MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
We ni muhuni wa kawaida tu.Ningekuwa mpelelezi ningemkamata Mbowe anisaidie
Ningemuuliza ifuatayvyo
1.Ile safari aliompangia kwenda south africa ilifanikiwa?na alipangiwa kwenda kufanya nini
2.Ni lini aligundua Ben hayupo kazini na alichukua hatua gani
3.Watu 50 waliopelekwa porini bagamoyo walienda kufanya nini
4.vyeti alivyokuwa anagawa mashinji porini ni vya mafunzo ya kufuga kuku au ugaidi?
5.Kwa nini mashinji ametoa waraka kuwakataza Red brigade wasizungumzie wala kuulizia kupotea kwa Ben
Mungu hajaribiwi. Atashusha malaika na mitume wake.Mkichezea Mungu wetu mtakwisha
halafu ben ni katika wale waliomtusi lowassa eeeh?maana red brigade mmetangaza kila aliemtukana lowassa,atatapata misukosuko kama sio kifo,tumeona kwa lemaWe ni muhuni wa kawaida tu.
Hoja ulizoziandika hapo wala hazihusiani na kutoweka kwa Ben saanane.
Baba mzazi anamtafuta mwanawe halafu wewe unaleta porojo zako hapa?
Policcm ndio hao Redbrigade siku hizi?halafu ben ni katika wale waliomtusi lowassa eeeh?maana red brigade mmetangaza kila aliemtukana lowassa,atatapata misukosuko kama sio kifo,tumeona kwa lema
Ndugu Yangu, Ulikuwa Hujui Kuwa Chadema Ni Kitega Uchumi Cha Wachagga Kilichoasisiwa Na Ukoo Wa MboweDaah nilikuwa sijui kumbe Ben nae ni mchaga?? Sasa pale Ufipa ni nani mwenye kabila tofauti?
Only cowards fears death, real men fears nothing.
Kama akina mtemi mkwawa, mirambo, isike, sina, Bwana heri, kimweri, makunganya, Songea wasingeazisha harakati za ukombozi na kufa wakitetea uhuru wa nchi hii, leo tungekuwa wapi?
Unajua vizuri kusoma na kuandika? Niandikie jina la baba yake Ben ndiyo nitaamini.Una uhakika gani kama nimchaga?au kwasababu baba yake aneongea akiwa moshi!!! Kama ni hivyo! Watu wote walio Dar ni wazaramo!!??nenda kaoshe akili yakho inejaa matope.
Nyoosha maelezo,acha uoga.Siasa sio uwadui hasa ukiijua vizuri,katika siasa lazma ukubali kukosolewa,usiwe na chuki kwa wale unaowaongoza,lazma uwe na busara katika maamuzi kinyume na hapo lazma utakuwa mtu wa ajabu kuona kama dunia yote ni yako unakuwa mtemi,kutaka kusujudiwa,unachoamua ndio hicho hicho hatakama kinamathara wakati cheo zamana Leo unacho kesho huna
Wewe jamaa hizi nyuzi zako zinakera kuliko wanawake wauza miili wanavyokereka zinapowadia siku zao.
Kama hujawahi kukutwa na tukio kama hilo nyamaza acha kuongea na mdomo wa chini unaopitisha (chakula taka)
Mwenzio Haji Manara alikuwa na kiherehere kama hichi cha kwako kaishia lupango, sasa na wewe endelea kukatika mauno tu.Hivu unaweza kweli kupotelewa mtoto wa kuzaa kwa muda wote huo na usiseme chochote popote pale?
Uchungu wa mwana uko wapi hapo?