Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

Asnte lakn bado sijaelewa nitaandka vzr hii Mada kesho. Samahani kwa typing error zilizo jtokeza nashukuru mlinielewa. Jmn ni story ndefu mama alishafarki2012. Mzee anatishia kusitisha ada na ndgu hawana uwezo. Ninaomba mnishauri vyema na sio kunitukana kua nmeandka hku naharisha na mengne yakuongezeana uchungu. Asnteni snaa mnaozd kutoa maoni yenu nianzie wapi .
oK kUMBE HII STORY INAKUHUSU WEWE MWENYEWE NAOMBA KUJUA UPO MKOA GANI AU WILAYA GANI KAMA HAUTOJALI NJOO PM
 
Mzee mmoja anamtaka binti yake kimapenzi mwaka wa tatu mfululizo na amejaribu kumbaka Mara kadhaa mpaka anataka kuhama kwao. Bado anasoma na anahitaji ushauri now yupo kidato cha sita.

Jamani hivi nini kinasababisha mzazi kumtaka mwanae jamani?
NA UTASHANGAA SASA MTOTO KAMA HUYU AKIMWAMBIA MAMAKE ANAGEUZIWA KIBAO NA HUYO MAMAKE
 
Very low class person. Kwa tatizo lake lote ilo wewe unajali typo error na kumkosoa.
Ndio maana watz bado tunakazi kwenye mambo ya busara.
Yeye ni mwalimu, mwenye tatizo ni rafiki yake (mwanafunzi) lakini anatuchanganya vichwa kwa kweli
 
Nashukuruu kwa ushaurii. Nimefanikiwaa kuhamishiaa makazi hatarishi.
 
Chaajabuu wanatongozaa pm tnaa badalaa ya kusaidiaa jmn HV mijitu mingnee inanni et
 
Huyo kashapoteza vigezo vya kuwa baba, amwekee mtego akamatwe!
 
Mwambie akiwa nyumbani awe anavaa vizuri
 
Back
Top Bottom