Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,375
Hahahaha, Mbona hamjamuuliza The Finest? Au tumpigie sim afrodenzi tuone kama aliwapokea kule? In the mean time naomba Asprin utwambie tunakutana wapi, leo weekend bwana!
kha shemeji ngoja nimgoogle, will b right back! lolest! shemeji yangu mzima weye??Shemeji cacico mi namtafuta WomanOfSubstance umenionea wapi?
Kweli asee mmemisi sana mzee mwenzangu Dark City. Sijui shem kamfungia ndani?
Hahaha Roulette bana, naona unawaita washkaji zako kijanja kwa kuwamention. Ngoja nami nimstue swahiba wangu klorokwini kwa mtindo wa kimodereta.
Hahahaha, Mbona hamjamuuliza The Finest? Au tumpigie sim afrodenzi tuone kama aliwapokea kule? In the mean time naomba Asprin utwambie tunakutana wapi, leo weekend bwana!
heheh fello tablet Asprin acha nikusalim bana halaf wasalimie wanachit chat woooooooooooooooote. Mzembe nimepata jimama la ki ukraine wala msitegemee kuniona karibuni hapa JF, jimama limejifunga uzazi kabisa ili kunikomoa. Nyambaaf zangu loya.
gud night, hapa ukraine kesho tunashelehekea mwaka mpya
Dc kaniPM nije nimchukulie hiyo gift, kwa hiyo nije au unaangalia sura.
mmmmmmh utaiweza hiyo zawadi?
Babu DC ni moja ya vichwa ninavyovikubali hapa JF,na kuna wengine wengi siku izi siwaoni........
ndio maana baadhi ya majukwaa siku izi tunachungulia tu na kutoka..
Babu DC ni moja ya vichwa ninavyovikubali hapa JF,na kuna wengine wengi siku izi siwaoni........
ndio maana baadhi ya majukwaa siku izi tunachungulia tu na kutoka..
Labda iwe zawadi kama zinazotolewa Magwepande za kung'olewa kucha na meno!
O/wise hakuna kisichowezekana.
hahahahahaaa kijana umejilipua, haya come this way.....
Mbona umetupa jongoo na mti wake?
Wana jf tumekukosea nini?
Bishanga kwa kupaisha wewe kiboko! lolz, haya salamu kwa DC akikujibu...
kutoweka kwake lazima kutakuwa na mdomo wa mtu
Labda kamsindikiza Dr Uli bondeni !
Hata mimi nammiss kweli kweli. waulize Mbu na MwanajamiiOne kama wana habari yake
Babu Dark City, nisamehe sirudii tena, siku ile ilikuwa ni valuu tu.
Yaani kuomba ka uhausi kidogo tu ukakimbia mazima? Mie mjukuu nilikuwa nakutania tu.
babu Dc come this way, nina zawadi yako ya sabasaba.....
Kweli asee mmemisi sana mzee mwenzangu Dark City. Sijui shem kamfungia ndani?
Hahaha Roulette bana, naona unawaita washkaji zako kijanja kwa kuwamention. Ngoja nami nimstue swahiba wangu klorokwini kwa mtindo wa kimodereta.
by the way, sijamuona kitambo sasa! huwa ana ushauri mzuri sana kwa siye wajukuu zake, lol! Bishanga ama tuandamane??
Mara ya mwisho kabisa nilipanda naye basi la Shengena wakiwa na Mwali , wakashukia pale Msata wakiniaga kuwa wanachukua bodaboda hapo hadi kijiji kinachoitwa Mchambiakisu, ambako wana mfugo wao.
Tokea hapo Sijamsikia tena.