Back from Honeymoon

Cathode Rays

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,738
1,250
Wapendwa wana MMU,

Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifanikisha na kunivusha katika hatua ya muhimu kwenye maisha yangu mnamo siku ya tarehe 24/11 ambapo nilijipatia mwenza wa maisha huko mkoani Tanga. Kama ndoto lakini imekuwa kweli na sasa siko peke yangu tena bali tu "wawili tulio mwili mmoja"

Tumekuwa na wakati mzuri pia kwa honeymoon tukifurahia ndani ya Tanga, kisha tukakatiza mpaka Bwagamoyo hapo angalau kupitia historia inayopatikana eeneo hilo tukajirukia zetu na FastJet kutoka Dar mpaka KIA na kutumbukia hapo Arusha angalau kuendelea kushangaa maajabu ya Mungu na kisha kurudi tena Dsm na leo rasmi nimerudi kazini Morogoro....

Mpwa Elli, snowhite, Pdidy, Mamndenyi, Mbimbinho na wengine wote, ahsanteni kwa shule nzuri mliyonipatia na changamoto za hapa na pale....

Karibuni sana Morogoro na ahsanteni kwa yote
 
Last edited by a moderator:

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
15,959
2,000
karibu tena!
mtazame mkeo usoni na umwambie neno lile hasa utakaloliona kupitia macho yake!
MKAWE NA MAISHA YA AMANI SANA!kumbuka nilikwambia mkubalia kukua pamoja,ryt?then kila la kheri Cathode Rays ,mwambie bibie bado nasubiri PM yake!
mengine ni girlie stuff u know!
mimi penda nyie thana!
 
[MENTION]Snowhite[/MENTION] ahsante sana,
She is going to send you a Private Message
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
37,562
2,000
Tutawakumbukeni kwenye maombi pia, maana maombi ni muhimu sana, vinginevyo mkeo aweza kugeuka kuwa mwiba au wewe waweza kugeuka kuwa mwiba kwa mwenzio, basi tunazikataa nguvu na hila zozote zile za mwovu shetani
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Wapendwa wana MMU,

Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifanikisha na kunivusha katika hatua ya muhimu kwenye maisha yangu mnamo siku ya tarehe 24/11 ambapo nilijipatia mwenza wa maisha huko mkoani Tanga. Kama ndoto lakini imekuwa kweli na sasa siko peke yangu tena bali tu "wawili tulio mwili mmoja"

Tumekuwa na wakati mzuri pia kwa honeymoon tukifurahia ndani ya Tanga, kisha tukakatiza mpaka Bwagamoyo hapo angalau kupitia historia inayopatikana eeneo hilo tukajirukia zetu na FastJet kutoka Dar mpaka KIA na kutumbukia hapo Arusha angalau kuendelea kushangaa maajabu ya Mungu na kisha kurudi tena Dsm na leo rasmi nimerudi kazini Morogoro....

Mpwa Elli, snowhite, Pdidy, Mamndenyi, Mbimbinho na wengine wote, ahsanteni kwa shule nzuri mliyonipatia na changamoto za hapa na pale....

Karibuni sana Morogoro na ahsanteni kwa yote
Kama unataka ushauri wa kudumu kwenye ndoa waite The Boss, Asprin, Dark City, na Kaizer!!!!!!!! THE CHEATTERS CLUB!!!!!(Wazee wa Katerero!) Umoja wao una siri zote za ki CIA, FBI, KGB, SCOTLAND YARD!!!!!!!!! Ukipata membership ya club yao, i guarantee you will be the happiest man! (Married Ofcourse)
 
Last edited by a moderator:

kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,438

nami nakuombea mungu ndugu yangu Cathode Rays uzeeke pamoja na mkeo kwani Mungu anapenda sana mke wa ujanani
 
Last edited by a moderator:

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
Hongera mkuu, kumbe umeoa kwa marafiki zangu Tanga eenh...huko ndio mapenzi yalikozaliwa
 
CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,117
2,000
Tutawakumbukeni kwenye maombi pia, maana maombi ni muhimu sana, vinginevyo mkeo aweza kugeuka kuwa mwiba au wewe waweza kugeuka kuwa mwiba kwa mwenzio, basi tunazikataa nguvu na hila zozote zile za mwovu shetani
Ameeeeen....
hongera sana Cathode Rays Mungu awabariki na kuwajaalia watoto.
 
Last edited by a moderator:

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
7,163
2,000
Wapendwa wana MMU,

Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifanikisha na kunivusha katika hatua ya muhimu kwenye maisha yangu mnamo siku ya tarehe 24/11 ambapo nilijipatia mwenza wa maisha huko mkoani Tanga. Kama ndoto lakini imekuwa kweli na sasa siko peke yangu tena bali tu "wawili tulio mwili mmoja"

Tumekuwa na wakati mzuri pia kwa honeymoon tukifurahia ndani ya Tanga, kisha tukakatiza mpaka Bwagamoyo hapo angalau kupitia historia inayopatikana eeneo hilo tukajirukia zetu na FastJet kutoka Dar mpaka KIA na kutumbukia hapo Arusha angalau kuendelea kushangaa maajabu ya Mungu na kisha kurudi tena Dsm na leo rasmi nimerudi kazini Morogoro....

Mpwa Elli, snowhite, Pdidy, Mamndenyi, Mbimbinho na wengine wote, ahsanteni kwa shule nzuri mliyonipatia na changamoto za hapa na pale....

Karibuni sana Morogoro na ahsanteni kwa yote
Mpwa hongera sana aisee, atilist sasa upo kihalali kabisaa na Mungu mwenyewe shahidi...!
Ebana mwenyezi Mungu awajalie upendo na baraka tele katika maisha yenu ya ndowa.
Sasa endelezeni ugirlfriend/uboifrend, ubestfrend wenu kama ndo mumejuwana, umume/umuke sio kwa sana maana mtachokana mapema...:smile:
Sipo kwenye ndowa ila that's what I know for today mpwa.. All ze best :glasses-nerdy:
 
Cathode Rays

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,738
1,250
Hongera sana kaka. Ulipotea mazima, haidhuru manake ni kwa wema. Msalamie bi kharusi.
King'asti si unajua mambo ya Honeymoon?? Halafu wengine tunafanya kazi kwenye mashirika mkimbizano kwa hiyo ukipata upenyo kama wa Honeymoon simu, laptop na makorokoro mengine yote unapotezea unabakiza ku-perform tu...teheheee

By the way nimerudi rasmi jamvini
 
Last edited by a moderator:

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
45,047
2,000
kama unataka ushauri wa kudumu kwenye ndoa waite the boss, asprin, dark city, na kaizer!!!!!!!! the cheatters club!!!!!(wazee wa katerero!) umoja wao una siri zote za ki cia, fbi, kgb, scotland yard!!!!!!!!! Ukipata membership ya club yao, i guarantee you will be the happiest man! (married ofcourse)
mkuu ndoa aina ujuzi unaweza kuwa happy kwingine kule kwenyewe ukawa huna amani
unachokipata wekeza na chako songa mbele nimefurahi siku nyingi sijaja ndan ya ulingo ushaoa na hnymoon kabisa do ningesema nivute january ungekuja na thread ya natema mate mwenzio nifanyeje
kumbe ameshajaa saa nyingi hayo ndio mapenzi mnashare kila sehemu mie akikasirika nakasirika kweli aalfu tunakuwa kama simba na ngasa baadae tunakaa mezan na kucheka ...mungu wa mbingun akutangulie mpendwa
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
12,693
2,000
Kama unataka ushauri wa kudumu kwenye ndoa waite The Boss, Asprin, Dark City, na Kaizer!!!!!!!! THE CHEATTERS CLUB!!!!!(Wazee wa Katerero!) Umoja wao una siri zote za ki CIA, FBI, KGB, SCOTLAND YARD!!!!!!!!! Ukipata membership ya club yao, i guarantee you will be the happiest man! (Married Ofcourse)
Ha ha ha ha Lara 1. Mambo ya MBA huyu bado kabisa ndoa ni tamu!! Ngoja ile kitu kamschoko au kuzoeana halafu one!! Hapa ni lazima awapate uliowataja kabisa ili wampe kuwa Cheat responsibly!!! Alijsemea Snowball, mgeni wetu MMU juzi.
 
Top Bottom