Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu

Una uhakika gani kuwa ni wabakaji? Hebu tufafanulie plz.Justifications!

na wewe pia una uhakika gani kama sio wabakaji? acheni kutetea ujinga. Hawa watu wameshaharibu watoto wetu wengi sana inabidi waishie huko huko jela na ikiwezekana na vikobo juu
 
Walifungwa maisha kwa kosa moja la kubaka kwanini leo wawili wameachiwa eti hao hawakuwa na kesi miaka yote waliokaa gerezani serikali haikujua kuwa walihukumu kimakosa na ushabiki binafsi!!
Yule hakimu alie weka mapendekezo yake binafi ktk jalada la hukumu atachukuliwa sheria gani???
yule mdogo alihukumiwa akiwa na miaka17 kwanini alichanganywa na watu wazima gerezani kwanini hakufungwa ktk jela ya watoto wenzie???? Hapo bado sijajua sheria inasemaje naomba mwongozo wa sheria
 
I know that in civil cases a person may claim damages for losses he has incured in prosecution of his case and other losses which have accrued in conjuction with the case. But, in criminal cases I am not aware of that.

Sasa, kitafanyika nini kwa hawa innocent fellows ambao walihesabiwa hatia pasipo hatia kuwa rudisha kwenye hali ambayo walitakiwa wawe nayo kama wasinge serve sentence. Justice of the world system is obscure.

We are guilt until proved innocent.....
 
Kama kweli walibaka, haloooo...wangechomwa tu moto hapo mahakamani...imagine...unakitito chako kizuri kila jioni ukirudi job unakaa nacho unakiuliza shule vipi....halafu kumbe kinabakwa! Watu wengi mnaletea mihuruma yenu kwa ajili tu ya upenzi wa muziki wao...wangekubakia mwanao ungekuwa na huruma kweli? Naamini hawa jamaa walifanya vitendo viovu tu...si rahisi mahakama ya rufaa ikawakuta na hatia tena kama hawakufanya. Mikongo mingi hasa hii ya muzuki muziki huwa ina mazingira ya kishirikina kweli...yanaweza kuwa yalifanya hivyo kama kafara fulani hivyo,,,ndo maana baba na mtoto wanashirikiana kitu cha kipuuzi.
Sina huruma hata kidogo katika hili......kwa wanabahati,,,watakula maharage siku zote hizo..ingekuwa ni mimi......piga kiberiti hapo hapo.
 
Mtu anapofungwa jela, sijambo jema hata kama ni mkosaji. Inatia huzuni kwa Babu Seya na Mtoto wake mmoja kufungwa kifungo cha maisha. Lakini ijapokuwa nivugumu kuhoji uamuzi wa mahakama kuu, ni vigumu pia kuamini kama kweli walitenda kosa hilo.
 
Nakubaliana na wadau mliochangia, lakini ambacho kinanitatiza hivi kweli hata kama kutotendewa haki inawezekana hadi mahakama ya rufani pia isimtendee haki huyu mzee na familia yake?

Navyojua kuna majaji ambao wanajiheshimu na wanaheshimu kazi zao bado sipati picha waamue kumwonea tena huyu baba wa watu kwa mara ya pili kwa lipi hasa?

Jamani huwa kuna ushahidi unaofichwa katika public ila unaonyeshwa tu kwa majaji kwa manufaa ya umma, sasa sisi hatujui yawezekana kuna video za ushenzi ambazo zinaonyesha dhambi za huyu baba na wanae.

Bado nina imani kubwa sana na mahakama zetu - hasa hii ya rufani na majaji wake. tufikirie mara mbili wakati wa kuchangia hapa - wengi wetu nikiwemo mimi naona as if huyu baba kaonewa ila think twice guys.
 
Judge Chusi asema Francis na kakake aliyeachiwa naye walihukumiwa kimakosa na kuwa walifungwa kwa nia ya kuwakandamiza
 
JF inanipa raha sana "Zombe" hushahidi haukutosha mahakama imemwachia watu wakapiga kelele angetakiwa kufungwa "Babu seya" ushahidi umetosha kafungwa watu wanapiga kelele angeachiwa!! Sijui lipi ni lipi watu tunaendeshwa kwa hisia au?
 
haingi akilini baba na watoto 3 mnapanga foleni kubaka watoto kwa kupokezana mchana kweupe na watoto wengine wakiangalia wenzao wanavyofanyiwa hata majirani wasisikie kelele za watoto wakilia, na mwalimu aliekuwa anawapeleka hao wanafunzi mbona aliachiwa kuwa hana hatia!!!!
Kumbuka sio wote waingia ao jela wanahatia elewa hilo ukisha likubali hilo ndipo utakalikubali na hili la babu seya na familia yake!!

