SUA Bachelor of veterinary medicine mbona imeshushwa pointi?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,980
Mbona wameishusha hadhi kwa admission points kama masomo mengine ya ufaulu wa chini? Siyo kama MD! Why?

Bachelor of Veterinary Medicine

Two principal passes in Biology/Zoology and Chemistry and a pass in Physics/ Mathematics/ Science and Practice of Agriculture at the ACSEE. A candidate who does not have a pass in Physics at A-level must have at least a credit pass in Physics, Mathematics and English at O‟ level.

4.0 minimum points

60 capacity

5 duration of study
 
Mimi sidhani kama wameishusha hadhi imekuwa hivyo siku zote, waache vijana wachuane kwa ufaulu. Nasikia wameomba wengi sana mwaka huu hivyo cut off ya hao 60 inategemewa kuwa juu.

Habari chini ya pazia ni kwamba hata kwa MD kulikuwa hakuna maelewano ya pamoja ya vyuo bali walichukua mapendekezo yaliyowasilishwa na chuo fulani ambacho kilitakiwa ku-coordinate hilo zoezi na badala yake kikashauri utashi wake ufuatwe.
 
Chuo gani mkuu?

Kitaje.
 
lakini wanaoingia wenye div 2 huwa hawazidi 10 kila mwaka wengi huwa ni div 1 tu and most ni PCB
 
Ni issue ya kipaumbele tu, MD imekuwa ikipewa kipaumbele na hadhi kuanzia kwa wasomaji wenyewe, Serikali hadi kwa watu wa kawaida, ata hivo ni hii miaka 3 nyuma ndio wanafunzi wameanza kuipenda na kuomba wengi tofauti na zamani, ila ukweli ni kwamba ni course ngumu na nzuri kama au kuliko MD

Kwa nchi za wenzetu veterinary medicine ni issue nyeti sana na wanapewa hadhi sana hawa watu tofauti na kwetu ambapo ukiskia daktari unapata picha tu ya daktari wa binadamu, so point ya kuweka cut off chache ni kujaribu kuvutia wengi waombe ni ukweli usiopingika kuwa ukitafuta wanaopenda kusoma vet kutoka moyoni ni wachache na nchi ina uhitaji sasa utakapoweka vikwazo vingi utakosa wataalam ila nahisi ikishapata fame na hadhi inayostahili basi cut off point zitaongezwa soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sidhani kama wameishusha hadhi imekuwa hivyo siku zote, waache vijana wachuane kwa ufaulu. Nasikia wameomba wengi sana mwaka huu hivyo cut off ya hao 60 inategemewa kuwa juu.
Habari chini ya pazia ni kwamba hata kwa MD kulikuwa hakuna maelewano ya pamoja ya vyuo bali walichukua mapendekezo yaliyowasilishwa na chuo fulani ambacho kilitakiwa ku-coordinate hilo zoezi na badala yake kikashauri utashi wake ufuatwe.
Imeshushwa, MD wanahitaj CCD... 8 points while this Vet 4 points be it DD! Usibishe please
 
Ni issue ya kipaumbele tu, MD imekuwa ikipewa kipaumbele hadhi kuanzia kwa wasomaji wenyewe, Serikali hadi kwa watu wa kawaida, ata hivo ni hii miaka 3 nyuma ndio wanafunzi wameanza kuipenda na kuomba wengi tofauti na zamani, ila ukweli ni kwamba ni course ngumu na nzuri kama au kuliko MD

Kwa nchi za wenzetu veterinary medicine ni issue nyeti sana na wanapewa hadhi sana hawa watu tofauti na kwetu ambapo ukiskia daktari unapata picha tu ya daktari wa binadamu, so point ya kuweka cut off chache ni kujaribu kuvutia wengi waombe ni ukweli usiopingika kuwa ukitafuta wanaopenda kusoma vet kutoka moyoni ni wachache na nchi ina uhitaji sasa utakapoweka vikwazo vingi utakosa wataalam ila nahisi ikishapata fame na hadhi inayostahili basi cut off point zitaongezwa soon

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani umetoa hoja ya msingi. Na kweli hawa watu wanahitajika sana tena sana. waliopita nyuma hawataki kufanya hii kazi, wanasema sitakwenda kujipata mavi ya ng'ombe! Lakini ni kazi nzuri ila society haiithamini kama fani ya MD. Nadhani ni strategy nzuri ngoja wawavute then with time itapata hadhi.
 
huwa ipo hivyo miaka yote ,na kabla points za kujiunga chuo kikuu hazijabadilishwa ilikuwa ni 3 pts
Hapo umetoa taarifa reasoned. Actually sasa imepandishwa, if your statement is true and I hope is true.
 
