Babie Kabae na Udini Clouds Tv

pumbav uyo laiti ungefunuliwa moyo ulivojaa chuki macho yangepofuka wanataka wawe wao tu as if wengine ni meaningless
 
Tatizo ni kuingiza maudhui ya dini ktk vipindi ambavyo si vya dini


Sawa, nimekuelewa Chief.
Sasa labda nisaidie kuelewa na hapa;..... baada ya kuingiza maudhui ya dini, kipindi kimeleta matatizo gani? Kimekua na madhara kwa jamii? Kimesababisha matatizo yapi kwako kiafya akili + mwili, kwa jamii pia? Je, kwa namna yoyote ile hicho kipindi Kimesababisha maafa kwa wengine na kuleta faraja kwa wengine? Ama kimeleta faraja kwa baadhi tu huku wengi wakisononeka? Na kama wanasononeka, wanafanya hivyo kwa chanzo kipi cha maumivu yao?

*Samahani kwa maswali mengi Chief.
 
Kinatukera
 
Point
 
Kinatukera

Nimekuelewa Chief,
Tafadhali nisaidie kuelewa kiswahili vizuri.....

Wanaposema "Kero huepukwa bali Chuki huonjwa/ugonjwa" wanakua wana maana kwamba kinachokukera unapaswa kukiepuka ila kama unakichukia kitakuumiza (samehe 7×70, amri kuu ni upendo, hakim wa haki sawa ni Muumba, binaadam wote sio kamili machoni kwetu...n.k) ama nimeielewa tofauti?
 
Mfia kristo hyooo!! Chuki nd imemtawala kijana. Tunapaswa kufahamu kijana achana na uislamu hata akihubiri ubudha cnd vzur unapata kujua na upande wa pili wa watu tofauti
 

WEWE MTOTO WA JOSHUA ACHA CHUKI UMELAZIMISHWA KUFUNGUA CHANEL HIYO NENDA KAFUNGU CHANNEL EMMANUEL
 
Mfia kristo hyooo!! Chuki nd imemtawala kijana. Tunapaswa kufahamu kijana achana na uislamu hata akihubiri ubudha cnd vzur unapata kujua na upande wa pili wa watu tofauti
Alipie kipindi kwaajili hiyo sio kuchomekea
 
Tatizo waislamu mnapenda vyabure, lipieni kipindi sio kuvamia vipindi maana hili likiripotiwa TCRA kipindi kitafutwa so namwambia kiroho safi aache huo ulimbukeni
 
Simple,
Ukiona kaanza hizo habari nyanyuka tu kafanye shughuli ingine. Humplipi akutangazie, wala ye hakulazimishi umsikilize.
 
Simple,
Ukiona kaanza hizo habari nyanyuka tu kafanye shughuli ingine. Humplipi akutangazie, wala ye hakulazimishi umsikilize.
Si lengo la kipindi anaudhi anafukuza baadhi ya advertisers
 
Mkuu tatizo la kijiweni hata wewe mwenyewe ukiondoka lazima watakusema,acha kukaa vijiweni,na pia sisi hatuoni kuwa ni kosa na ndio maana hatujamchukulia hatua yoyote,sawa na wakuu wengine wa idara mbali mbali kunukuu vifungu vya biblia,kwa hiyo mezea tu ondosha kiburi moyoni.
 
Kwani wakati ananukuu hivyo vifungu huwa ni kipindi cha kidini?
Koma kuwaambia wanapenda vya bure hayo ni matusi dogo,walikuja kudai bure kwako hiyo nanihilii?
Tatizo waislamu mnapenda vyabure, lipieni kipindi sio kuvamia vipindi maana hili likiripotiwa TCRA kipindi kitafutwa so namwambia kiroho safi aache huo ulimbukeni
 
Vitu vingine bwana kama unakereka switch Emanuel TV umsikilize Joshua kelele za nini bill ya king'amuzi unalipia mwenyewe?
 
Kwani wakati ananukuu hivyo vifungu huwa ni kipindi cha kidini?
Koma kuwaambia wanapenda vya bure hayo ni matusi dogo,walikuja kudai bure kwako hiyo nanihilii?
Huyo Kabae anafanya kampeni za uislamu kwenye 360 anakwepa kununua kipindi maalumu, tumieni akili waarabu wanawapotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…