Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Inawezekana alitoka katika familia bora chupi asubuhi unatupa chupi kwenye tenga LA nguo chafu HG apambane nazo.
Hiyo haitakua familia bora ila ni bora familia 😅😅😅
Hivi mama D Kijana anaanza kujinunulia chupi akiwa amefika umri gani?Mimi Huyo mama wakati huo nilikuwa teenager alikuwa kwenye manunuzi yake budget ya chupi alikuwa ananunua yeye.
Ni sawa kabisa, teenagers wangu pia bado wapo kwenye hii budget na malezi ya karibu sana kwenye usafi wa mwili na tabia

Malezi
 
Acheni kubeza kila mtu kuna namna Kaumbwa huwez kubadilisha hilo na umechukua kipande tu cha clip hujui alikuwa anaongelea nn
Alikua anaongelea viwanda Sasa mtoa mada kachukua kipande tu ameacha sehemu zenye points tupu
 
Back
Top Bottom