Hukuona kuku wa kienyeji manzese huko...?! Umetaka mwenyewe mambo ya wats up how u doin... nenda sasa utoke na babe... she will be sipping wine through the nite!
Sasa kama mwanaume atashindwa vitu vidogo hivyo, ni kipi anachoweza tena?
Bora kulalamika bidada anataka kubadilishiwa gari kila mara au mizinga ileeeeeee mikubwaaaaa.

Nelson be serious tuvitu tudogo huto jamani, si kwmba anashindwa yeye kununua ila inaongeza mapenzi akideka kwako. Popcorn, Ice cream, wines ndio vikorombwezo vya mahaba Nelson nely