Unachobisha ni nini hasa kiongozi.
Mbona kama si ya uhakika?
Pumzika kwa Amani Kamanda,mpe salute kamanda Mawazo na mkweo Nyerere
Aliachana na ukamanda tena kwa nyodo Mungu awafariji wafiwa wote ila usaliti ni mbaya sana
Bora ufute hii comment yako yenye chuki. Shame on you! Ukamanda wenu ndo kitu gani mpaka umwite marehemu msaliti. Shame on you!
Aliekua mbunge wa viti maalum wa Chadema na aliekua mke wa Madaraka Nyrerere Leticia Nyerere hatunae Tena Duniani.
Kafia nchini marekani.
Chanzo: Mimi mwenyewe.
Aliekua mbunge wa viti maalum wa Chadema na aliekua mke wa Madaraka Nyrerere Leticia Nyerere hatunae Tena Duniani.
Kafia nchini marekani.
Chanzo: Mimi mwenyewe.
Unachobisha ni nini hasa kiongozi.