Baba yangu siku ya nne fahamu hakuna

Baba yangu siku ya nne fahamu hakuna

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
Wakuu naomba kuwasalim, naomba msaada na faraja zenu pia maombi, baba yangu alipata ajali ya kugongwa na pikipiki, hajaweza kupata fahamu hadi sasa, nimeamua kuleta hapa jukwaani kwa kunipa faraja ndugu zangu.
 
Pole sn mkuu,,,, vuta subra, atapona, c yuko hospitali?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Pole sana.

Pamoja na maombi lakini mpeleke Hosp
Mungu ni Mwema kila iitwapo leo Mkuu.
 
Get well soon dady! tunamuombea kwa Mungu aliye juu, atapona tu inshallah, kwani kaumia sehemu gani hasa..
 
Pole sana mkuu,

Tunamuweka baba kwenye maombi na tunaamini Mungu wetu Aliye Hai Atampa nguvu ya uponyaji!

Mungu Akujaze wewe na familia nzima moyo wa tumaini, udumu katika sala na Mungu wetu siku zote Anajibu!

Mungu ni Mwema, Amini, baba atapona!
 
Wamemfanyia x-ray wanasema haionye kuumia sikichwani wala mwilini lakini wakatimwingine hana anatapika damu!
 
Pole Mkuu, Mungu ndiye tumaini letu na kwa kumuomba kwetu, atamponya haraka hivyo tuendelee kumuomba.
 
Dear Lord of Mercy and Father of Comfort,You are the One I turn to for help in moments of sickness, weakness and times of need. I ask you to be with your servant in this illness. Psalm 107:20 says that you send out your Word and heal. So then, please send your healing Word to your servant. In the name of Jesus, drive out all infirmity and sickness from his body.

Dear Lord, I ask you to turn this weakness into strength, suffering into compassion, sorrow into joy, and pain into comfort for others. May your servant trust in your goodness and hope in your faithfulness, even in the middle of this suffering. Let him be filled with patience and joy in your presence as he waits for your healing touch.

Please restore your servant to full health, dear Father. Remove all fear and doubt from his heart by the power of your Holy Spirit, and may you, Lord, be glorified through his life.

As you heal and renew your servant, Lord, may he bless and praise you.

All of this I pray in the name of Jesus Christ.

Amen.
 
Pole sana mkuu,

Tunamuweka baba kwenye maombi na tunaamini Mungu wetu Aliye Hai Atampa nguvu ya uponyaji!

Mungu Akujaze wewe na familia nzima moyo wa tumaini, udumu katika sala na Mungu wetu siku zote Anajibu!

Mungu ni Mwema, Amini, baba atapona!

Amen amni naiwe kaka@ kiwi
 
Pole sana Samilakadunda, muombe mwenyezi Mungu na hatasita kuonyesha maajabu yake. Hali kama hiyo imewahi kutokea katika familia yetu mjomba alikaa siku nne Hosptalini bila kujitambua, tulianza kukata tamaa, kama familia tulianza kujikusanya maana tulijua kuwa siku zake za kuisha ndio zinafikia ukingoni, pia tuliita padri kwa ajili ya sekrament ya kifo (kwa wakristo wanaelewa ni nini) ila kitu kimoja hatukuacha kumuomba Mola na kweli siku ya tano usiku wa manane mjomba wetu alizinduka.... Ni kama miezi 3 iliyopita na kwa sasa anakula nchi. Jipeni moyo msikate tamaa Mungu yuko pamoja nayi.
 
Wamemfanyia x-ray wanasema haionye kuumia sikichwani wala mwilini lakini wakatimwingine hana anatapika damu!
Pole sana itakua alipata mshtuko na pia kapata majeraha kidogo kifuani lakini atazinduka tu kwa uwezo wa bwana..
 
Pole sana Samilakadunda, muombe mwenyezi Mungu na hatasita kuonyesha maajabu yake. Hali kama hiyo imewahi kutokea katika familia yetu mjomba alikaa siku nne Hosptalini bila kujitambua, tulianza kukata tamaa, kama familia tulianza kujikusanya maana tulijua kuwa siku zake za kuisha ndio zinafikia ukingoni, pia tuliita padri kwa ajili ya sekrament ya kifo (kwa wakristo wanaelewa ni nini) ila kitu kimoja hatukuacha kumuomba Mola na kweli siku ya tano usiku wa manane mjomba wetu alizinduka.... Ni kama miezi 3 iliyopita na kwa sasa anakula nchi. Jipeni moyo msikate tamaa Mungu yuko pamoja nayi.
Amen! Nashukuru kwa kunitia moyo nikwelindugu wote wamekusanyika ni mimi tu sipo nipo masomo Alinda
 
Last edited by a moderator:
i will include him in my prayers this night! im sure he will be fine!
 
Dear Lord of Mercy and Father of Comfort,You are the One I turn to for help in moments of sickness, weakness and times of need. I ask you to be with your servant in this illness. Psalm 107:20 says that you send out your Word and heal. So then, please send your healing Word to your servant. In the name of Jesus, drive out all infirmity and sickness from his body.

Dear Lord, I ask you to turn this weakness into strength, suffering into compassion, sorrow into joy, and pain into comfort for others. May your servant trust in your goodness and hope in your faithfulness, even in the middle of this suffering. Let him be filled with patience and joy in your presence as he waits for your healing touch.

Please restore your servant to full health, dear Father. Remove all fear and doubt from his heart by the power of your Holy Spirit, and may you, Lord, be glorified through his life.

As you heal and renew your servant, Lord, may he bless and praise you.

All of this I pray in the name of Jesus Christ.

Amen.

Amen amen@Maxshimba
 
Back
Top Bottom