Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,679
2,000
Mnachoshangaa ni kipi na kumvua vyeo mwanaume aliekamilika?

Ajabu yeye kutojua kufua underwear au Ajabu kusema hajui kufua?

Underwear ni nguo kama nguo nyingine tofauti ni kwamba ndio nguo pekee ndogo kuliko zote tunazovaa mwilini mwetu.

sababu yakuitolea mfano ni kuonyesha jinsi gani hawezi kufua hata kitu kidogo kama underwear (jambo la kawaida kabisa)

ni kawaida kwasababu wapo wadada/wakaka sasa hivi wanavichupi vichafu wameviloweka kule bafuni,wapo watu wana nguo rundo la manguo lipo pale hawajafua.

kuna wadada/wakaka hata kupika chai tu hawawezi na nyie mnaona kawaida kabisa kwa aibu hiyo,kuna watu hapa ukimwambia akoroge uji tu asipoutoa mbichi,basi atauleta mezani una mabonge bonge (huo ni uji tu)

kila mtu ana vitu vyake ambavyo ni aibu hata kusema mbele za watu hawezi kufanya,watu kazi kujitia mnajua kusodoa sana wakati na nyie mna yenu.

kuna jitu saivi lipo JF ila hata kitanda hajatandika,shuka lililopo kitandani hii siku ya 4 hajabadilisha,nyie nanyie si mjiseme au kwakua hatujuani madhaifu yetu humu?

Kufua ni Kufua haijalishi ni vest,suruali,underwear sasa msisikie underwear maskio yakawasimamaaaa mbona wengine mnafua na nguo hazitakati bana,mna tofauti gani na asie fua?

mna vichupi mmevaa veusi twiiii,kuvaa chupi nyeupe tu mtihani maana mnajijua kwa uchafu na mnajua mkifua hamuwezi takatisha ndani ya wiki 1 tu chupi inageuka rangi ya kijivu wakati ilinunuliwa ikiwa nyeupe pee.

Ingekua anasema hajui kufua halafu anavaa boxer chafu asee mimi ningejiuzuru uanaume (japo pia ntakua na kiherehere maana hainihusu) lakini mtu kasema hajui kufua na hatujui hata stori ilianzia wapi mpk akasema hayo,tumedandia gari njiani halafu tunahukumu.

Mtu anavaa kitu kipya daily,shida iko wapi? watoto wanasoma,familia ina amani na baba anavaa boxer mpya kila siku shida iko wapi? mimi sioni shida ya tale ni haki yake kuongea lolote na chochote anaejiona kakamilika ajitaje hapa,ni nani huyo.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,925

CONTROLA 😎😎
 
CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
2,568
2,000
Mimi ninachojua kusaidiana kupo ila kila mtu alifundishwa na mamake kufua hizo vitu😎
1980s niliishi na familia ya ki Swedish, aisee sitasahau mama Yule kila Siku alihakikisha lazima ajiridhishe kila usiku nikioga lazima nifue panto.
Pantoo hata kama umeoa ukienda kuoga lazima ufue bana.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,925
2,000
1980s niliishi na familia ya ki Swedish, aisee sitasahau mama Yule kila Siku alihakikisha lazima ajiridhishe kila usiku nikioga lazima nifue panto.
Pantoo hata kama umeoa ukienda kuoga lazima ufue bana.
Na hivyo ndivyo wamama tunavyolea watoto, sasa sijui huyu Tale yeye alilelewa wapi? Na nani alikua anamfulia pichu tangu anakua hadi anaoa....
 
CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
2,568
2,000
Na hivyo ndivyo wamama tunavyolea watoto, sasa sijui huyu Tale yeye alilelewa wapi? Na nani alikua anamfulia pichu tangu anakua hadi anaoa....
Inawezekana alitoka katika familia bora chupi asubuhi unatupa chupi kwenye tenga LA nguo chafu HG apambane nazo.
 
CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
2,568
2,000
Na hivyo ndivyo wamama tunavyolea watoto, sasa sijui huyu Tale yeye alilelewa wapi? Na nani alikua anamfulia pichu tangu anakua hadi anaoa....
Hivi mama D Kijana anaanza kujinunulia chupi akiwa amefika umri gani?Mimi Huyo mama wakati huo nilikuwa teenager alikuwa kwenye manunuzi yake budget ya chupi alikuwa ananunua yeye.
 
Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,257
2,000
Mitano tenaaaaa.

Nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuu.
Babu Tale na Mwana FA kama sikosei wamepita bila kupingwa, meaning nje na ndani ya CCM hakukuwa na watu formidable wa kuwa challenge.

Mkoa / Wilaya / jimbo ninalotoka mimi there is no way asipatikane msomi hata mmoja wa kum challenge mtu kama Babu Tale!

The guy is so freaking lucky, Morogoro inakosa mtu wa kum challenge Babu Tale type ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom