Bad News: Leticia Nyerere hatunae tena

Status
Not open for further replies.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,051
12,949
Aliekua mbunge wa viti maalum wa Chadema na aliekua mke wa Madaraka Nyrerere Leticia Nyerere hatunae Tena Duniani.

Kafia nchini marekani.

Chanzo: Mimi mwenyewe.
 
Mh! Ni gafla au alikua akipata matibabu.Mungu ampumzishe kwa amani.Familia yake Mungu roho mtakatifu aifariji.
 
Aliekua mbunge wa viti maalum wa Chadema na aliekua mke wa Madaraka Nyrerere Leticia Nyerere hatunae Tena Duniani.

Kafia nchini marekani.

Chanzo: Mimi mwenyewe.

Chanzo wewe?? Ubaruku napo Kuna marekani? Huu uzushi uliwekwa kwenye ma group ya whatsapp sana.
 
Mtoa mada hebu tupe habari kwa kina kama taarifa hizi ni kweli maana umetuacha njia panda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom