Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

Nishaeleza kuhusu the impossibility of proving a negative hapo juu, rejea. The question is not to prove that god does not exist, rather it is to prove that god exists. the burden of proof is on the one making a case, not the one disputing a case.

Unajua kusoma wewe? Sayansi yenyewe ndiyo itakuwa ya kwanza kukwambia kwamba haiwezi ku prove so many things, na mimi nishasema hilo hapo juu.

Sasa nani analeta ushabiki? Wewe unayekimbilia ku comment bila kusoma au mimi?

Tatizo ni kwamba, between the intelligent humility of science (frank admission that it does not have all the answers, which leads it to pursue answers) and the arrogant folly of religion (claiming that it has answers to all the big questions, therefore not bothering to look for the real answers) so many people who would prefer a sweet lie to the harsh truth would choose the sweet lie of religion to the harsh truth of science.

The sweet lie of religion says god will take care of you, just pray and submit to him. And at the end of it all he will be responsible, not you. He is like this big daddy in the clouds.

The bitter truth of science says we do not know that god exists, and we must take everything in our own hands, prayers, apart from the psychological effect (placebo, therapy) does not work.

Sasa binadamu kwa uvivu wetu tunataka kuchagua the easy way out, kila kitu tunamsingizia mungu asiyekuwepo.

Ndiyo maana unaona watu wanajazana kwenda Loliondo na wanatumia maelfu ya hela kutafuta supernatural miracles lakini husikii wakichangia research ya kupata madawa yanayoweza kutestiwa kwenye lab na kufanyiwa trials zilizokuwa peer reviewed.

How is God negative while He is not existing? YOU CAN NOT PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST, PERIOD.

I need watertight, impeccable, tangible and verifiables exibits that GOD DOES NOT EXIST? How did you come with the conclusion that God does not Exist?

I NEED PROOF PROM YOUR SCIENCE.
 
How is God negative while He is not existing? YOU CAN NOT PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST, PERIOD.

I need watertight, impeccable, tangible and verifiables exibits that GOD DOES NOT EXIST? How did you come with the conclusion that God does not Exist?

I NEED PROOF PROM YOUR SCIENCE.

Rejea https://www.jamiiforums.com/habari-...u-wa-loliondo-avuliwa-nguo-3.html#post1780273

Existence = positive

Non-Existence = negative

You cannot prove a negative directly without proving a positive (rejea link). Nikija kwako na kukwambia una madawa ya kulevya (positive, existence) na wewe ukasema huna (negative, non-existence) mwenye burden of proof ni yule anayesema kitu kipo. Kwa sababu ku prove madawa yapo ni kazi ndogo tu, tunafanya search tu, tunayaona haya, tushaprove kwamba yapo.

On the other hand, ku prove kwamba madawa hayapo hakuwezekani, kwa sababu hata nikisearch kila corner, nisiyaone, bado inawezekana umeyaficha kwenye corner ambayo sijayaona. Kwa hiyo hata nikishindwa kuyaona hilo hali prove kwamba hayapo. Ndiyo maana nikasema you cannot prove a negative.

The burden of proof is on the ones who say god exists, not on the ones who say they don't know this, or those who challenge that notion.

Take the challenge, prove to me that god exists.
 
Ukijua kwamba mungu hayupo, au hata kukubali kwamba hili halijaweza kuthibitishwa, hizi habari ndogondogo za miujiza ya Loliondo na upuuzi mwingine kama huo hazitakutatiza kabisa.
 
Pilipili msiokula inawawashia nini? Hata aliyeanzisha tread hii, kwani ya babu yanakuuma nini. As much as Im not intending to go there, I cannot stop somebody to go or comment negatively bcs it wont help me.
 
Pilipili msiokula inawawashia nini? Hata aliyeanzisha tread hii, kwani ya babu yanakuuma nini. As much as Im not intending to go there, I cannot stop somebody to go or comment negatively bcs it wont help me.

Unajuaje kwamba hii ni pilipili tusokula? Unajuaje kama hatuna ndugu waliodanganyika, au walio katika kishawishi cha kudanganyika na utapeli huu ?

Hii mentality ya kuwa sucked into the vortex of complacency ndiyo inayosababisha tuwe masikini siku zote. Badala ya ku address upuuzi na ku u expose as so, tunakimbilia ku zika vichwa vyetu kwenye mchanga na kusema "pilipili usokula".

Ukianza kusema pilipili usokula hapa kwenye swala la babu wa Loliondo, utaacha kuwa involved kwenye mambo mengi ya ushirikishwaji wa wananchi, which is the main idea of JF.

Kama kweli wewe huna intention ya kwenda, labda mimi ndiye wa kukuuliza wewe ambaye unaamini katika hii mantra ya "pilipili usokula" wewe imekuwasha nini mpaka ku comment? Maana huna hata ndoto ya kwenda huko na unaonyesha kutokuwa na link yoyote.
 
Rejea https://www.jamiiforums.com/habari-...u-wa-loliondo-avuliwa-nguo-3.html#post1780273

Existence = positive

Non-Existence = negative

You cannot prove a negative directly without proving a positive (rejea link). Nikija kwako na kukwambia una madawa ya kulevya (positive, existence) na wewe ukasema huna (negative, non-existence) mwenye burden of proof ni yule anayesema kitu kipo. Kwa sababu ku prove madawa yapo ni kazi ndogo tu, tunafanya search tu, tunayaona haya, tushaprove kwamba yapo.

On the other hand, ku prove kwamba madawa hayapo hakuwezekani, kwa sababu hata nikisearch kila corner, nisiyaone, bado inawezekana umeyaficha kwenye corner ambayo sijayaona. Kwa hiyo hata nikishindwa kuyaona hilo hali prove kwamba hayapo. Ndiyo maana nikasema you cannot prove a negative.

The burden of proof is on the ones who say god exists, not on the ones who say they don't know this, or those who challenge that notion.

Take the challenge, prove to me that god exists.

You can't prove a thing.

Go and give your blah blah blah to your fellas.

I asked you a very simple question. Per your theorems or whatever, prove to me that GOD DOES NOT EXIST? YOU HAVE FAILED.
 
mimi nina mashaka makubwa na hicho kikombe cha babu kwa misingi ya kiimani ( samahani kwa watakaokwazika).katika imani katoliki sala zina nguvu ya kuvunja miamba. Tumeshuhudia kwa kuona na kusikia pia kusoma jinsi mchakato anaoupitia mtu ambaye anataka kutangazwa mwenye heri au mtakatifu. Inabidi mgonjwa ambaye amethibitika hospitalini kuumwa ugonjwa ambao madaktari wameshindwa kumtibu, aponywe na mungu kwa maombezi ya huyu mtu aliyekwisha aga dunia. Na hii inafanyika kwa levels mbili(kwa ajili ya kuitwa mwenye heri na pia level 2 kuitwa mtakatifu) mungu hutoa majibu ili kudhihirisha kuwa huyo marehemu yuko kwake mbinguni au la. Hawa wagonjwa mungu anawaponya bila kunywa miti shamba iliyochemshwa.
Pili, nina ushuhuda wa maji ya baraka ya huduma za maombezi riverside ubungo kuletwa na mungu kwa maana ya kuwa na baraka za pekee ( yana damu na maji toka ubavuni kwa bwana yesu na machozi ya mama bikira maria yanayoponya na kutakasa). Hivyo ninayoamini ni kuwa mungu hajipingi; hawezi kuleta hiki watu watumie ili wapone halafu alete kitu kingine tena cha kwenda kuchuma na kuchemsha halafu agawe mwenyewe tu!. Hata dawa za kisayansi zinagunduliwa kwa uwezo wa mungu na zinakuwa mass produced. Hapa ni kupeana umasikini tu na si ajabu vifo maana nimeshasikia watu wengi kufa aidha wakati wanaenda au wanapokuwa wametoka loliondo.
Kinachofanyika sasa ni kuwa hakuna toba! Kunywa kikombe cha babu utapona! Uongo ulioje!
Ni heri wagonjwa wangeendelea na dawa za hospitali ila tufikirie kama taifa njia nzuri ya kuomba huruma ya mungu aponye maradhi yetu yote.:frown:
Sina nia ya kuzua mjadala ila tuzidi kumuomba mungu na kungoja na kuona matokeo.

imani yako imejengwa katika msingi gani? Ni wapi kwenye biblia pameandikwa tuwaombe wafu watuombee uponyaji? Na ni wapi imeandikwa maji ya baraka na machozi ya bikira maria yanaponya? Ni kinyume na neno la mungu, hivyo ni unabii wa uongo...
 
How is God not existing? You can't answer that. Ooops kumbe darwin mungu wenu amukufa,

Nimesema hapo juu takriban mara tatu, kwamba hata nikismema kwamba "sijui kama mungu yupo au hayupo" (agnostic) which is not the same as saying "god does not exist (atheist) bado hujaweza kunionyesha kwamba mungu ana exist.

Nimekueleza zaidi ya mara tatu kwamba, kati ya anayesema kitu kipo, na mwingine anayesema hajui kama kitu kipo, na wa tatu anayesema kwamba kitu hakipo, mwenye wajibu wa ku prove ni yule anayesema kwamba kitu kipo.

Wewe unayesema mungu yupo, prove kwamba yupo. The onus of proof is never on the negative side, it is always on the positive side.