Nadhani umetoa hoja ya msingi. Na kweli hawa watu wanahitajika sana tena sana. waliopita nyuma hawataki kufanya hii kazi, wanasema sitakwenda kujipata mavi ya ng'ombe! Lakini ni kazi nzuri ila society haiithamini kama fani ya MD. Nadhani ni strategy nzuri ngoja wawavute then with time itapata hadhi.
Ndio hivo mkuu, kwanza hadhi huanza kushuka pale ambapo watu wa MD wanapo joke kwa kuwaita wenzao madaktari wa mbwa bila kujua kuwa wao MD wanafanya kazi nyepesi baada ya hawa vet kuhakikisha hakuna magonjwa au kama yapo basi machache yanayotoka kwa wanyama kuja kwa binadamu ambayo kiuhalisia ni hatari sana kwa afya ya binadamu

Sasa hii imekuwa ikiwakatisha tamaa wanafunzi ambao wanataka kwenda kuisoma course hii kwa kuhofia kuchekwa, na imekuwa ni kasumba kuwa kila atakaesoma PCB basi lazima akasome MD akikosa anahisi kama vile kafeli maisha, sasa akiambiwa issue ya vet na akiskia vijembe vya MD anakimbilia kwingine

ila kwa sasa wameanza kuelewa uzuri wa hii kazi kwani mtaani kidogo siku hizi waliosoma vet wanaonekana tofauti na zamani so wameanza kuinadi na hatimae wanafunzi wameanza kwenda kusoma kwa matakwa yao wenyewe, kwa wingi wa maombi ya mwaka huu chini ya mama ndalichako very soon nahisi vigezo vitachange mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimesoma hiyo kozi sua,div 3 huingii na kama ni cbg hadi uwe una minimum div 2 pts 10
You might be right maana nina vijana wangu kutoka SUA Vet Medicine wako vizuri kichwani! Wako wanafanya human diseases research , they are good! Umemaliza mwaka gani?!
 
Ndio hivo mkuu, kwanza hadhi huanza kushuka pale ambapo watu wa MD wanapo joke kwa kuwaita wenzao madaktari wa mbwa bila kujua kuwa wao MD wanafanya kazi nyepesi baada ya hawa vet kuhakikisha hakuna magonjwa au kama yapo basi machache yanayotoka kwa wanyama kuja kwa binadamu ambayo kiuhalisia ni hatari sana kwa afya ya binadamu

Sasa hii imekuwa ikiwakatisha tamaa wanafunzi ambao wanataka kwenda kuisoma course hii kwa kuhofia kuchekwa, na imekuwa ni kasumba kuwa kila atakaesoma PCB basi lazima akasome MD akikosa anahisi kama vile kafeli maisha, sasa akiambiwa issue ya vet na akiskia vijembe vya MD anakimbilia kwingine

ila kwa sasa wameanza kuelewa uzuri wa hii kazi kwani mtaani kidogo siku hizi waliosoma vet wanaonekana tofauti na zamani so wameanza kuinadi na hatimae wanafunzi wameanza kwenda kusoma kwa matakwa yao wenyewe, kwa wingi wa maombi ya mwaka huu chini ya mama ndalichako very soon nahisi vigezo vitachange mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Perfect, MD wanaibeza sana Vet. Actually Vet nadhani (sijasoma kozi hiyo anyway) ni more tough compared to MD kwa sababu you learn diseases across an array of animals with diverse biology and therefore diseases. I can dare say Vet are doing comparative medicine compared to MD who are focusing only on humans ( I stand to be corrected).
 
Uko sawa mkuu, ata MD wanajua kuwa vet ni ngumu kuliko course yao maana ina content nyingi mno kuanzia kwenye anatomy wakati md anasoma ya binadamu tu vet anasoma zaidi ya wanyama wa 5, tukija kwenye medicine wanasoma ya wanyama pia zaidi ya 5, tukija kwenye pathology, tukija palapia ni yale yale. Wanakuja kuwa sawa kwenye parasitology ni yale yale, microbiology yale yale nk. Wanakuja kuwa sawa kwenye pharmacology tu
 
Unataka kusema kitu, Vet ni ngumu ila MD ina exceptional zake much tougher mwili wa binadamu ni complicated sana plus pharmacology! Na to add up kuna disease ambazo zinacross boundaries na wote wanazisoma. Ugumu wa MD ni syllabus yao kubwa mno ukiiona tu unachoka! Natamani iwe miaka saba

Md anasoma basics zote! Na hapo ndo ugumu unaanzia from anatomy, physiology, biochemistry, microbiology, parasitology, nursing, pharmacology, pathology............. Plus department zaidi ya kumi ambazo zote ni heavy from ophthalmology, ent, dental, dermatology, anesthesia, laboratory, radiology etc!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema kitu, Vet ni ngumu ila MD ina exceptional zake much tougher mwili wa binadamu ni complicated sana plus pharmacology! Na to add up kuna disease ambazo zinacross boundaries na wote wanazisoma. Ugumu wa MD ni syllabus yao kubwa mno ukiiona tu unachoka! Natamani iwe miaka saba

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana mkuu, tofauti yake ni kuwa MD mainly ana deal na magonjwa ya binadamu na BVM/DVM anadeal na magonjwa ya wanyama na yale yatokayo kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Maisha ya binadamu huwezi kuyalinganisha na ya wanyama-hapa ndio sababu ya wengu kuona MD iko juu otherwise kwa ugumu wa program BVM huenda ikawa ngumu zaidi.

Enzi hizo huko Iringa kuna dakitari wa mifugo alitoa amri mbwa wa RC auwawe (rabies control). RC akaja juu akashitaki kwa JKN akitaka yule dakitari aadhibiwe. JKN alijibu kwa msitari mmoja tu-Maisha ya binadamu ni muhimu zaidi kuliko ya mnyama.
 
nimesoma hiyo kozi sua,div 3 huingii na kama ni cbg hadi uwe una minimum div 2 pts 10
faitaGIRL umesoma hiyo course SUA huko IFM unasoma course gani? Niko curious tu kujua uhusiano wa vet (I assume uligraduate BVM) na IFM.
 
Back
Top Bottom