Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

Inasikitisha ni wewe unasikitika. Umetetea ni sawa Rais kupiga marufuku watoto wanaopata mimba wasiendelee na masomo, ni kama wote wanapenda kupata mimba. Unashangilia chochote Serikali ikifanya hata kuvunja haki za hawa watoto. Watoto wengi wanaogopa kusema, wanaowafanyia vitendo hivi ni watu wanaowalea. Kwa hili Rais Magufuli amekosea sana, na wote wanaounga mkono MUNGU hatawasamehe. Watoto hawa hawana pa kukimbilia.

Duh

Unajua unani quote sikusomi, sasa inaelekea umeamua kuna Muumba wetu kujivisha cheo na kuhukumu. Yaani unajua huwa sikujibu hata uni quote mara mia.... kwa sababu ya porojo zako ambazo hazijaenda hata chekechea. Wewe ni mdaku, mfata mkumbo na mpenda vya dezo.... unavyojitokeza

Nini haswa kinakusumbua juu ya tamko la Raisi!? Unapata kipato chochote kwa hao watoto kuoata mimba na kurudi kusoma shuke za serikali!?

Haya leo nijibu haya
1. Je raisi ametamka watoto wasisome tena milele popote nchini?
2. Je hao watoto kuruhusiwa kujua ni sawa eakioata mimba nafasi yaoninaeasubiri ya kusoma ni sawa na haufikirii ifachukukiwaje na wazazi wavivu na wanaopenda maki za bure?
3. Hao watoto kwani wamekatazwa kwenda kusoma private schools, na kwako kwanini lazima ya serkali huku ni uamuzi wao kuanza ya ngono!?
4. Ulisikiliza hotuba ya Rais wetu kabisaaaaaa vizuri na kuelewa alichosema juu ya wale ambao yanawatokea kivibaya kuishia kuoata mimba!!! Ulimsikia kweli au wewe ni ile type ya watu hamsikilizi mkadadavua na kuelewa baki mnasubiri neno au maneno ya kudakia tu muonekane mnajua kukosea ..kwenye hili unajua kumkosoa raisi!?

Kaa chini ujisikitikie kabisa, eti ukarusha majina ya wanawake kwako eti wana akili....ha ha ha haaaa nilisoma mwanzo nikakudharau sanaaaaaa na kupita... why... why hukuweka yako unaniletea eti ya viongozi wa serikalini eeeeeeh...yaani nikikudharau kwa sababu mimi najijua kuanzia kiakili etc nipo hata juu na zaidi yao... unafikiri ni kwa sababu tunakitana na ma ID humu.. eeeeeeh jifunze kuishi mwanamke.

Sasa nakuandikia hayo umeandika humo, ukae chini kuona yanakurudia wewe kwa mbio za chui na uzipokeeeee na mikono miwili.

Kama umeumia ulikuwa unaoafa pesa kwa kuvizia watoto waliopata mimba kusema wanarudi shule, sasa warudishe shule kawalipie kwenye shule binafsi. Na nikuambie wale ealiotendea mabaya, inabidi waripoti na mengine yataendelea. Wasidanganye tuuuuuu kusumbua serikali,

Siku zingine usitafute huruma humu kwa kuniandikia mimi au kuniquote tena, nilikuambia muda sasa tafuta kiki huko kwa wengineeeee. Hauniwezi shaaaaaaaaa

Wewe Cocochanel atakukimbiza humu weeeeee, utakomaje eeeeeeeeh... nimekudisi imekuchomaaaaaaaa unaniletea ya mimba kwenye uzi huuu...eeeeeeeeeh JF burudani
 
Apime tu kati ya kukaa kim6a na kula bolo yeung au kuchukua hatua hata kumshitaki kwa ndugu zake ipi bora
 
Una uhakika kuwa ni baba ake...na yeye ana uhakika kuwa ni baba ake mzazi?
 
Pole sana mleta mada kwa mkasa unaopitia, nakuomba kabla hujachukua maamzi yoyote ya kibinadamu dhidi ya ushetani akufanyiao mzazi wako, mshirikishe Mungu.
Kama Baba yako ni mlevi wa kupindukia, ingia kwenye maombi mazito funga na umpigie magoti Mungu wako ili pepo la ulevi limtoke.

Pili, ripoti kwa kiongozi wa kiroho na mzee wa ukoo wa baba yako ambaye anamheshimu na hata ikiwezekana mwalimu wako. Fanyeni kikao cha pamoja na ueleze vitimbi vyote anavyofanya mzee wako, kivipi anakupa wakati mgumu na kiasi gani atachangia kuharibu future yako ukizingatia kuwa ni yeye pekee unae mtegemea.

Mwisho, kama ataendelea na upuuzi wake, kamripoti ustawi wa jamii au chombo chochote watetezi wa kisheria kisha polisi na kama itafika mahakamani, dai haki ya mstakabari wa kuendelea na shule ikiwa mzazi ana mali nyingi upewe chako mapema ili uweze kuendelea na masomo.

Ikiwa atakuzidi nguvu pote, ni aheri ukahama hapo nyumbani. Wasamaria wema bado tupo mtaani tutakusaidia uendelee na masomo yako na laana itamshukia mzee.
 
Duh

Unajua unani quote sikusomi, sasa inaelekea umeamua kuna Muumba wetu kujivisha cheo na kuhukumu. Yaani unajua huwa sikujibu hata uni quote mara mia.... kwa sababu ya porojo zako ambazo hazijaenda hata chekechea. Wewe ni mdaku, mfata mkumbo na mpenda vya dezo.... unavyojitokeza

Nini haswa kinakusumbua juu ya tamko la Raisi!? Unapata kipato chochote kwa hao watoto kuoata mimba na kurudi kusoma shuke za serikali!?

Haya leo nijibu haya
1. Je raisi ametamka watoto wasisome tena milele popote nchini?
2. Je hao watoto kuruhusiwa kujua ni sawa eakioata mimba nafasi yaoninaeasubiri ya kusoma ni sawa na haufikirii ifachukukiwaje na wazazi wavivu na wanaopenda maki za bure?
3. Hao watoto kwani wamekatazwa kwenda kusoma private schools, na kwako kwanini lazima ya serkali huku ni uamuzi wao kuanza ya ngono!?
4. Ulisikiliza hotuba ya Rais wetu kabisaaaaaa vizuri na kuelewa alichosema juu ya wale ambao yanawatokea kivibaya kuishia kuoata mimba!!! Ulimsikia kweli au wewe ni ile type ya watu hamsikilizi mkadadavua na kuelewa baki mnasubiri neno au maneno ya kudakia tu muonekane mnajua kukosea ..kwenye hili unajua kumkosoa raisi!?

Kaa chini ujisikitikie kabisa, eti ukarusha majina ya wanawake kwako eti wana akili....ha ha ha haaaa nilisoma mwanzo nikakudharau sanaaaaaa na kupita... why... why hukuweka yako unaniletea eti ya viongozi wa serikalini eeeeeeh...yaani nikikudharau kwa sababu mimi najijua kuanzia kiakili etc nipo hata juu na zaidi yao... unafikiri ni kwa sababu tunakitana na ma ID humu.. eeeeeeh jifunze kuishi mwanamke.

Sasa nakuandikia hayo umeandika humo, ukae chini kuona yanakurudia wewe kwa mbio za chui na uzipokeeeee na mikono miwili.

Kama umeumia ulikuwa unaoafa pesa kwa kuvizia watoto waliopata mimba kusema wanarudi shule, sasa warudishe shule kawalipie kwenye shule binafsi. Na nikuambie wale ealiotendea mabaya, inabidi waripoti na mengine yataendelea. Wasidanganye tuuuuuu kusumbua serikali,

Siku zingine usitafute huruma humu kwa kuniandikia mimi au kuniquote tena, nilikuambia muda sasa tafuta kiki huko kwa wengineeeee. Hauniwezi shaaaaaaaaa
5. Si
Wewe Cocochanel atakukimbiza humu weeeeee, utakomaje eeeeeeeeh... nimekudisi imekuchomaaaaaaaa unaniletea ya mimba kwenye uzi huuu...eeeeeeeeeh JF burudani

1. Watoto wengi wanaopata ujauzito si watoto wa matajiri ni masikini hawana hata uwezo wa kujinunulia vitabu WACHA kwenda Private School. Wewe unaishi kwenye mitandao na siyo the really Tanzania.

2. Hakuna mzazi mvivu, naamini wazazi wengi wanajaribu wawezavyo kuona watoto wao wanafanikiwa kwenye maisha, lakini changamoto zinazowakabili hawa watoto ni nyingi wewe huwezi kuzijuwa, inatakiwa uwe na elimu ya kufikilia na upendo wa jamii wengine na sio kuwa jaji na kuwaita wazazi wavivu.

