Back the memory lane

Back the memory lane

Jiko la stove... Linatumia mafuta ya taa lakini linawaka kama gas... Kuna taa ya karabai pia....

Jr
Naam hili jiko linatumia mafuta ya taa pia lazima ulijaze upepo pembeni apo karibu na ufuniko kuna pump na kabla ya kulijaza lazima utumie sindano maalumu ndogo sana kuchokonoa sehemu yakutoa gas chini kidogo ya burner.Kuna vijana niliwapa waliwashe wakazunguka nalo mtaa mzima.
 
304 ndiyo ya zamani sana ikaja 404, hiyo 504(gurue) zilikuja zikawa zinakamtwa eti hawataki magari ya mitumba(used),kipindi hicho Sokoine era na ndiyo zikaja 604.
Kulikuwa na Datsun 160J na 120Y yalionekana ya kishua sana plus Citroen ikizimwa inadidimia kimtindo.
Back in the days.
Utu uzima dawa

Jr
 
Naam hili jiko linatumia mafuta ya taa pia lazima ulijaze upepo pembeni apo karibu na ufuniko kuna pump na kabla ya kulijaza lazima utumie sindano maalumu ndogo sana kuchokonoa sehemu yakutoa gas chini kidogo ya burner.Kuna vijana niliwapa waliwashe wakazunguka nalo mtaa mzima.

Jr
 
images (18).jpeg
 
Back
Top Bottom