danhoport
JF-Expert Member
- May 20, 2020
- 2,099
- 4,802
Habari jamaa zangu, ipo hivi baba angu mzazi ana watoto watano(5) kati ya hao watano mimi nipo peke yangu kwa mama(marehemu) na hao wengine wanne mama yao ni mmoja.
Huyo mama ameshatengana nae, hapo juzi alikuwa na shida akanitafuta kwenye simu nikamsaidia pesa kiasi, sasa sijajua baba kajuaje kama nimempa pesa nashangaa siku nampigia baba kumsalimia ndo anaanza kunisomea risala ananiambia hataki kusikia nimemtumia pesa tena na kama akiwa na shida awaambie watoto wake wa kuwazaa.