3. Waende Private school, ni wewe utawalipia? Hawa ni Watanzania, na Hii ni serikali ya watu, kupata mimba hakuwavui uraiavwao, hata Rais hana power ya kuwavuwa uraia wao, acha wewe

4. Ni Watanzania ka
ma nyinyi msioelewa na kuitikia tu chochote kile na kuunga mkono kila kitu Mtu mmoja akisema. Serikali siyo Rais Serikali ni ya Watanzania wote. Nitamuunga mkono Rais akitenda haki, na sintamuunga mkono Rais kuitenga section ya Watanzania ati kwa kuwa watoto wamepata mimba, kama Elimu ni bure iwe kwa watoto wote. Wewe ama Rais hamna haki ya kupinga kama bunge limepitisha.

Wewe ni nani wakuniaambia nisiandike humu? My God who are you? Do you understand what freedom of press means my dear lady? Get a life, let teens mothers get back to school wasipungukiwe kama wewe. Tunahitaji wasomi Tanzania hatuhitaji wajinga tunao wengi.
 
Asnte lakn bado sijaelewa nitaandka vzr hii Mada kesho. Samahani kwa typing error zilizo jtokeza nashukuru mlinielewa. Jmn ni story ndefu mama alishafarki2012. Mzee anatishia kusitisha ada na ndgu hawana uwezo. Ninaomba mnishauri vyema na sio kunitukana kua nmeandka hku naharisha na mengne yakuongezeana uchungu. Asnteni snaa mnaozd kutoa maoni yenu nianzie wapi .
Umeeleweka vizuri.
Usikasirishwe na komenti zenye kukera hapa jf.
Chukua ambazo zina msaada kwako tu basi
 
Miaka 3 bado mdada anajishauri afanyaje 0 brain halafu yuko form 6. Aende leo hii police ili waweke mtego weekend inayokuja chap mtego ufanyike. Ila anaweza mshikisha kwa polisi then wampe onyo la kimya kimya.
 
Logic ya mtoto ni kuwa, huyo ndo anamlipia ada na chakula na all her basi needs ndiyo maana inamuwia ngumu kumsemea.

Wakati niko polisi hizi issue zilikuwa sana, yani binti kapewa mimba na mjomba au hata baba yake mzazi/kambo ila yupo tayari kwa lolote ila asimtaje maana anajua akienda ndani na yeye future yake inayumba (mara nyingi wanakuwa walishawatishia hivyo, ikiwamo na kuwatishia kuwaua). Kwa mtoto maneno na vitisho hivyo viko deep kuliko tunavyotaka kuamini sisi wenyewe (I mean kama mtu mzima ni rahisi kupuuza na kuona anapenda mwenyewe nk).

Nadhani serikali iko bize kuwafunga wakosaji na sio kuwahudumia wahanga wa haya mambo ndiyo maana hayaishi. Wizara husika iwezeshwe kifedha na iandae mfumo mzuri wa kuhakikisha mabinti hawa wanapata maisha baada ya abusers wao kufungwa.

My 5 cent.
Mkuu mtu anakuja kuanzisha uzi humu eti Mentor tapeli [emoji134]aisee sinto muelewa kbc, Barikiwa Sana mkuu kwa michango yako mizuri kila leo [emoji120][emoji109]
 
Uandishi wako ndio umenishinda kukuelewa,wa facebook wenzako watakujibu..!
 
Duh FaizaFoxy aisee mimi hata dada yangu tu niliyempita miaka minne tu akikaa uchi sina ashki naye. Huu umagharibi tunausingizia mengi kwa kweli.

Hapa ndipo ninaposhawishika kuungana na wale wanaouliza, sisi waafrika kabla ya hizo nguo za kujisitiri kuja, ina maana kubakana kulikuwa nje nje? Najua hatukuwa tukitembea uchi, lakini fikiria nyakati ambazo sehemu zilizozibwa ni hapo kwa bibi/babu na kifuani tu.

Hapana sidhani kama binti kuvaa 'kimagharibi' ni kisingizio cha kutosha kuhalalisha ubakaji.

Pili, dada yangu mimi nilikuwa polisi (na hili ni kweli wala siandiki ili kujustify point yangu) na kesi nilizopokea zilikuwa na mchanganyiko wa watu wote, wakristo kwa waislamu. Waliovaa kimagharibi na waliojifunika hadi nikab. Wa vijijini na wa mjini.

