kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Wimbo wa babu seya naoukumbuka ni wa "seya wa mivalo" huo wa salma siujui vizuri.
Huu hapa usikilize
Wimbo wa babu seya naoukumbuka ni wa "seya wa mivalo" huo wa salma siujui vizuri.
tena mambo lukumba lukumba, na ukistaajabu ya babu seya, utayaona ya maranda! chezea jela wewe!
Mimi huwa naamini kila jambo hutokea kutokana name sababu Fulani,ni mipango ya mungu, mungu hakumuumba mwanadamu aje anyanyasike ktk ulimwengu,so neema inakaribia kwa Babu Seya, eee mungu mnusuru na Mapito ya dunia hii
hii ni mupyaBabu Seya anasumbuliwa na adhabu ya Mizimu ya kwao. Alikuwa ktk ukoo wa kichifu na kudumisha mila huko Kongo. Alipuuza na kutoweka kabisa. Adhabu ikamfuata huko huko. Hakuna cha JK wala nini. Iko siku ataachiwa na atarudi kwao moja kwa moja na kuzeekea huko akidumisha mila na desturi.
Wangebaka na kulawiti watoto wenu ndo mngesema wasamrhewe? Hata rais ni mtanzania kama wengine hana mamlaka ya kupingana na sheria za nchi.
Una uhakika wamebaka?