Mimi sijasema kwamba hao wakina babu seya wamebaka au la... ninachosema nikwamba, kuwatetea kwa kusema kwamba that is impoosible kwasababu
1. biologically mtu mzima kama babu seya hawezi kumwingilia mtoto wa miaka 6-11.. that is bull shit and where did you get that from? any proof?
2. Eti huyo babu seya hawezi kupanga foleni na watoto wake kumbaka watoto.. that is so naive (well watanzania wengi tunapenda kujifanya naive na kufumbia ukweli macho) ila dunia tunayoishi sio kama tupendavyo iwe

hivi vitu vinatokea duniani kote watu wazima kubaka watoto wadogo, na at least wenzetu nchi nyingine wapo wazi na kukemea hayo mambo.

kama tunataka/mnataka kumtetea babu seya mteteeni kwa points ambazo zipo straight ila sio kwa point ya kwamba mtu mzima anawezaje kumbaka mtoto mdogo..
 
katika Jamhuri kosa kubwa kuliko yote ni kosa la uhaini, na kama nakumbuka vyema mzee Mwinyi aliwahi kuwasamehe , jamaa fulani hivi waliohusika na tukio la UHAINI la mwaka 1984....kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, nasema mfano huo kwasababu naamini hakuna mkosaji ambae Rais wa Jamuhuri hana uwezo wa kusamehe......kama nakosea nipo tayari kupokea maoni ya kisheria juu ya hili kwaajili ya kujifunza.
Anaweza kumuachia yeyote maana yuko juu ya sheria wala habanwi na sheria za nchi hii!
Anaweza kuamua kuamka asubuhi moja na kudai walete kichwa chako kwake na hakuna wa kumuuliza kwa nini imefanyika hivyo.
 
i1776_1.jpg
i1775_2.jpg
i1774_3.jpg
 
kesi za majungu tuu hizi,Zombe kaua mwanaharamu yule kaachiwa na yule Ditopille nisingeshangaa angeshinda kesi kama angeendelea kuishi,nina wasiwasi na hawa judges sijui mahakimu wa bongo,mzee papii bado una nafasi tatu za kutoka huko gerezani...rufaa mahakama kuu,msamaha wa raisi au ufe uachane na hizi karaha za dunia.
 
Tutaongea sana na sana.... lakini tukumbuke kitu kimoja tu, hii kitu wengi walisema imepangwa!!! na kama kweli ilipangwa basi nasema tena kwa uhakika kwamba kuna mtu atavunja ukimya na ukweli utajulikana

wachache tunakumbuka jinsi baa la njaa la ethiopia linavyohusishwa na mateso ya haile sellasie... maafa ya rwanda, laana za congo etc.

damu ya mtu haiendi bure!!

....kama kwa hakika aliyesuka huu mpango kama ni kweli[nasikia chanzo wivu wa mapenzi]......basi..hawa walioachiwa maisha yao yako hatarini...wanaweza kuwa extraminated ...kama watataka kuuza story yao kuhusu ukweli wa kilichokumba familia yao especially kwa mwaka kama huu 2010...washone midomoo!!..story yao worthy miillions of shillings...
 
jambo lingine la muhimu hawa vijana walioachiwa wanaitaji kupumzika kabla ya kufanya lolote....na ikibidi wapatiwe matibabu ikiwemo ya ushauri nasaha!!
 
Naomba kuwafahamisha kilichotokea leo

with regards and respect.

===================

ONLINE REPORTER,
11th February 2010

Daily News


THE Court of Appeal has sustained both conviction and life imprisonment sentence against Nguza Viking and Papii Nguza for raping minors, but acquitted Nguza Mbangu and Francis Nguza of the charges.

Nguza Viking alias Babu Seya and his three sons, were serving life jail terms for raping and sodomising minors about seven years ago.

The rulling which was read this morning for two hours by Deputy Registrar of the court, Ms Neema Chusi, turned the court into a furneral like situation, whereby the three appellants, together with their relatives cried loudly.

Papii Nguza is the only one that did not cry.

The appeal was heard by Justices Nathalia Kimaro, Mbarouk Mbarouk and Salum Massati. Advocates Mabere Marando and Hamidu Mbwezeleni, represented the appellants.

MORE DETAILS TO COME
Waache Wafu wazike wafu wao!.
 
....kama kwa hakika aliyesuka huu mpango kama ni kweli[nasikia chanzo wivu wa mapenzi]......basi..hawa walioachiwa maisha yao yako hatarini...wanaweza kuwa extraminated ...kama watataka kuuza story yao kuhusu ukweli wa kilichokumba familia yao especially kwa mwaka kama huu 2010...washone midomoo!!..story yao worthy miillions of shillings...

Mara nyingi huwa nafikiri wewe ni "great thinker"... mbona hii issue inataka kutubainishia vingine?
 
Back
Top Bottom