Pole sana mkuu....Mungu ampe amlaze pema...apumzike kwa amani!naomba mambi yenu yaendelee kwani leo ndio siku ya kumuaga baba yangu kipenzi, baada ya kumaliza sikuzake hapa dunianiani tumwombee apumuzike kwa amani na apokelewe vema huko aendako. Na astarehe kwa amani.
wakuu naomba kuwasalim, naomba msaada na faraja zenu pia maombi, baba yangu alipata ajali ya kugongwa na pikipiki, hajaweza kupata fahamu hadi sasa, nimeamua kuleta hapa jukwaani kwa kunipa faraja ndugu zangu.
naomba mambi yenu yaendelee kwani leo ndio siku ya kumuaga baba yangu kipenzi, baada ya kumaliza sikuzake hapa dunianiani tumwombee apumuzike kwa amani na apokelewe vema huko aendako. Na astarehe kwa amani.