Nishakupa mfano wa search warrant ya kutafuta madawa ya kulevya, huwezi kumtaka mwenye nyumba a prove kwamba madawa ya kulevya hayapo nyumbani kwake, ni kazi yako unayesema kwamba madawa ya kulevya yapo kuonyesha kwamba yapo.

Vivyo hivyo, huwezi kumtaka mtu ambaya anasema hajui kwamba mungu yupo, au yule anayesema mungu hayupo, a prove. Ni kazi ya yule anayesema mungu yupo ku prove hilo.

Can you prove that god exists?
 
To the contrary, your argument (if at all you can exhibit the shameless audacity to call it that) is the one that comes across as exceedingly weak.

Science does not pretend to have all the answers. In fact, the basis of science is rooted in finding out answers by observation and experimentation. So the fact that science cannot explain what life is is rather immaterial in my dispute over religiosity. In fact, your inference that I am pro-science is totally misguided. I could be anti-religious and anti-science at the same time. This need not be an either science or religion question, only a narrowness of one's framework would rail the issue as such.

Unachosema hapa ni kama mtu kakwambia "njia yako hiyo si ya kweli, na haiwezi kukufikisha unakotaka kwenda, kwani unaenda kusini unavuka mto Ruvuma kuelekea Msumbiji wakati unataka kwenda Nairobi" halafu na wewe unajibu kwa kusema " Njia yako ya kaskazini inaweza kunipeleka Eastleigh Nairobi ?"

Ingawa sayansi haina majibu ya hakika kabisa (majibu ya hakika kabisa - hata kama hayapimiki- ni eneo la dini) lakini sayansi inatupa picha nzuri zaidi kuliko dini. Ili kujua njia gani kati ya sayansi na dini ni sahihi, sihitaji kujua jibu exact. Naweza nisijue square root ya 9, lakini nitajua kwamba haiwezi kuwa kubwa kuliko 9 (nishapata point ya kwanza ya ku converge hapo) then nikajua kwamba 4 squared ni 16, kwa hiyo square root ya 9 probably ni less than 4, halafu nikajua kwamba 2 squared ni 4, kwa hiyo nikajua square root ya 9 ipo kati ya 2 na 4, nina converge kwenda kwenye the right answer comfortably. Hata kama sina the right answer najua it is just a matter of time. Ndiyo sayansi inavyofanya kazi. It is a self correcting discipline through the efforts of observation, experimentation, peer review etc.

Sio kama dini inayokuambia kila kitu ni kazi ya mungu, bila kukupa kitu chochote chenye ushahidi concrete kwamba mungu yupo.

Unaweza kunipa ushahidi wowote concrete kwamba mungu yupo ? Na usinipe maandiko ya misahafu matupu, maana hata Shakespeare alimuandika Romeo, na huyo alikuwa fictional character tu.

Hizi habari za kutegemea-tegemea mungu na supernatural powers ndizo zinatufanya waafrika tunakuwa maskini kila siku tunajazana makanisani, misikitini na kwa waganga (it is all the same to me) wakati wenzetu wanaongeza effort katika scientific research.

Tutakula mi placebo sana tu kwa mtaji huu. Kwanza kila kitu chetu placebo, kuanzia uongozi mpaka bajeti, sasa cha kushangaa kwa huyu babu hata sikioni.

Mbavu zangu......:juggle:
 
Nimesema hapo juu takriban mara tatu, kwamba hata nikismema kwamba "sijui kama mungu yupo au hayupo" (agnostic) which is not the same as saying "god does not exist (atheist) bado hujaweza kunionyesha kwamba mungu ana exist.

Nimekueleza zaidi ya mara tatu kwamba, kati ya anayesema kitu kipo, na mwingine anayesema hajui kama kitu kipo, na wa tatu anayesema kwamba kitu hakipo, mwenye wajibu wa ku prove ni yule anayesema kwamba kitu kipo.

Wewe unayesema mungu yupo, prove kwamba yupo. The onus of proof is never on the negative side, it is always on the positive side.

Nishakupa mfano wa search warrant ya kutafuta madawa ya kulevya, huwezi kumtaka mwenye nyumba a prove kwamba madawa ya kulevya hayapo nyumbani kwake, ni kazi yako unayesema kwamba madawa ya kulevya yapo kuonyesha kwamba yapo.

Vivyo hivyo, huwezi kumtaka mtu ambaya anasema hajui kwamba mungu yupo, au yule anayesema mungu hayupo, a prove. Ni kazi ya yule anayesema mungu yupo ku prove hilo.

Can you prove that god exists?

YOU HAVE PROVED TO ME THAT YOU CAN'T SUPPORT YOU CLAIMS.

Where are your exhibits that GOD DOES NOT EXIST?


