Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
Dc kaniPM nije nimchukulie hiyo gift, kwa hiyo nije au unaangalia sura.
Sasa mbona unaanza tabia mbaya?? Au hukusoma kuwa ni zwadi toka Sabasaba?
Babu DC!!
Dc kaniPM nije nimchukulie hiyo gift, kwa hiyo nije au unaangalia sura.
Salamu genuine hizo....au za kichina??
Babu DC!!!
Sasa mbona ulizituma kupitia kwa wakala/dalali/agent ..... Bishanga??
..Zimefika na karibu sana hapa kaunta tupate kinywaji!!
Babu DC!!
Mkuu DC nilijuwa Bishanga atakuwa ni wa kwanza kukuona kabla yangu, ili nihakikishe na mimi zangu zafika mapema nikaona ni heri atangulie nazo. Nashukuru kwa ukaribisho, siku ingine nitakaribia...
Duhhhhhhhh.....
Hata sijui nianzie wapi....ila ukweli ni kwamba I am very humbled by your concerns!!
Iwe mshaija Ta Bishanga.....sijui nikushukuruje ila ukweli ni kwamba Babu ni mzima na Bibi Pia...Walienda kuchungulia maeneo ya ng'ambo ya Lweru ambako nyumba zote za wageni zimevalishwa mipira ya watoto kuzuia kunyweshea matandiko!!
Mzee mwenzangu Asprin na wakuu wengine wote.....My big salute kwenu!!
@ BADILI TABIA...lazima nikutafute unipe zawadi yangu ili nimpatie Bibi DC aitunze!!
Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Babu DC ....1947!!!
Babu maunela is back hureee
nilikosa mabusara sana, but natengua statement siku hile haikuwa valuu
Sasa BiG Babu, mi nilidhani unarudi na MTM??
Poa, nimefurahi kukuona mkuu wangu!
Hivi wewe Kongosho hujaacha vituko???....Babu kazeeka kila kitu hata maini....bado figo tu ndiyo zinamfanya avute siku!!
Babu DC!!
Mkuu ,in your absence,a lot of water has passed under the bridge,wajukuu zako nilijitahidi kuwalinda kwa ari,kasi na nguvu mpya lakini ilishindikana.Duhhhhhhhh.....
Hata sijui nianzie wapi....ila ukweli ni kwamba I am very humbled by your concerns!!
Iwe mshaija Ta Bishanga.....sijui nikushukuruje ila ukweli ni kwamba Babu ni mzima na Bibi Pia...Walienda kuchungulia maeneo ya ng'ambo ya Lweru ambako nyumba zote za wageni zimevalishwa mipira ya watoto kuzuia kunyweshea matandiko!!
Mzee mwenzangu Asprin na wakuu wengine wote.....My big salute kwenu!!
@ BADILI TABIA...lazima nikutafute unipe zawadi yangu ili nimpatie Bibi DC aitunze!!
Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Babu DC ....1947!!!
Umeona eh? Kile kibabu cha Husney kimepatikana, nini?
Umeona eh? Kile kibabu cha Husney kimepatikana, nini?
nawaza kwa loud speaker tu.
Si unajua wazee hata kama hawawezi tafuna mhogo mbichi angalau wanapenda lamba tu.