Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Pole sana Samila.
Mkuu samilakadunda pole kwanza kwa mtihani huo.
Pili napenda kukujulisha kuwa mtegemee Mungu kwa kila jambo.
Omba sana, kama ni Muislamu au Mkristo funga angalau siku tatu huku ukisali.
Pole sana.
Get well soon dady! tunamuombea kwa Mungu aliye juu, atapona tu inshallah, kwani kaumia sehemu gani hasa..
Amefanyiwa vipimo inasemekana kaumia ndani ya kifua kwasababu wakati mwingine anashindwa kupumua na anatapika damu. Aksante kwa maombi yako mkuu.
wanajamvi ambao najua vinywa venu vimekuwa vikimkabidha baba yangu mpendwa sasa mwenyezi mungu amfanza kujibu maombi yenu! Baada ya kuwa na hali mbaya ya kukata kauli na kutumia oxgen life spport machine, leo ameanza kutambua watu na kujaribu kuonge, hakika nifaraja kwangu.mungu awabariki sana
Amen!
Neno linatukumbusha ya kuwa tukiomba kwa Imani Mungu Anatenda!
Haya yote ni majaribu, ni mapito.
Katika njia hii tumekusanya maombi ya wengi, na Mungu Wetu Aliye Hai Anatusimamia.
Pole sana mkuu kwa kuuguza, Amini ya kuwa Mungu Ataendelea kumpa nguvu ya uponyaji baba yetu.
Mungu ni Yeye Yule Jana, Leo na hata Milele!
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma azidi kumsaidia mzee wako ili afya yake izidi kuimarika na hatimae kurudia hali yake ya kawaida.
Kumbuka msimamizi wa maisha yetu ni MUNGU!usife moyo kwa mitihani tunayopata....
dah POLE SANA MKUU TUNAMWOMBEA MZEE WETU APATE UNAFUU AMINA