Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,349
- 176,144
Last born ndio yuko first year.
Last born ndio yuko first year.
Oooh!! Shukrani kwa elimu mkuu.yap ni sahihi, betri ikipata joto la kadri la jua huziamsha cell( electron) za betrii kavu na kuzifanya zilicharge upya japo sio kwa uwezo wa mwanzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hilo hapo mdogo wangu.yap ni sahihi, betri ikipata joto la kadri la jua huziamsha cell( electron) za betrii kavu na kuzifanya zilicharge upya japo sio kwa uwezo wa mwanzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uzee ni laana mpaka wanawake wauogope?
Bora mmejibu huyo 'NYANG'AU mie niliogopa kumjibu maana ningeandika vibaya. Nimemaliza BAN Jumatatu 14/1/2019 hivyo sikutaka tena kupotezwa humu JF kwa wiki hii. Shenzi sana huyo dogoMama zako ,dada zako,bibi zako,shangazi zako hao kuwa na heshima mfyuuuuuu,kuzeeeka sio ugonjwa
Marahabaaa mjukuu.
Kumbe nawe ni la kike !!Bora mmejibu huyo 'NYANG'AU mie niliogopa kumjibu maana ningeandika vibaya. Nimemaliza BAN Jumatatu 14/1/2019 hivyo sikutaka tena kupotezwa humu JF kwa wiki hii. Shenzi sana huyo dogo
😀😀😀😀 NI mwanamke mwenye uke maridhawa
😀😀😀😀 NI mwanamke mwenye uke maridhawa





Hongera sana. Ila Mimi mtarimbo ulishalala doro. Afadhali yenu nyie mnafika utu uzima.😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hongera sana. Ila Mimi mtarimbo ulishalala doro. Afadhali yenu nyie mnafika utu uzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijui yalitoweka vipi ...itakuwa yalitupwa tu au kuibiwaMmeyatupa?
Jr![]()
Mama zako ,dada zako,bibi zako,shangazi zako hao kuwa na heshima mfyuuuuuu,kuzeeeka sio ugonjwa
Ungeandika tu, ila ukweli ni kuwa kuna baadhi ya wanawake hajikubali kabisa kama umri umeenda na mitaani tunawaona, kibaya kipo wapi hapoBora mmejibu huyo 'NYANG'AU mie niliogopa kumjibu maana ningeandika vibaya. Nimemaliza BAN Jumatatu 14/1/2019 hivyo sikutaka tena kupotezwa humu JF kwa wiki hii. Shenzi sana huyo dogo
Kuna mahali nimeandika wanawake wote? Uzee sio ugonjwa, ugonjwa ni kujifanya kijana wakati umezeeka
Mbona unatokwa na OMO au umezeeka mama??? Uzee hauna tiba mshukru Mungu kama umeuona uzee huo.Kama anajifanya demu wako au dada zako ni huko huko sio kuleta kauli nyoko humu. Mmezoea sana kudhalilisha wanawake kila siku nyie tu na kauli za kifedhuli mfyuuuu zako