Babu Aspirin

Babu Aspirin

Uuuh, ndo tabu ya kuzoeana na mbwa, anataka muingie wote mpaka masjid.
 
Hivi ulimwona wapi? kwanini hukumnyoa? umeamua kuja kumdhalilisha loooo.
 
ni katka kumkumbusha tu dada Remmy, unajua babu kazeeka anasahau sahau sana!
 
Last edited by a moderator:
We acha tu....pole sana mkuu,hawa warembo wakiongozwa na Zinduna na gfsonwin mwaka tutawakomaje? Ushauri wangu tuhamie jukwaa la siasa tuone watafanya nini au tuwafungulie RB?

bora umeliona hilo Bishanga, mambo yetu makubwa kama dege la obama, baada ya msuto na tabia haijabadilika baasi next wk end nakuandalia ngoma ya msondo kukufunda.
 
Last edited by a moderator:
nliogopa kumkumbusha live make angeweza hata kuntia bakora et!
 
Back
Top Bottom