Ingawa ni kweli unachosema (pamoja na kwamba umekisema kwa upande mmoja, na una haki hiyo), watu wakiwa na hofu ya Mungu maishani mwao haya mambo hayatajitokeza. Mimi ninaamini vitabu vyote vya dini vina maelekezo mazuri ya jinsi ya kuvaa, na kuishi. Mambo yaliyokatazwa kufanywa na yaliyo chukizo mbele za Mungu. Hivyo basi kila mmoja kwa imani yake arudi kwenye misingi hiyo, haya mambo hayatajitokeza.

Na kama yatajitokeza (maana hata yule mtoto wa Mfalme Daudi, Amnon, alimbaka dada yake, Tamari, na walikuwa watoto wa mtu aliyeitwa na Mungu - 'a man after God's own heart') basi ndipo ninarejea kwenye NINI KIFANYIKE. Hapa ndipo mimi na wewe tunapoweza kutoa michango chanya ya nini serikali na jamii vifanye ili kuhakikisha hawa Tamari wetu hawaathiriki zaidi na matukio haya.

Shetani akimwingia mtu hachagui dini wala kabila dada yangu. Ni muhimu sana kusisitiza kuhusu kumcha Mungu, na hili ni la kwanza! Lakini la muhimu la pili, ni nini kifanyike baada ya hawa mafedhuli kufungwa maana mabinti wanabaki bila mtu wa kuwasomesha, wanabaki na misongo ya mawazo, wanabaki na mimba, wanakuwa watoto wenye watoto. Nini kifanyike. Ni nini tufanye mimi na wewe? Ni nini serikali na taasisi zake husika inaweza kukifanya kuwasaidia hawa?

Tukijibu hilo, hasa hapa kwa nini tunaweza kufanya kama jamii ya Watanzania basi naamini jibu la huyu binti mtoa mada litakuwa limepatikana.

MWISHO: Tumche Mungu jamani, tumuombe sana hizi tamaa zisitutafune. Shetani yupo kila mahali kila wakati akitafuta upenyo wa kutushawishi tuingie mtegoni mwake, tumshinde!!!

Tatizo si mavazi, tatizo ni hijab (kujistiri) na stara huwa haipo kwenye mavazi tu, stara ni matendo yako ya ndani na nje ya mwili wako, ya ndani na nje ya kwenu.

Hayo huwezi kuyaelewa kama hujajikita katika Uislam, utakuja na porojo ndefu ukidhani kuwa u magharibi ni mavazi pekee. U magharibi si mavazi, u magharibi ni namna ya kuishi maisha yako ya kila siku.

Ulimsikia nani akavaa niqab mbele ya ahli zake majumbani kwao?

Niqab unaweza kuvaa ili ukatendee dhambi kwa kuwa huonekani. Kama u polisi utaelewa kuwa hata majambazi huvaa niqab (hood) wakafanya ujambazi wasijulikane. Kumbuka hilo.

Uislam ni mfumo mzima wa maisha "summed up" katika kumuabudu Allah. Mafunzo ya Kiislam yanakufundisha kuwa hujaja duniani isipokuwa kuabudu. Mwenye kuabudu huvishwa hijab "within his/her innerself".

Ukiyaelewa hayo hutapata shida.
 
inasikitisha sana, nitafte PM tuongee vizur naweza saidia
 
Atakuwa amepewa masharti na waganga huyo ndio tabu ya kwenda kwa waganga
 
Wanafungua wiki ijayo Mkuu ondoa shaka tutapumzika kidogo
Ila siwezi kuwashangaa maana hata mimi kipindi nipo level za chini nilikua naandika pumba ila naona nipo sahihi kutokana na akili zangu.
 
Aisee mzee kaamua kuchimba kinikia na kulichenjulia nyumbani

Mleta uzi bado unaharisha?!
 
Mzee mmoja anamtaka binti yake kimapenzi mwaka wa tatu mfululizo na amejaribu kumbaka Mara kadhaa mpaka anataka kuhama kwao. Bado anasoma na anahitaji ushauri now yupo kidato cha sita.

Jamani hivi nini kinasababisha mzazi kumtaka mwanae jamani?

unaikumbuka report ya mkemia mkuu wa serikali yamwaka jana inayoonyesha 60% ya wanaume Tanzania tunalea watoto wasio wetu? with that in mind kwanza then tuendelee..
 
Back
Top Bottom