mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
Jamani mniwie radhi.Hili siwezi kulinyamazia.Babu wa Loliondo 'ameshaua' watu wanne waliotoka kwake kupata kikombe katika Mtaa wa Visiga Kati,Kibaha Pwani.Watu hao ambao wote walikwenda kwa Babu wakiwa na afya ya kawaida,wamefariki kwa kufuatana.Majina ya Marehemu wote ninayo.Arobaini ya mmoja wao ni leo.Naiomba Serikali itamke tena kuhusu tiba hii ya Babu kuwa au kutokuwa na uwezo wa kuponya magonjwa yanayopigiwa upatu kuponywa:UKIMWI,Kisukari na Kansa.Wapo wengine wawili hapohapo ni taabani.Muda ukipita hivi,Serikali itawajibika.Kweli tena...
DUH! POLE MDAU KWA KILIO CHAKO
>>> ILA NASIKITIKA KUKUAMBIA KWA TAARIFA YAKO HIYO SERIKALI UNAYOSHTAKIA VIONGOZI WAKE WOTE WASHAENDA KWA BABU!!!!!!!!!!!!!!! :mod: SASA SIJUI NANI UTAMHUKUMU BABU WAKATI ALISHATIBIWA NA YEYE!!!