Boss (manake at this age nikikuita babe utajua unaibiwa live), zile mileage zako zimefika ngapi wangu manake nna hamu nazo hadi naskia kihindihindi. Hebu nifanyie mpango wa ticket mbili za dubai shaaa niende na dogo tukafurahie wokovu wetu wenye dhambi. Yaani hapo ukicheka imeshakula kwako! Mie nipige mzinga wa chipsi na nna shamba la viazi?
Mwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
Ha aha ahaaaa uzuri wa type hii huwa hawana umimi yaani akifumania nyavu naye kukupiga mi perfume sijui mashuka ya home sio issue na akipata training hata Arusha tu hakawaii kukuambia"much as wananilipia chumba just drive will host you huku" mzee tartiibu unaenda hapo Nashera unapumzisha mtima"!!!!!!
Yaani mnajiongeza flani hivi na wengi sio kununa type!!!!!
Unawezaa safiri ukamuachia gari akakurudishia limeoshwa na full tank!!!!!
Huku side B sasa????!!!!!!!Akiwa nacho hujui akiwa hana anakununia yani kama konda hesabu haijatimia!!!!!
umenivunja mbavu!!!Thubutu yako usingeandika vile!!!!
Sasa mbona hivyo vitu vidogo tena vya kitoto sasa nikikwambia hun niongezee 3 million tu nikachukue mzigo mpya china c utakimbia wewe? Yaani mtu uombe popcorn, I cream za nn hizo? Au babe nitumie vocha basi shit! Utoto huo mdada omba kitu cha maana swetie kuna kiwanja kinauzwa 5 mil nina 3.5 mil piga hela ndefu we unaomba hela ya lace wig??
sina nenoNelson be serious tuvitu tudogo huto jamani, si kwmba anashindwa yeye kununua ila inaongeza mapenzi akideka kwako. Popcorn, Ice cream, wines ndio vikorombwezo vya mahaba Nelson nely
Aaah kabisa shost, waache zao hivi vitu hata watoto wa sekondari wanaafford. Je wakipigwa mizinga ya maana si mtu anahama mkoa sijui nchi.
inakera but anaposema bby nina nye.ge hapo natabasamu balaa
makubwa!Bila shaka nimekusoma hz tabia za kukwepa kuhudumia cjui nan anawafundsha watu hawa ndio wanaopenda wahudumiwe wao
Hahahahaaaaa
Jamani my babe mbona huna haja ya kwenda kozi yoyote..embu fikiria hukusema chochote ulishapata AUDI je kisema itakuwaje?? Just mention it then wait for deliverly honey TATIANA
umenivunja mbavu!!!
Haba na haba hujaza kibaba, akija kushtuka hapo ndani ya mwezi mmoja gharama aliyotumia angekuwa na rava-4
Sasa mbona hivyo vitu vidogo tena vya kitoto sasa nikikwambia hun niongezee 3 million tu nikachukue mzigo mpya china c utakimbia wewe? Yaani mtu uombe popcorn, I cream za nn hizo? Au babe nitumie vocha basi shit! Utoto huo mdada omba kitu cha maana swetie kuna kiwanja kinauzwa 5 mil nina 3.5 mil piga hela ndefu we unaomba hela ya lace wig??
Oooh you are such a sweetheart darling. Rest assured that I will not attend that training.
Thx darling
Kwahiyo ukiwa na mpenzi wako utamchukulia kama work mate au? Hata kama ubahiri siyo huo bana.
Mpelekee mrembo popcorn acheck movie amalizie long weekend hii.