Bad News: Leticia Nyerere hatunae tena

Bad News: Leticia Nyerere hatunae tena

Status
Not open for further replies.
Zinaitwa SAD NEWS na siyo BAD NEWS.

Alafu anasema amesoma open university hahahaha nishiiidaaa Gsana

Naomba nyie magwiji wawili mnieleweshe ni matukio yapi yanahusisha BAD NEWS na yepi yanahusisha SAD NEWS ,hivi taarifa za kifo haziwezi kuwa BAD NEWS na SAD NEWS kwa wakati mmoja ???
 
Last edited by a moderator:
Aliekua mbunge wa viti maalum wa Chadema na aliekua mke wa Madaraka Nyrerere Leticia Nyerere hatunae Tena Duniani.

Kafia nchini marekani.

Chanzo: Mimi mwenyewe.

Alikuwa anaumwa ama?RIP Leticia
 
Sad inatumika kwa habari za kuhuzunisha na bad inatumika kwa matukio mabaya.
 
Jamani mbona mnatuchanganya? Habari hii ni ya tarehe 27, lakini kuna uzi mwingine unasema kafariki jana saa 2 usiku? Which is which??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom