!.
Ilipofika saa 3:00 usiku alikwenda katika bar ya *Benten* na kuendelea kunywa na pale alikunywa bia chupa 6 na baadae aligundua kuwa amelewa sana,na hapo hawala yake *Grace* alimshauri watafute Guest walale lakini wakati wakienda gari lake liliingia katika dimbwi la maji na kuzimika na alipoomba msaada wa kulitoa ikashindikana hivyo akaliacha hapo hapo na wakati huo huo hawala yake *Grace* alichukua simu yake ya Smart Phone aina ya *LG* na kuondoka huku akimuacha pale.

Majira ya saa 10:00 usiku alichukua bodaboda kwenda nyumbani kwake Bahari beach ambako aligonga lakini hakufunguliwa na baada ya kutofunguliwa aliamua kwenda tena katika Bar ya Kibo ambao alifika saa 11:00 alfajiri na kukuta watu wanatoka na Bar ikiwa imefungwa,hivyo kuchukua bodaboda kurudi nyumbani tena lakini pia hakufunguliwa na kwa kuwa alikuwa amelewa sana aliamua kuondoka na hakukumbuka tena kinachoendelea hadi asubuhi anajikuta yupo Mwananyamala Hospitali.
Katika mahijiano tumegundua kuwa mwandishi huyo amekunywa pombe sana na kulewa kushindwa kujitambua, amekutwa na ufunguo wa gari lake mfukoni mwake akiwa hospitali na hana jeraha,uvimbe wala mikwaruzo yoyote mwilini, amewekewa dripu za maji na anaendelea vizuri japo bado amelazwa Hospitali Mwananyamala .

Tayari polisi amefunguliwa jalada Kosa la *KULEWA BILA KUJITAMBUA WMB /IR/1565/2018* Taarifa za mitandao kuwa ametekwa sio kweli.
Swali na wasiwasi upo kwenye hii taarifa. Mwenye hii taarifa katoa wapi hizi details? Je alikua na drone inayo mfuatilia ndugu mwandishi kokote aendako?
 
Too much information to be true...
Ina maana jamaa alikua ana PA anatembea naye? Kataja mpaka mahawara na muda aliokua nao... taarifa ina details nyingi mno mpaka inakua uongo...
 
Wananchi wa Bunju wamemwokota ndugu Finnigan wa Simbeye wa The Guardian akiwa hajitambui.

Taarifa zaidi zinakuja...

View attachment 737908
View attachment 737941

UPDATES:

10:20am: Finnigan amefikishwa Hospitali ya Mwananyamala kwa huduma ya haraka kwake

Kwa mujibu wa Rose Mirondo, ambaye ni mkewe Simbeye, mumewe aliondoka nyumbani jana Jumamosi Aprili 7, 2018 akiwa na gari lakini hakurudi hadi alipopata taarifa za kuokotwa kwake leo.

Amesema hata alipokwenda eneo la tukio Bunju hakuliona gari wa mumewe.

Rose amesema watu aliowakuta eneo la tukio wamemweleza kwamba Simbeye alichukuliwa na polisi kupelekwa hospitali ya Amana.

07:30PM:
Kesho anaweza kuruhusiwa kutoka hospitali. Hii ni kwa mujibu wa wahudumu wa hospitali ya Mwananyamala

Habari zaidi, soma=>BAD NEWS: Mwandishi Finnigan wa Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar
Kuwa mwandishi wa habari za siasa katika nchi hii ni kujitakia kifo.
 
Too much information to be true...
Ina maana jamaa alikua ana PA anatembea naye? Kataja mpaka mahawara na muda aliokua nao... taarifa ina details nyingi mno mpaka inakua uongo...
Inawezekana alitumia RADA iliyozinduliwa juzi na mtukufu.
 
Tusihukumu mapema. Tumwombee na Tumsaidie kwa sasa ila tusitoe majibu ya nini/ nani kahusika bila taarifa za kina
Hata Tundu Lissu anaombewa ala kini hadi sasa uchunguzi wa suala lake haujaanza. Wataua wote wataisha wabaki wajitawale wenyewe. Nyang'au wakubwa.
 
Back
Top Bottom