Baba yangu siku ya nne fahamu hakuna

Baba yangu siku ya nne fahamu hakuna

wanajamvi ambao najua vinywa venu vimekuwa vikimkabidha baba yangu mpendwa sasa mwenyezi mungu amfanza kujibu maombi yenu! Baada ya kuwa na hali mbaya ya kukata kauli na kutumia oxgen life spport machine, leo ameanza kutambua watu na kujaribu kuonge, hakika nifaraja kwangu.mungu awabariki sana

Pole sana Mkuu. Mungu akupe nguvu katka kipindi hiki kigumu
 
Mkuu pole sana. Ila katika kila jambo Mungu ana jambo la kuongea. Nami ilinitokea kwa mzee wangu kama mwezi nakitu. Nilichukua picha yake na kuomba kupitia (Emmanuel.tv) na kuandika maombi yangu kupitia (SCOAN - The Synagogue, Church Of All Nations). Nashukuru Mungu baada ya maombi tu, alirudia hali yake ya kawaida, hadi ninavyoandika yuko vizuri kabisa na anaendelea na shughuli zake za kila siku. Mungu ni Mwema.
 
pole sana mkuu I was in Iringa during week end nilikutana na rafiki yangu moja aliniambia story exactly inafanana nahii au atakua ndiye mgonjwa huyohuyo?

Inawezekana mkuu, nimaeneo ya iringa ilula nipo hosp nimeingia leo kuja kushuhudia mwenyewe maana nimekuwa nikisimuliwa tu mkuu, ukweli maombi yanahitajika sana mkuu.
 
Mkuu pole sana. Ila katika kila jambo Mungu ana jambo la kuongea. Nami ilinitokea kwa mzee wangu kama mwezi nakitu. Nilichukua picha yake na kuomba kupitia (Emmanuel.tv) na kuandika maombi yangu kupitia (SCOAN - The Synagogue, Church Of All Nations). Nashukuru Mungu baada ya maombi tu, alirudia hali yake ya kawaida, hadi ninavyoandika yuko vizuri kabisa na anaendelea na shughuli zake za kila siku. Mungu ni Mwema.

Aksante kaka kwa ushauri mzuri kunaulazima wakufanya hivo amaana ukweli anaumwa
 
Inawezekana mkuu, nimaeneo ya iringa ilula nipo hosp nimeingia leo kuja kushuhudia mwenyewe maana nimekuwa nikisimuliwa tu mkuu, ukweli maombi yanahitajika sana mkuu.
Itakuwa ni hiyo kwani nilikutana na jamaa yangu kutoka mbeya alifikia hoteli niliyo fikia mimi akanieleza amekuja mwona mgojwa ambaye alipata ajali ilula na situation ni kama hiyo uliyo ieleza .poleni sana Mungu awatangulie.
 
hakika mkuu ni baba yangu mdogo ndie ulikutana nae, upo sahihi kabisa ndio huyo mkuu.
 
wakuu kwa huzuni kubwa naomba kuwaarifu baba yangu mpendwa ameningoja nimefika na ameniaga mikononi mwangu saa 9:30 usiku 27/ 06/2013. Nawashukuru wote mliemuombia hadi ameningoja ndipo aniage. Mwanga wa milele umwangazie astarehe kwa amani. Mazishi yatafanyika iringa ilula mazombe. Mungu awabariki.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Oooh poleni sana sana jamani. Mungu awafariji kwa namna ya kipekee. Tuko pamoja mkuu.
wakuu kwa huzuni kubwa naomba kuwaarifu baba yangu mpendwa ameningoja nimefika na ameniaga mikononi mwangu saa 9:30 usiku 27/ 06/2013. Nawashukuru wote mliemuombia hadi ameningoja ndipo aniage. Mwanga wa milele umwangazie astarehe kwa amani. Mazishi yatafanyika iringa ilula mazombe. Mungu awabariki.
 
Pole sana dada yangu samila. Mungu awape moyo wa subira na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu. Tuko pamoja ktk kumwombea maana tulianza na Mungu na tunaendelea na Mungu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Poleni sana Mkuu samilakadunda kwa msiba mkubwa uliowafika. Mwenyezi Mungu awapeni nguvu na faraja kipindi hiki kigumu kwenu na ailaze roho ya marehemu Baba yetu mahali pema peponi~AMEN

wakuu kwa huzuni kubwa naomba kuwaarifu baba yangu mpendwa ameningoja nimefika na ameniaga mikononi mwangu saa 9:30 usiku 27/ 06/2013. Nawashukuru wote mliemuombia hadi ameningoja ndipo aniage. Mwanga wa milele umwangazie astarehe kwa amani. Mazishi yatafanyika iringa ilula mazombe. Mungu awabariki.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mpendwa wetu pamoja na familia nzima. Tunaendelea kuwaweka nyote kwenye maombi, Mungu Awape faraja yake katika kipindi hiki kigumu. Mungu Amlaze mpendwa baba mahali pema!
 
Pole sana Mkuu. Tunakuombea kwa Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki. Hakika atakuvusha.
 
Pole sana Samila. Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Roho ya Marehemu ipate Rehema kwa Mungu na ipumzike kwa Amani. Amina.
 
With God everything is possible. Pole xana my dear.tumtegemee aliye juu ataonyesha miujiza yake.
 
Back
Top Bottom