...dahhh....
...kwenye mahusiano hata ukipenda na kuchukia, kila mwenza anakuja
na packages zake bana...ni jinsi ya kuzi accomodate zako na za mwenzako maisha
yaendelee...
...msichukulie mahusiano kama chuo cha mafunzo nyie, sheria na kanuni nyiiiingi....why?
Ahsante mwaya.
@DA uswahilini joto likizidi watu wengine hua wanalala barazani, ushajaribu?
Nikishapata mtoto ruksa kurudi kwenye kitanda cha pamoja eeh? yaani miezi tisa mi niko kitanda changu tu?? vibaya ivyo!ukishakuwa mjamzito rukhsa kuhama chumba kwa raha zako
shost nlikuwa nafua.. Mmh ikifika siku ya kitchen party yangu nawataarifu in advance mniletee washing machine maana nadhani ndoa itakua matatani..
Enhe lizzy na hao mbu wa barazani kutalalika kweli? Halafu na chabo za majirani mmh.. Uswazi kuna mambo!
Nikishapata mtoto ruksa kurudi kwenye kitanda cha pamoja eeh? yaani miezi tisa mi niko kitanda changu tu?? vibaya ivyo!
kitu muhimu hapa ni kushirikiana kuboresha hali yenu ya maisha ili muweze kujenga mazingira ambayo ni conducive kwa ustawi wa uhusiano wenu... kulalamika tu vumbi, joto, kubanana etc haisaidii sana at the end of the day
jamani, si umesema unaona kero kulala kitanda kimoja, unataka ujitanue, hutaki kubana miguu, hutaki jamaa akusumbue? so miezi tisa ukilala mwenyewe si inakuwa poa tu?
shost nlikuwa nafua.. Mmh ikifika siku ya kitchen party yangu nawataarifu in advance mniletee washing machine maana nadhani ndoa itakua matatani..
Enhe lizzy na hao mbu wa barazani kutalalika kweli? Halafu na chabo za majirani mmh.. Uswazi kuna mambo!
Wewe kipato hakifanani usijishaue hapa
Na huyo mwenzangu je? namfikiria na yeye,miezi tisa atalalaje peke yake?....lol
Usijali,tupe tu taarifa,na ya kupasi na kufanya usafi tutakuletea....kwanini ndoa ivunjike kwa mambo madogo hivyo??? lol
aah, yeye kishatimiza jukumu lake muhimu so atakuwa anahitaji nafasi ya kujitanua huku akisikilizia kitumbo jinsi kinavyozidi kutuna by the day...
Hapo sasa chabo inahusu sana
heheheheh umesahau ya kupika michelle...
halafu uswazi hadi vitoto vidogo vinapiga chabo kha!..
there you are... kama unajua hivyo then utavumilia hiyo hali duni na maisha yatakwenda tu bila kujali joto, vumbi, kubanana and what have you...
Hiyo ni MUST, tunakuletea kwanza vimashine vidogo vidogo kama vya kumenyea viazi,karoti,kusaga vyakula na viungo,rice cooker,presure cooker....then tunakuletea jiko lako zuri kenye oven yake na kila kitu....kazi kwako tu ukitoka kama ni steak yako,paka viungo weka ndani,bonyeza dakika zako,kakae sebuleni angalia TV....viazi funga kwa foil tupia navyo huko viive kwa mvuke.....weka matunda yako huko kwa blender saga...siku imepita...! mama mkwe akija tu ndo unajipikilisha pilau na machalari...lol
Hahahaha. . . hapo swadakta dearest. Me likey!! Ukimjali hivyo alafu yeye akashindwa kukujali niambie nimpe LIVE bila chenga kama za ITV.
Hhhhm hapo sasa mamy inabidi ujaribu kumsoma ujue ni kwanini. Watu wengine hawaoni umuhimu kwasababu anajua kama ni pesa alishakupa kwahiyo ukihitaji kitu utajinunulia, wengine wanaona ni uzungu sana na wengine ni wa choyo tu. Vyovyote vile unaweza ukaamua kuwa mtoaji bila kutegemea kitu/bila kuuliza wala kulalamika, unaweza ukashangaa mwenyewe siku moja anakupa bonge la zawadi.
Alafu kama hatoi siku ya Valentine siku nyingine je?