Bad habits

Yaani hii yuziful sredi imehamia kwenye udaku umbea na taarab tupu. Ngoja nijinywee zangu mataska nikitafakari kesho ntoke vipi nizoe maLIKE ya kufa n'tu.
 
Hashy bin Cool!
kwani imekuwaje tena?

Imekuwa ilivyokuwa Bishanga...pilipili usiyoila yakuwashia nini lakini??

Zilipendwa hizo bwana,tusileteane kero hapa....!

Lizzy,Lizzy,Lizzy...ongezea pale juu, ati wanaume wanaokumbushia/kuhoji past za watu wengine nao ni kero....lol
 
Hehehe nimekusoma dearest.

We toka tu hata mimi karibu ntakimbia maana hizi "huwezekani" zimeanza kunichosha.
 
Hiyo inanirahisishia na kunipunguzia watu wa kuwatolea nje.

Thanks
Kweli Lizzy,seriously,nakushauri kama kaka/mzee wako (whichever applies),you must tone down,unless uamue kuishi na mwanaume toka culture nyingine. Sisi wanaume wa kiswahili kuna minimum standards tunazitarajia kwa wenza wetu (obviously unazijua).Kibaya zaidi unaweza kumpata mwanaume mkaendana uzuri tu na haya uliyosema akamudu kuyavumilia lakini jamii inayokuzungukeni ndugu,majirani,mawifi,marafiki wata observe mambo ambayo yatawakera,utake usitake bf/mme wako watam pressurize 'akurekebishe' na hapo ndo songombingo litakapoanzia.
I honestly wish you a happy,joyful,stressfree relationship/ndoa,you deserve it kwa jinsi ninavyokusoma (you are a very bright girl and honest) ,ila jitahidi kutusoma sisi wanaume wa kiswahili.Sorry kama nime ku offend.
 
Hehehe nimekusoma dearest.

We toka tu hata mimi karibu ntakimbia maana hizi "huwezekani" zimeanza kunichosha.

You are amazing....just the way you are....somewhere in this world, there is someone who will love you the way you are!!

See ya...!
 
Imekuwa ilivyokuwa Bishanga...pilipili usiyoila yakuwashia nini lakini??

Zilipendwa hizo bwana,tusileteane kero hapa....!

Lizzy,Lizzy,Lizzy...ongezea pale juu, ati wanaume wanaokumbushia/kuhoji past za watu wengine nao ni kero....lol

Hehehehe dearest hupendi kujua kuku wako kala nini na nini? Mi kuna kaisi ambacho hua napenda kujua ili niwe na idea ya mtu ninaedeal nae.
 
jamani Michelle nin tena?
nalog foo (source:washawasha)
 
Imekuwa ilivyokuwa Bishanga...pilipili usiyoila yakuwashia nini lakini??

Zilipendwa hizo bwana,tusileteane kero hapa....!

Lizzy,Lizzy,Lizzy...ongezea pale juu, ati wanaume wanaokumbushia/kuhoji past za watu wengine nao ni kero....lol
yaani Michelle jitihada zangu zooooote za usuluhishi ndo naambulia masimango? kha!!!!!!!!! ama kweli mla ndizi husahau mwokota maganda ndo hukumbuka,najiweka pembeni!
ps: mkionana msalimie lakini!
 
Loh. . . Huyo mwanaume wa kusukumwa na watu wengine anifanye hivi au vile, sijui anibadili wakati hatuna matatizo simtaki kwakweli, ni bora niwe mwenyewe kuliko kuwa na mtu ambae ni kichwa panzi. I prefer being with a person who's got a mind of his OWN. . . sio wa kupelekeshwa na watu wa nje.

Thank you for the wishes though!!
I wish you good things aswell.
 
You are amazing....just the way you are....somewhere in this world, there is someone who will love you the way you are!!

See ya...!
Ahsante dearest. . .

Be good and stay safe uendako.
 
Lizzy dear nakupa like ya mdomo maana tochi yangu haina access ya kitufe cha like!! Thread imenigusa mnoo...
Nachukia mtu timu yake imefungwa analeta hasira mpaka kwako utadhani ulichangia magoli...inahuuuu
 
Nimeipokea Amy. . Ahsante.
Hehehehe hiyo hua inavuruga sana mahusiano ya nyumbani. Mtu waliofungana huko hata hawamjui alafu eti ananuna wiki. . . !!

Alafu kuna thread nataka kuanzisha Chiti chati baadae ntatumia ID yako ndani I hope you won't mind. It's just for fun.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…