Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

Duh

Inasikitisha.

Inasikitisha ni wewe unasikitika. Umetetea ni sawa Rais kupiga marufuku watoto wanaopata mimba wasiendelee na masomo, ni kama wote wanapenda kupata mimba. Unashangilia chochote Serikali ikifanya hata kuvunja haki za hawa watoto. Watoto wengi wanaogopa kusema, wanaowafanyia vitendo hivi ni watu wanaowalea. Kwa hili Rais Magufuli amekosea sana, na wote wanaounga mkono MUNGU hatawasamehe. Watoto hawa hawana pa kukimbilia.
 
Logic ya mtoto ni kuwa, huyo ndo anamlipia ada na chakula na all her basi needs ndiyo maana inamuwia ngumu kumsemea.

Wakati niko polisi hizi issue zilikuwa sana, yani binti kapewa mimba na mjomba au hata baba yake mzazi/kambo ila yupo tayari kwa lolote ila asimtaje maana anajua akienda ndani na yeye future yake inayumba (mara nyingi wanakuwa walishawatishia hivyo, ikiwamo na kuwatishia kuwaua). Kwa mtoto maneno na vitisho hivyo viko deep kuliko tunavyotaka kuamini sisi wenyewe (I mean kama mtu mzima ni rahisi kupuuza na kuona anapenda mwenyewe nk).

Nadhani serikali iko bize kuwafunga wakosaji na sio kuwahudumia wahanga wa haya mambo ndiyo maana hayaishi. Wizara husika iwezeshwe kifedha na iandae mfumo mzuri wa kuhakikisha mabinti hawa wanapata maisha baada ya abusers wao kufungwa.

My 5 cent.

Serikali inajuwa yote haya, haina heshima kwa watoto wa kike. Imeshindwa kulinda haki za hawa watoto badala yake ni adhabu juu ya adhabu. Kauli ya Rais Magufuli itawapa wabakaji haki ya kubaka, na mwenye hatia atakuwa mtoto.
 
mleta mada kua makini na watu kama huyu....

Ana matatizo anahitaji msaada zaidi ya Maneno yenu ya matusi.
Namwambia anicheki apewe msaada ,
Mpumbavu kama wewe unasema awemakini na mtoa msaada!
Kweli ubinadamu kazi kwelikweli!
 
Ana matatizo anahitaji msaada zaidi ya Maneno yenu ya matusi.
Namwambia anicheki apewe msaada ,
Mpumbavu kama wewe unasema awemakini na mtoa msaada!
Kweli ubinadamu kazi kwelikweli!
ugua pole
 
Mzee mmja anamtka bnt yke kimapnz mwaka was tatu mfululizo na amejarb kumbaka Mara kadhaa mpka anatka kuhama kwao. Bdo anasoma na anahtaji ushauri now ypo kidto cha sita.

Jaman HV nn knasababsha mzaz kumtaka mwanae jmn??

Sababu zipo nyingi sana.

Ya kwanza kabisa ni ile ya asili ambayo ni "psychologically and physiologically imbedded" ya kuwa mwanamke ni mlezi wa asili. Hii hujionyesha wazi pale watoto wa kike wangali wadogo wanapokuwa karibu sana na baba zao. Automatically mtoto wa kike huanza kuchukuwa role ya u mama toka angali mdogo.

Wazazi wasipokuwa makini na kuweka mipaka ya watoto wangali wadogo hupelekea ukaribu sana wa mtoto wa kike kumganda baba'ke wakati wote anapokuwepo nyumbani, tokea angali mdogo mpaka anapokuwa. Hali kadhalika kwa watoto wa kiume kwa mama zao.

Chemicals tunazotengeneza mwilini mwetu ambazo ni za asili ni aina nyingi, nyinginezo ni hususan za mwanamke kumtia ashki mwanamme na mwanamme kumtia ashki mwanamke. Hizo hazizuiliki na haziepukiki hususan mkiwa na ukaribu wa ki magharibi (westernized).

Chemicals hizo ukiongezea na u magharibi wa binti kufikia kumtokea baba'ke na jeans za KK, khanga moja, vi mini au viguo vinavyoonyeesha zaidi ya nusu ya maungo yake, ajibadilishe sauti. Labda huyo baba awe si rijali asishikwe na ashki anapoyaona hayo mfululizo.

Kuna mipaka inabidi iwepo katika malezi kuanzia udogoni kabisa ili kuepuka hayo

Watoto wengi wa kike na wa kiume huanza kuharibiwa majumbani mwao na watu wao wa karibu kabisa. Wengi zaidi huzowea na kuona hicho ni kitu cha kawaida kabisa ndani ya familia kiasi kuwa ni siri za ndani ya familia.

Solution ipo katika Uislam kwa wenye kufuata mafunzo ya Kiislam.
 
Hili c sawa hata kidogo. Pamekua na ongezeko kubwa sana la baba zetu kutaka kugegeda dada zetu. Nashauri kuwa binti atafte msaada kwa wanafamilia wa karibu kisha ahame kwao. Hiyo hari ni mbaya hadi anataka kumbaka kwa nguvu noook. Mzee ana laana huyo c bure.
 
Ue unaandika neno linafika mwisho au ndio umesikia mlango umegongwa unatetemeka.Usiwe unaandika kama mnavyo andikaga fb utafikiri huwa mmebanwa na haja kubwa.

By the way muambie amueleze babu yake /mzee ambaye baba yake anamuheshimu sana.Aende kwa kiongozi wadini anaeheshika mahali alipo. Baada ya hapo aende kupeleka malalamiko yake polisi.Kwa level ya elimu aliopo mwambie aache uoga awemthubutu hilo limbaba laweza mvurugia mustakabari mzuri wa maisha yake. Halafu aweanaenda ndugu wengine ni vyema zaidi asiwe anaenda kwao wakati wa rikizo (atunge uongo wowote) ilikuepusha uwezekano wa hilo jambazi kumuona. Mwambie asilegee maisha ndio haya haya ya tz ya viwanda awejasiri kuomba msaada kwenye mashirika ya kijinsia/wanawake/watoto hii ni katika kuhakikisha kuwa hakuna athari hasi kwakiasi kikubwa katika kipindi chote cha masomo yake yote.

mkumbushe hatusomeshi wazazi so asiwe mzembe any more katika hili.
Hivi Rais alishauriwa na nani kutoa kauli ile?
 
Sabahu zipo nyinhi sana.

Ya kwanza kabisa ni ile ya asili ambayo ni "psychologically and physiologically imbedded" ya kuwa mwanamke ni mlezi wa asili. Hii hujionyesha wazi pale watoto wa kike wangali wadogo wanapokuwa karibu sana na baba zao. Automatically mtoto wa kike huanza kuchukuwa role ya u mama toka angali mdogo.

Wazazi wasipokuwa makini na kuweka mipaka ya watoto wangali wadogo hupelekea ukaribu sana wa mtoto wa kike kumganda baba'ke wakati wote anapokuwepo nyumbani, tokea angali mdogo mpaka anapokuwa. Hali kadhalika kwa watoto wa kiume kwa mama zao.

Chemicals tunazotengeneza mwilini mwetu ambazo ni za asili ni aina nyingi, nyinginezo ni hususan za mwanamke kumtia ashki mwanamme na mwanamme kumtia ashki mwanamke. Hizo hazizuiliki na haziepukiki hususan mkiwa na ukaribu wa ki magharibi (westernized).

Chemicals hizo ukiongezea na u magharibi wa binti kufikia kumtokea baba'ke na jeans za KK, khanga moja, vi mini au viguo vinavyoonyeesha zaidi ya nusu ya maungo yake, ajibadilishe sauti. Labda huyo baba awe si rijali asishikwe na ashki anapoyaona hayo mfululizo.

Kuna mipaka inabidi iwepo katika malezi kuanzia udogoni kabisa ili kuepuka hayo

Watoto wengi wa kike na wa kiume huanza kuharibiwa majumbani mwao na watu wao wa karibu kabisa. Wengi zaidi huzowea na kuona hicho ni kitu cha kawaida kabisa ndani ya familia kiasi kuwa ni siri za ndani ya familia.

Solution ipo katika Uislam kwa wenye kufuata mafunzo ya Kiislam.
Sema waislamu wanafanyaje? Unaficha nini?
 
Serikali inajuwa yote haya, haina heshima kwa watoto wa kike. Imeshindwa kulinda haki za hawa watoto badala yake ni adhabu juu ya adhabu. Kauli ya Rais Magufuli itawapa wabakaji haki ya kubaka, na mwenye hatia atakuwa mtoto.
Ndege wafananao huruka kwa pamoja
 
Asnte lakn bado sijaelewa nitaandka vzr hii Mada kesho. Samahani kwa typing error zilizo jtokeza nashukuru mlinielewa. Jmn ni story ndefu mama alishafarki2012. Mzee anatishia kusitisha ada na ndgu hawana uwezo. Ninaomba mnishauri vyema na sio kunitukana kua nmeandka hku naharisha na mengne yakuongezeana uchungu. Asnteni snaa mnaozd kutoa maoni yenu nianzie wapi .
Pole sana.
Husijali hao wanaojali small typo errors. Kizuri time kuelewa.
Ni matumaini yangu utapata ushauri mzuri.
 
Kwenye Post yako ya kwanza unaonesha kuna mtu unamuombea ushauri maana umesema "kuna Mzee mmoja anamtaka bintiye" ila kwenye hii Post yako ya pili inaonesha muomba ushauri ni wewe mwenyewe.

Halafu unapoandika kitu hebu kaa utulie mkifeli mitihani mnasema mmefelishwa!
Very low class person. Kwa tatizo lake lote ilo wewe unajali typo error na kumkosoa.
Ndio maana watz bado tunakazi kwenye mambo ya busara.
 
Sabahu zipo nyinhi sana.

Ya kwanza kabisa ni ile ya asili ambayo ni "psychologically and physiologically imbedded" ya kuwa mwanamke ni mlezi wa asili. Hii hujionyesha wazi pale watoto wa kike wangali wadogo wanapokuwa karibu sana na baba zao. Automatically mtoto wa kike huanza kuchukuwa role ya u mama toka angali mdogo.

Wazazi wasipokuwa makini na kuweka mipaka ya watoto wangali wadogo hupelekea ukaribu sana wa mtoto wa kike kumganda baba'ke wakati wote anapokuwepo nyumbani, tokea angali mdogo mpaka anapokuwa. Hali kadhalika kwa watoto wa kiume kwa mama zao.

Chemicals tunazotengeneza mwilini mwetu ambazo ni za asili ni aina nyingi, nyinginezo ni hususan za mwanamke kumtia ashki mwanamme na mwanamme kumtia ashki mwanamke. Hizo hazizuiliki na haziepukiki hususan mkiwa na ukaribu wa ki magharibi (westernized).

Chemicals hizo ukiongezea na u magharibi wa binti kufikia kumtokea baba'ke na jeans za KK, khanga moja, vi mini au viguo vinavyoonyeesha zaidi ya nusu ya maungo yake, ajibadilishe sauti. Labda huyo baba awe si rijali asishikwe na ashki anapoyaona hayo mfululizo.

Kuna mipaka inabidi iwepo katika malezi kuanzia udogoni kabisa ili kuepuka hayo

Watoto wengi wa kike na wa kiume huanza kuharibiwa majumbani mwao na watu wao wa karibu kabisa. Wengi zaidi huzowea na kuona hicho ni kitu cha kawaida kabisa ndani ya familia kiasi kuwa ni siri za ndani ya familia.

Solution ipo katika Uislam kwa wenye kufuata mafunzo ya Kiislam.

Duh FaizaFoxy aisee mimi hata dada yangu tu niliyempita miaka minne tu akikaa uchi sina ashki naye. Huu umagharibi tunausingizia mengi kwa kweli.

Hapa ndipo ninaposhawishika kuungana na wale wanaouliza, sisi waafrika kabla ya hizo nguo za kujisitiri kuja, ina maana kubakana kulikuwa nje nje? Najua hatukuwa tukitembea uchi, lakini fikiria nyakati ambazo sehemu zilizozibwa ni hapo kwa bibi/babu na kifuani tu.

Hapana sidhani kama binti kuvaa 'kimagharibi' ni kisingizio cha kutosha kuhalalisha ubakaji.

Pili, dada yangu mimi nilikuwa polisi (na hili ni kweli wala siandiki ili kujustify point yangu) na kesi nilizopokea zilikuwa na mchanganyiko wa watu wote, wakristo kwa waislamu. Waliovaa kimagharibi na waliojifunika hadi nikab. Wa vijijini na wa mjini.

Ingawa ni kweli unachosema (pamoja na kwamba umekisema kwa upande mmoja, na una haki hiyo), watu wakiwa na hofu ya Mungu maishani mwao haya mambo hayatajitokeza. Mimi ninaamini vitabu vyote vya dini vina maelekezo mazuri ya jinsi ya kuvaa, na kuishi. Mambo yaliyokatazwa kufanywa na yaliyo chukizo mbele za Mungu. Hivyo basi kila mmoja kwa imani yake arudi kwenye misingi hiyo, haya mambo hayatajitokeza.

Na kama yatajitokeza (maana hata yule mtoto wa Mfalme Daudi, Amnon, alimbaka dada yake, Tamari, na walikuwa watoto wa mtu aliyeitwa na Mungu - 'a man after God's own heart') basi ndipo ninarejea kwenye NINI KIFANYIKE. Hapa ndipo mimi na wewe tunapoweza kutoa michango chanya ya nini serikali na jamii vifanye ili kuhakikisha hawa Tamari wetu hawaathiriki zaidi na matukio haya.

Shetani akimwingia mtu hachagui dini wala kabila dada yangu. Ni muhimu sana kusisitiza kuhusu kumcha Mungu, na hili ni la kwanza! Lakini la muhimu la pili, ni nini kifanyike baada ya hawa mafedhuli kufungwa maana mabinti wanabaki bila mtu wa kuwasomesha, wanabaki na misongo ya mawazo, wanabaki na mimba, wanakuwa watoto wenye watoto. Nini kifanyike. Ni nini tufanye mimi na wewe? Ni nini serikali na taasisi zake husika inaweza kukifanya kuwasaidia hawa?

Tukijibu hilo, hasa hapa kwa nini tunaweza kufanya kama jamii ya Watanzania basi naamini jibu la huyu binti mtoa mada litakuwa limepatikana.

MWISHO: Tumche Mungu jamani, tumuombe sana hizi tamaa zisitutafune. Shetani yupo kila mahali kila wakati akitafuta upenyo wa kutushawishi tuingie mtegoni mwake, tumshinde!!!
 
Halooo! Hebu hariri mwandiko huo... "anamtk, kimapnz, nk..."! Wengine kiswahili ni lugha ya pili kutoka kingoni. Nimekwama kukuelewa. Natamani kuchangia. Na nilitaka kusema huko Facebook mnaandikaje? Kumbe wala hata Facebook hupafahamu.
 
Back
Top Bottom