cesilia
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,233
- 1,250
Mkuu hali ngumu usikute mzee anatimiza masharti tuWazazi wengine wana mapepo ya ngono tu
Mkuu hali ngumu usikute mzee anatimiza masharti tuWazazi wengine wana mapepo ya ngono tu
Biblia inasema ikimbieni TAMAA YA MWILI.
Umeeleweka vizuri.
Usikasirishwe na komenti zenye kukera hapa jf.
Chukua ambazo zina msaada kwako tu basi
Rais ameamuwa watoto wote wanaopata mimba wafukuzwe. Yeye hawezi kusomesha wazazi. Haya kesi kama hizi, baba wanataka kutembea na watoto wao. Haki iko wapi. HUYU Rais wetu ana utu kweli?
kama ushaanza kufunga sittatul shawali leo ntakufturishaaaa,,,... point hyoTatizo si mavazi, tatizo ni hijab (kujistiri) na stara huwa haipo kwenye mavazi tu, stara ni matendo yako ya ndani na nje ya mwili wako, ya ndani na nje ya kwenu.
Hayo huwezi kuyaelewa kama hujajikita katika Uislam, utakuja na porojo ndefu ukidhani kuwa u magharibi ni mavazi pekee. U magharibi si mavazi, u magharibi ni namna ya kuishi maisha yako ya kila siku.
Ulimsikia nani akavaa niqab mbele ya ahli zake majumbani kwao?
Niqab unaweza kuvaa ili ukatendee dhambi kwa kuwa huonekani. Kama u polisi utaelewa kuwa hata majambazi huvaa niqab (hood) wakafanya ujambazi wasijukane. Kumbuka hilo.
Uislam ni mfumo mzima wa maisha "summed up" katika kumuabudu Allah. Mafunzo ya Kiislam yanakufundisha kuwa hujaja duniani isipokuwa kuabudu. Mwenye kuabudu huvishwa hijab "within his/her innerself".
Ukiyaelewa hayo hutapata shida.
Huelewi nn?!Sikuelewi leo
Sa we umeandika nini. Je zamani wazazi walikuwa wanasomeshwa. Muandikege mkishatoka chooni. Pumbavu
Mzee mmoja anamtaka binti yake kimapenzi mwaka wa tatu mfululizo na amejaribu kumbaka Mara kadhaa mpaka anataka kuhama kwao. Bado anasoma na anahitaji ushauri now yupo kidato cha sita.
Jamani hivi nini kinasababisha mzazi kumtaka mwanae jamani?
Kwa tamko la mwenye nyumba kuhusu mimba za wanafunzi ndio kiama chao kimetangazwa rasmi.Logic ya mtoto ni kuwa, huyo ndo anamlipia ada na chakula na all her basi needs ndiyo maana inamuwia ngumu kumsemea.
Wakati niko polisi hizi issue zilikuwa sana, yani binti kapewa mimba na mjomba au hata baba yake mzazi/kambo ila yupo tayari kwa lolote ila asimtaje maana anajua akienda ndani na yeye future yake inayumba (mara nyingi wanakuwa walishawatishia hivyo, ikiwamo na kuwatishia kuwaua). Kwa mtoto maneno na vitisho hivyo viko deep kuliko tunavyotaka kuamini sisi wenyewe (I mean kama mtu mzima ni rahisi kupuuza na kuona anapenda mwenyewe nk).
Nadhani serikali iko bize kuwafunga wakosaji na sio kuwahudumia wahanga wa haya mambo ndiyo maana hayaishi. Wizara husika iwezeshwe kifedha na iandae mfumo mzuri wa kuhakikisha mabinti hawa wanapata maisha baada ya abusers wao kufungwa.
My 5 cent.
Asante sana.Unajifanya haujui.......endelea kulala a day utakayokuwa tayari utaniambia sijui utanielewesha au utakavoona wewe
Utampa zawadi gani!??Nawewe upo form six???
Good newz. ukimaliza uje nikupe zawadi
Anyway hilo Ni tatizo kubwa, mwambie akaripoti kwa viongozi wake dini, polisi au hata kwa majirani juu ya hilo.
NotedAsante sana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85]Hata mimi hutamani kukubakeni huku nje. Mavazi mnayovaa mnatutia maradhi ya moyo. Mnatufanya kama paka wa sokoni.[emoji226] [emoji250] [emoji38] [emoji38] [emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Keep that spirit cz the day u decide to change the tone might be too late.Noted
Logic ya mtoto ni kuwa, huyo ndo anamlipia ada na chakula na all her basi needs ndiyo maana inamuwia ngumu kumsemea.
Wakati niko polisi hizi issue zilikuwa sana, yani binti kapewa mimba na mjomba au hata baba yake mzazi/kambo ila yupo tayari kwa lolote ila asimtaje maana anajua akienda ndani na yeye future yake inayumba (mara nyingi wanakuwa walishawatishia hivyo, ikiwamo na kuwatishia kuwaua). Kwa mtoto maneno na vitisho hivyo viko deep kuliko tunavyotaka kuamini sisi wenyewe (I mean kama mtu mzima ni rahisi kupuuza na kuona anapenda mwenyewe nk).
Nadhani serikali iko bize kuwafunga wakosaji na sio kuwahudumia wahanga wa haya mambo ndiyo maana hayaishi. Wizara husika iwezeshwe kifedha na iandae mfumo mzuri wa kuhakikisha mabinti hawa wanapata maisha baada ya abusers wao kufungwa.
My 5 cent.
sali sana utapata njia upo kwenye wakati mgumu poleAsnte lakn bado sijaelewa nitaandka vzr hii Mada kesho. Samahani kwa typing error zilizo jtokeza nashukuru mlinielewa. Jmn ni story ndefu mama alishafarki2012. Mzee anatishia kusitisha ada na ndgu hawana uwezo. Ninaomba mnishauri vyema na sio kunitukana kua nmeandka hku naharisha na mengne yakuongezeana uchungu. Asnteni snaa mnaozd kutoa maoni yenu nianzie wapi .