Baba yangu siku ya nne fahamu hakuna

Baba yangu siku ya nne fahamu hakuna

Wakuu naomba kuwasalim, naomba msaada na faraja zenu pia maombi, baba yangu alipata ajali ya kugongwa na pikipiki, hajaweza kupata fahamu hadi sasa, nimeamua kuleta hapa jukwaani kwa kunipa faraja ndugu zangu.

Pole da'Samila,najaribu kupata picha jinsi ulivyokuwa na huzuni ulipokuwa una post hii habari,usjali mwombe mungu baba atapona!pia mpe pole mzee Kadunda mwambie awe shupavu kama Madiba.pole sana
 
Amen @ sir Mimi
Pole da'Samila,najaribu kupata picha jinsi ulivyokuwa na huzuni ulipokuwa una post hii habari,usjali mwombe mungu baba atapona!pia mpe pole mzee Kadunda mwambie awe shupavu kama Madiba.pole sana
 
Pole sana ndugu'Mungu anaweza ndiye daktari mkuu atamponya.Pia Mungu wetu ni mwaminifu ameshayasikia maombi yote tuendelee kumuomba amponye kwa wakati wake anaopenda yeye.Mungu aliye na huruma isiyo na mipaka amponye na awatii nguvu familia ndugu na marafiki Amina.
 
Nawasalim wapendwa wote ambao mmekuwa mkimweka baba yangu katika maobi na faraja kwangu, nilikuwa masomoni imenilazimu leo j nne kukatisha masomo kusafiri kwenda Iringa kumuona mwenyewe ikiwa leo siku ya 8 toka alazwe hospitali ya Mkoa Wa Iringa pasipo mafanikio ya kuridhisha.maana wanasema nivema kuona mwenyewe kuliko kusimuliwa.
 
amen amen @mwana wa mama
 
Last edited by a moderator:
Amen!
Na hakika Mungu hatakutupa hata mara moja.
Asante.

haka ka binti wakati mwingine kanaongeaga mambo ya busara, leo nimeshanga kwani nimezoea kuona kanaponda wanaume haadi nilikuwa nipo kwenye program ya kukatafuta ili nakufundishe namna ya kuongea na me
 
lutayega..... Naomba nisiongee chochote kwanza maana tuko kwenye maombi pamoja na mkuu samilakadunda.
Nikianza kukujibu tutaichakachua thread nzima.
 
Last edited by a moderator:
Wamemfanyia x-ray wanasema haionye kuumia sikichwani wala mwilini lakini wakatimwingine hana anatapika damu!
pole sana mkuu I was in Iringa during week end nilikutana na rafiki yangu moja aliniambia story exactly inafanana nahii au atakua ndiye mgonjwa huyohuyo?
 
Pole mwana JF naamini kuna wataalamu humu watakushauri vizuri kitabibu,ILA usiache kupiga magoti na kuomba kwani MUNGU pekee ndio Mponyaji.
 
Pole sana mpendwa tunakuombea. Mungu ampe uponyaji baba na faraja kwenu.
 
Nawasalim wapendwa wote ambao mmekuwa mkimweka baba yangu katika maobi na faraja kwangu, nilikuwa masomoni imenilazimu leo j nne kukatisha masomo kusafiri kwenda Iringa kumuona mwenyewe ikiwa leo siku ya 8 toka alazwe hospitali ya Mkoa Wa Iringa pasipo mafanikio ya kuridhisha.maana wanasema nivema kuona mwenyewe kuliko kusimuliwa.

Mumgu Akutangulie safarini. Tunaendelea kuwaweka familia nzima kwenye maombi na tunaamini Mungu Atawapa nguvu ya uponyaji.
 
Wakuu naomba kuwasalim, naomba msaada na faraja zenu pia maombi, baba yangu alipata ajali ya kugongwa na pikipiki, hajaweza kupata fahamu hadi sasa, nimeamua kuleta hapa jukwaani kwa kunipa faraja ndugu zangu.

dah! hiyo like si kwasababu nimependa uuguliwe ila its one way of showing my empathy. cc Mwali

Mwombe Mungu atatenda.

Mpendwa usikasirike kuachwa na Mungu wakati kama huu na wala usishangae kurudiwa nae.
 
Last edited by a moderator:
Just be strong and keep positive thoughts and feelings.
Kama muumini basi muombee apate nafuu na apone haraka.
 
Mungu muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo,tunakuomba umtembelee mtu huyo,wewe ndo mponyaji wa uhakika,usiruhusu mwovu atukuke juu yetu,tupiganie na ututee Mola,mponye mtu huyu na wote walio vitandani kwa maumivu!! Kila mmoja aseme AMEN
 
Back
Top Bottom