Babie Kabae na Udini Clouds Tv

Kumbe we mtoa mada ni mpuuzi kiasi hicho.Unatuletea habari za ******* wenzako wa vijiwe i
 

Tuachane na Kiswahili basi maana zaidi ya asilimia 60 ya msamiati wake ni kutokana na Kiarabu

Kwa mfano katika bandiko lako hapo maneno yafuatayo ni kiarabu

1. Fikra
2.laumu
3. Salaam
4.swahili
5.arabu
6. Fahari
7.maana
8. Zaidi
9.asili
10. Akili
11. Ila
 



HER NAME IS BABY KABAY AND SHE IS NOT A TERRORIST.
 
Mimi ni mkristo tena mkatoliki sioni binfsi sioni tatizo lolote kwa mtu kunukuu kitabu cha dini yake kufikisha ujumbe au kuonya au kutahadharisha jamii kuhusu jambo fulani ikiwa vifungu hivyo havikashifu dini zingine.
 
Unajiyahidi kuonesha chuki zako za wazi dhidi ya uislamu,mbona viongozi wenu popote pale huanza kwa kunukuu vifungu vya biblia na haiwi tatizo?kwanini chuki za kijinga na kipuuzi zimeshamiri kwako?
 
Kwaiyo saa 12 asubuhi uko kijiweni unaangalia 360 nawana???
Mim binafsi nimkristo ila nachukizwa sana nahuu umama ulioletwa nakijana wakiume humu
 
Unajiyahidi kuonesha chuki zako za wazi dhidi ya uislamu,mbona viongozi wenu popote pale huanza kwa kunukuu vifungu vya biblia na haiwi tatizo?kwanini chuki za kijinga na kipuuzi zimeshamiri kwako?
Umeshasema viongozi, Kabaye ni mufti?
 
Chuki zingine bwana,Kwani huwezi kubadili channel au tv yako inachannel moja? Au unataka tuanze kukutajia watangazaji wanaohubiri kwenye vipindi vyao?

Vitu vingine vinafikirika sio kupiga Pang’aa tu Buda,Wakristo wengi wa tanzania mnauchukia sana uislam

Nonsense [emoji1522]‍[emoji335].
 
Kama wapo wanaohubiri waambieni waacha, kwamujibu wa kanuni, 360 si kipindi cha dini na lalamiko hili lingeenda TCRA ingepewa adhabu. Uzuri ni kwamba leo amejirekebisha maana anafahamu alikuwa anafanya makosa na tumebaini
 
Acheni ushetan huo angekuw anaongea umbea wa mastaa mngekuw makin kweli nawe kaombe uwe unatangaza pale na upangiwe naye muanze mijadala acha hizo dogooo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…