Babie Kabae na Udini Clouds Tv

Wengine kazi tunaingia usiku usikariri, ratiba hazilingani. Kama sisi wazee wa Port Operation ni 24 Hrz. So usishangae mwenzio kwenda kubadilishana mawazo na wana saa nne baada ya kupiga mzigo usiku kucha.
Bora umwambie
 
Jumatatu mchungaji wa Kilokole Masanja mkandamizaji alikuwa hapo hapo Clouds 360 akihubiri Injili mbona hukutoa povu?......Msikitini ni kwa ajili ya ibada usikariri!
Ata akialikwa Sheikh sitashangaa wala kulaumu maana itakuwa ni kipindi maalumu kwenye mahojiano, kwenye mada ninachosema ni huyu binti kugeuza Clouds 360 kuwa Madrasa hiyo haikubaliki, mchukueni mumpeleke Iman Tv
 
Dhu! Mkuu unamka sasa 12 asubuhi unaenda kijiweni mpaka saa 4 kuangalia 360??, nilijua unaangalia kwako, kama ndo hivi hali ni mbaya sana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Na uliyaficha kifuani mwako ni makubwa na Mazito kuliko haya madogo uliyatoa
Hivi ndivyo MOLA MLEZI alivyomzungumzia Nasara na Yahudi ( Qur'an, 3:118)
Kwasababu Mnataka woote tuwe mila moja nanyi.Na hili MOLA MLEZI akatutahadharisha katika sura ya 2 kuwa
Hawatokuwa radhi Yahudi na Nasara mpka mfuate mila yao.
So we know you very well.
 
Jumatatu mchungaji wa Kilokole Masanja mkandamizaji alikuwa hapo hapo Clouds 360 akihubiri Injili mbona hukutoa povu?......Msikitini ni kwa ajili ya ibada usikariri!
Look here young fella,kuna vipindi maalumu vya dini tena kwa siku maalumu na muda maalumu.Uislamu au Ubahai hauna shida.Shida ipo kwa watu model yako.Mnalazimisha kula miwa chooni?Hebu uwe na tafakuri iliyojikita kwenye ukweli.
 
Kwani uislamu una ubaya gani?!!.......acha ujinga kijana!

Stop being defensive. Hakuna aliposema kwamba Uislam ni mbaya au vinginevyo. Amesema/ameshauri kwamba kwenye kipindi cha clouds siyo sehemu sahihi, maana watangazaji ni wengi na wana imani tofauti...... Kama vipi atafute platform nzuri/sahihi ya kuliongelea hilo la Uislam. Sasa wapi alipokosea??

Jifunze kuwa positive siyo kila kitu unakiangalia kwa negativity!
 
CLOUDS hupiga kwaya siku nzima ya JUMAPILI.. waislam hawakuwahi kulalamika! Nadhani mbasumguliwa mnasumbuliwa na SUPERIORITY complex! Hamjaanza leo!
Acha kupotosha Jpili ni Gosple Truck saa 12 kamili kinaisha saa 3 kamili chini ya Mchungaji mpendwa kutoka Kanisa La Nchi ya Ahadi pale sinza mapambano, then inafuata Easy Sunday ambako hupigwa nyimbo mbalimbali tena zisizo na mlengo wa Dini yoyote.
 
Kwani hayupo humu muumtag
 
Si kweli, Sam huwa anaendesha kipindi cha Jumapili ambacho ni cha dini totally na kinafahamika hivyo, 360 si kipindi cha dini TCRA fanyeni kazi yenu
Sijazungumzia kipindi cha dini cha jpili hicho nakijua,ila huyo jamaa huwa anachomokea masuala ya dini kama anavyofanya Baby kabaye.
 
HALAFU;hivi huyo "Bebe Kabaya" huwa ana "udhu" anapojidai yeye ndiyo maalim kwenye kipindi hicho?Acharazwe bakora hamsa wa ishrini mpaka aimbe haleluya!
 
Siku hizi siangaliagi ata 360 ila zamanai kipindi yuko Herdson Kamoga ndipo nikiangaliaga sana, Siku hizi naona hakina ata mvuto
 
Hapo umenena mkuu maana kwa wanaofuatilia Jumatatu mpaka ijumaa yeye ni uislamu uko hivi mara uko vile mara sisi tunaamini hivi yani kero tu
Hajaanzisha yeye mkuu,yule jamaa mfupi pale huchomekea sana tu masuala ya imani yake .
 
Angehubiri ukiristo, ungesemaje? Acha udini Mzee
 
Hiki kipindi huwa kinarushwa asubuh sasa mkuu wew asubuhi tu upo vijiwen kaz unafanya saa ngapi mzee
 
Siku ya jumapili mbona sisi hatusemi, waache kuhubiri
 
Haya street pastor amekuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…