Vipi unamsubiri darwin? HE IS DEAD AND WILL NEVER COME BACK TO LIFE.
 
Kiranga is back and you can see him

Hahahahaa,

Si unajua mambo ya endless majukumu mazee, inabidi kuchukua hiatus.

Lakini ninapoona the forces of darkness disguising themselves as enlightened religiosity and deism plaguing my beloved JF, I know I have to come back and straighten a few things out.

Tatizo watu wana swallow mythologies za dini wholesale bila hata kufanya homework zao.

Ndiyo maana ukifuatilia hapa unaona quite a huge mismatch, it is actually underwhelming, almost boring, almost want me to turn away again. Where is Mwalimu Augustine when you need him? At least he knew the arguments and had an idea of the classics. Hapa naona nabishana na sheer forces of the opiate of dogma.

Kwa sababu it is evident none of my opposition has at least read the classics and knows the arguments.

I doubt if 1080p is familiar with the Aquinas, St. Augustine, Bertrand Russell, Francis Bacon and the whole philosophy of religion deal complete with all the legends who wrestled with these questions hundreds of years before. If you do your homework you will see where I am coming from.

During my undergrad days I challenged my philosophy professor on this very tip, and he was a conservative Christian right deist too, at the end of my semester he told me I did not need to come to the exam, and gave me an A+ JUST FROM CLASS PARTICIPATION.

Not to brag, but anybody with even the rudimentary understanding of the philosophy of religion will know where I am coming from, and the fallacy of religiosity as presented before.
 
mbona unateseka sana kumpinga babu .... sijui una bifu gani na huyu mzee ..... toa matibabu na wewe watu wakufuate

jealous kills

Watu mmepofuka sana kiasi kwamba hamtaki kusikia ideas tofauti. Jana mtu kaanzisha thread kuelezea jinsi mgonjwa wake alivyokufa baada ya kugida kikombe cha babu, badala ya kutafuta facts watu wakaanza kumrushia kashfa na matusi. Kweli watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana.
 

I asked you, not Douglas S. Winnai or Roderick C. Meredith.

Can you break down what they are all abt in your own words? Do you even understand what they are talking about or you just google something and post a link here?

Can YOU tell me why I should go with the KNOWLEDGE (remember, proof, nothing about all that faith stories) that god exists?

Nitawachambua hao watu wako kwenye links shortly.
 
I am actually reading the Douglas S. Winnail link right now, so you better know what he is all about, cause I am going to deconstruct his whole piece, you can bet on that.

Next I will do the same with Roderick C. Meredit.

I don't shy from a challenge.
 
Ukweli hili suala la babu ni mtihani mwingine kwa mwanadamu, serikali imelichukulia suala hili kisiasa kwa kulibariki lakini kwa mtazamo wangu hili suala lina kitu kikubwa sana. Ilitakiwa serikali ilichukulie kwa umakini kwa kupima wagonjwa waliokwenda na kupona na ambao hawajapona badala yake viongozi wa serikali ndiyo kwanza wanapishana kwenda kwa babu, tuvute muda siri kuu iliyoficha Loloindo itafichuka kama kweli ni tiba au ni aina mpya ya utapeli uliozuka kupitia mlango wa imani.
Hakuna ambaye atakuwa na majibu sahihi kwa saizi zaidi ya kuelezea kile anachokiona ni sahihi, miezi kama minne hivi ni tosha kuweza kuconferm.
 
Yaani 120,000 za TZ ni sawa na 6000 za Kenya? kwa mujibu wa mtangazaji.

Kweli pesa ya tz si chochote ni makaratasi.
 
:focus: Niliwahi kusikia kikombe (dawa ya) cha babu kimepelekwa Muhimbili sijui kwa mkemia mkuu kuchunguzwa. Ni karibu mwezi sasa, matokea yako wapi?

Mimi sipingi uwezo wa kikombe cha babu bali ninachoamini ni kuwa watu wanakimbilia kule kwa sababu mbili:
1. Umasikini na kukata tamaa.
2. Kutokana na kukosa imani na matibabu ya hospitali zetu.
3. Imani za kidini

Moja lolote katika haya yanawasukuma watu kufanya lolote. Cha kushangaza ni kuwa kwa nini serikali mpaka leo haijatoa tamko rasmi. Jana nimeona jinsi serikali ya Wilaya/Mkoa inavyokaa mkao wa kula kwa kutoza kodi lwa masikini hawa wagonjwa waliochanganyikiwa, bila kutoa kauli bila kujenga mazingira ya afya na huduma pale Loliondo. Sasa tusubiri mvua ziendelee watu wapatwe na magonjwa ya kipindupindu.

AIBU KWA SERIKALI
 
Back
Top Bottom