Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
- Thread starter
-
- #201
Sio chuki muda mwingine hamjielewi mnalazimisha mamboMara zote ukisikia nenp udini ujue ni uislamu na wala sio dini nyengine.
Ila ninlichogundua wakristo wanachuki sana
' Unakutana na mtu kwa mara ya kwanza haufahamu imani yake lakini salamu unamsalimia ya dini yako, ama unafahamu fika imani yake lakini wewe kwa kukariri ama ukorofi tu unaanza kumsalimia kwa salamu unayoitumia kwenye dini yako!! je ! yeye akikusalimia ama akakakujibu kwa dini yake utafurahiama utajibu. Tujifunze ustaarabu wa kuishi na imani nyingine bila kuwakera. Tanzania ndio nchi yenye baraka ambayo wengi tumezaliwa tukajikuta tunaishi pamoja imani tofauti kwa kushirikiana. Nadhani kuna watu wamezaliwa sehemu ambayo imani ya dini yake imekuwa ni sehemu ya mila na desturi zao kutokana na hilo salamu za kidini zimekuwa ni salamu rasmi kwa kila sehemu, lakini unapotoka nje ya eneo hilo ama unapopata mgeni usiyejua imani yake, usimkwaze kwa salamu yako jitahidi umsalimie kwa salamu ya kiswahili baada yakujua imani yake waweza kuendelea na salamu za kiimani. Kama ni siku ya ijumaa kafanya hivyo huyo mtangazaji ni sahihi na sii mbaya kwa sababu tunajua siku ya ijumaa kuna vipindi maalumu vya dini hiyo na ni siku yao na wala haina shida yoyote kama ilivyo jumapili kwa upande mwingine. Lakini kama anafanya hivyo kila siku basi atafutwe na watu wake wa karibu aelimishwe.
Yesu hajawahi kuongea kiarabu. Hivi leo mkatoliki ama mlutheri akitumia Lugha ya kilatini ambayo ndio lugha rasmi ya kanisa kukusalimia kwa maneno "pax vobiscum" utajibu? Wasalimieni hao hao ila mimi ukilisalimia hivyo na mimi nakujibu " TUMSIFU YESU KRISTU" ukibadilisha kama unaakili umeelewa nitakujibu kwa kuniamkia kwa salamu ambayo haina maudhui ya kidini ama hujanisalimia kwa Lugha ambayo ni lugha rasmi ya dini fulaniwewe unajua yesu alikuwa anasalimia vipi . unajua maana ya shalom. salamu alikuwa akitumia yesu . maana yake amani iwe juu yenu, unajua maana ya salam alleikum, maana yake , amani iwe juu yenu. wewe salamu yako umeitowa wapi ya bwana asifiwe
Mkuu naiheshimu. Karibu Arusha
Kwenye Dini yangu takatifu ya Kiafrika ya mizimu hawawezi kuja....Hivi leo ni lini? Naona mlianzia usabatoni sasa mnaelekea Clouds kwa Kabaye na uislam. Sijui mkitoka huko mtaenda kwa nani? Labda Yericko Nyerere aje atusaidie.
Point ya kipumbavu sana hii kwa hiyo kangi lugola anapobeba ilani ya ccm wote ni ccm?Waislamu hua wanauelewa mdogo sana yani wao huhisi kila saa ni dini dini tu mfano mtu anaweza toka alipotoka na kukusalimia "Asalam Alekum" utafikiri anajua kwamba wewe ni muislamu mwenzake wakati wakristo hua hawa habari za Bwana Yesu Asifiwe, Au Tumsifu Yesu Kristo kwa mtu asiemjua
Naona unaendeleza uelewa mdogo wa vituPoint ya kipumbavu sana hii kwa hiyo kangi lugola anapobeba ilani ya ccm wote ni ccm?
Inaonekana Asalam Aleikum inakusumbua sana! Amani iwe juu yako Mkuu.Waislamu hua wanauelewa mdogo sana yani wao huhisi kila saa ni dini dini tu mfano mtu anaweza toka alipotoka na kukusalimia "Asalam Alekum" utafikiri anajua kwamba wewe ni muislamu mwenzake wakati wakristo hua hawa habari za Bwana Yesu Asifiwe, Au Tumsifu Yesu Kristo kwa mtu asiemjua
Si wastaarabu, wamekariri mambo, wana dini ya kujionyeshaWaislamu hua wanauelewa mdogo sana yani wao huhisi kila saa ni dini dini tu mfano mtu anaweza toka alipotoka na kukusalimia "Asalam Alekum" utafikiri anajua kwamba wewe ni muislamu mwenzake wakati wakristo hua hawa habari za Bwana Yesu Asifiwe, Au Tumsifu Yesu Kristo kwa mtu asiemjua