Bachelor of veterinary medicine (5 years) vS Bsc. Biotechnology and laboratory sciences (3 years)

Ruvuma

Member
Apr 29, 2014
19
0
Ushauri ndugu kama Title inavyosema hapo juu, mimi nina diploma ya afya na uzalishaji mifugo (DAHP) Nimehitimu mwaka juzi, sasa nataka kujua/ushauri nichukue bachelor ipi kati ya veterinary medicine na biotechnology and laboratory science pale SUA na vipi kuhusu money i mean salary after to graduate
 
luofe

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
328
250
BVM aiseeee ......hautokuja juta kwenye maisha yako bt jiandae na msuli wa maana"!""""
 
Visenti

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
1,022
1,170
chukua biotechnology and laboratory science hii ina kazi/project nyingi sana hautalala njaa,halafu baadaye utasoma MPH (usisome MBA!), achana na BVM, utaishia kuzuzuka kwa title ya Dr. wakati hailipi, kila mtu anajiita Dr hata kule dodoma waheshimiwa nao wanajiita Drs! mbona hakuna anayejisingizia kuwa yeye ni engineer, mganga wa jadi, ngariba au mchawi?
 
Thank you.! lakini hata kama watu wanajiita ma Dr. lakini hawana taaluma husika nadhani ni ujinga..!
 
onduru ogy

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,125
2,000
Aliyekwambia ukasome BVM amekushauri vizuri sana kati ya hizo kozi mbili.

Bongo biotech bado saaaana.

Ila kama unategemea kuitumikia taaluma yako nchi zilizoendelea ningekwambia biotech.

Mara nyingi nashauri mtu akasome kutokana na upungufu wa alichonacho..mfano kama wewe ni mkulima una mashamba mengi na unahitaji kusoma huwezi kusomea nursing ila utasoma agronomy, agri general, agri business n.k.

Na pia kama wewe una ng'ombe, kuku nk..ukitaka elimu basi elimu ya animal science au vet medicine itakufaa.

Vilevile kwa mwenye maduka elimu itakayomfaa ni Bcom, Bba n.k.

Sasa wewe unafikiri unahitaji kuwa na elimu ya kitu gani ambacho kitakusaidia kwenye shuguli zako?

Usisome ilimradi umesoma.
 
Nina ng'ombe ,mbuzi ,kondoo ,kuku wa kienyeji na wakisasa wa mayai na bata..! kwa ushauri wako nadhani BVM inanifaa zaidi
 
NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
watasema mengii ila kokote utakakochagua kuna uwezkano wa kuchomoka vizuri au kulala njaa, swala ni wewe chagua unapopapenda afu komaa kupiga msuli uwe the best u can be, ukilala lazima upigwe njaa tu hata kama ni course gani... na hamna course rahisi hua ni maneno tu ya wajinga kujifariji, mwenye akili anajua kabisa nothing comes easy
 
Pamoja sana, MWENDO NI ULE ULE Hakuna kitu kigumu DUNIANI KITAELEWEKA TU
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom