Mtumiabusara
JF-Expert Member
- Nov 18, 2009
- 473
- 40
Yeye mwenyewe hakuweza kuyarekebisha hayo wakati wa utawala wake, vipi kwenye hotuba zake alaumu uongozi wa chama alicho kianzisha yeye mwenyewe?Katika kupitia speech za Baba wa Taifa, hii niliipenda, nitanukuu point chache alizozungumzia kuhusu sifa kiongozi wa Taifa letu wakati akihutubia mkutano mkuu wa CCM:
- Watanzania wanahitaji mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM
- Watanzania wanahitaji kiongozi anayetambua matatizo yetu, na matatizo hayo yanamkera. Alitaja baadhi ya matatizo ni
- Rushwa
- Umaskini (aliwakemea kuwa CCM siyo chama cha matajiri)
- Udini
- Ukabila
Je tunashughulikia vipi matatizo haya?
Yeye mwenyewe hakuweza kuyarekebisha hayo wakati wa utawala wake, vipi kwenye hotuba zake alaumu uongozi wa chama alicho kianzisha yeye mwenyewe?
Yaani ni sawa na kukemea kivuli chake mwenyewe.

Katika kupitia speech za Baba wa Taifa, hii niliipenda, nitanukuu point chache alizozungumzia kuhusu sifa kiongozi wa Taifa letu wakati akihutubia mkutano mkuu wa CCM:

Nani alifuta adhabu ya viboko kwa wala Rushwa? Kuna Speech Nyerere anasema mtu akila Rushwa ilikuwa lazima aende jela miezi si chini ya 6, achapwe viboko 6 siku anaingia na viboko 6 siku ya kutoka
ccm kilianzsishwa na waswahl wa pwani wakishkiliana na waarab wa zanzidaer na oman ndio maana rangi za bendera ya ccm zinafanana nma rangi za bendemra za sikukuu ya maulid.
Inaelekea wewe hukuwepo wakati wa utawala wa Nyerere, bali unasikiliza hizo propaganda zinazotolewa leo na ma-opportunists mbalimbali wakijua kuwa yeye mwenyewe hayupo. Wengi ni wale wanaotaka ku-discredit efforts zake katika kujenga Taifa hili ili kuhalalisha ajenda zao za kubomoa Taifa hili kwa kutumia zaidi udini. Hayo ya udini na ukabila sitayaongelea kwa sasa; mtafute Salim Ahmed Salim umuulize kuhusu udini na ukabila wa Nyerere. Yeye atakuwa katika nafasi nzuri sana kukujibu vizuri.
Mimi nitakukumbusha jinsi gani Nyerere alivyokuwa mkali kuhusu rushwa. Wakati wa Nyerere hakukuwa na rushwa katika kiwango tulichonacho leo; ilikuwa ni aibu sana kwa kiongozi kujihusisha na rushwa. Ingawa wizi wa mali za umma ulianza kipindi hicho kwenye mashirika ya umma, serikali ilikuwa iko macho sana na wote waliokuwa wakinaswa walikuwa wanatumikia vifungo virefu sana kwenye gereza la Kingorwira. Yule mwandishi mashuhuri Marehemu A. E. Musiba aliyekuwa mhasibu wa TAZARA naye alikumbwa na adhabu hiyo, na kuna wahasibu na mameneja wengi sana wa mashirika ya umma waliofungwa. Kipindi cha Mikingamo kilikuwa ni njia mojawapo ya ya kuongeza transaparency ya kuwanasa wala rushwa na kweli kilifanya kazi sana. Kwa hiyo siyo kweli kuwa Nyerere alishindwa, tatizo la rushwa katika jamii yoyote ni persistent, na hivyo serikali nayo inatakiwa iwe persistent kulishughulikiwa. Tofauti ya Nyerere na serikali zizilomfuatia ni kuwa zenyewe zililea rushwa na kuifanya ishamiri.
hotuna za nyerere ni kama sinema tuu ambazo zinavutia kuzitazama lakini hazina uhalisia wowote! kipindi chake walikuwepo kina amir jamal waliiba huku wakiwa na uraia wa nchi mbili na hakufanya chochote!
Mkuu hapa suhala la udini na ukabila, sijalizungumzia, labda ndio unataka kunifahamisha kuwa Nyerere alikuwa mdini na mkabila, ilo ni lako.Inaelekea wewe hukuwepo wakati wa utawala wa Nyerere, bali unasikiliza hizo propaganda zinazotolewa leo na ma-opportunists mbalimbali wakijua kuwa yeye mwenyewe hayupo. Wengi ni wale wanaotaka ku-discredit efforts zake katika kujenga Taifa hili ili kuhalalisha ajenda zao za kubomoa Taifa hili kwa kutumia zaidi udini. Hayo ya udini na ukabila sitayaongelea kwa sasa; mtafute Salim Ahmed Salim umuulize kuhusu udini na ukabila wa Nyerere. Yeye atakuwa katika nafasi nzuri sana kukujibu vizuri.
Mimi nitakukumbusha jinsi gani Nyerere alivyokuwa mkali kuhusu rushwa. Wakati wa Nyerere hakukuwa na rushwa katika kiwango tulichonacho leo; ilikuwa ni aibu sana kwa kiongozi kujihusisha na rushwa. Ingawa wizi wa mali za umma ulianza kipindi hicho kwenye mashirika ya umma, serikali ilikuwa iko macho sana na wote waliokuwa wakinaswa walikuwa wanatumikia vifungo virefu sana kwenye gereza la Kingorwira. Yule mwandishi mashuhuri Marehemu A. E. Musiba aliyekuwa mhasibu wa TAZARA naye alikumbwa na adhabu hiyo, na kuna wahasibu na mameneja wengi sana wa mashirika ya umma waliofungwa. Kipindi cha Mikingamo kilikuwa ni njia mojawapo ya ya kuongeza transaparency ya kuwanasa wala rushwa na kweli kilifanya kazi sana. Kwa hiyo siyo kweli kuwa Nyerere alishindwa, tatizo la rushwa katika jamii yoyote ni persistent, na hivyo serikali nayo inatakiwa iwe persistent kulishughulikiwa. Tofauti ya Nyerere na serikali zizilomfuatia ni kuwa zenyewe zililea rushwa na kuifanya ishamiri.
Mkuu hapa suhala la udini na ukabila, sijalizungumzia, labda ndio unataka kunifahamisha kuwa Nyerere alikuwa mdini na mkabila, ilo ni lako.
Kuhusu uwajibikaji wa viongozi wa mashirika ya umma si kweli kuwa kulikuwa na ufanisi mzuri.
Nani akumbuki enzi za Nyerere wakurugenzi na mameneja walikuwa wakiharibu shirika moja wanaamishwa shirika lingine?
Enzi za Nyerere si ndio kulikuwa na shida ya vyakula mpaka tukaingizwa kwenye maduka ya kaya?
Kwani hatukushuhudia JKT wakisaidiana na polisi kukamata wale walioitwa wahujumu uchumi, kiasi ikapelekea nchi kuwa na shida ya vyakula na mavazi...! Wangapi walikamatwa kwa kukutwa tu na dawa ya meno pakiti moja, au kipande cha sabuni ya kodrai.
Huyo Salim Ahmed Salim, kuna wakati alikwenda Mtwara, na kwenye mkutano wake wananchi waliudhuria walikuwa wanaume watupu kwa kuwa wanawake waliwaazima wanaume zao kaniki na magunia ili waende kumsikiliza, au hili nalo lilikuwa jambo jema?
Nyerere nchi ilimshinda, ndio maana akaamua kung'atuka kwa sababu alinusurika kupinduliwa zaidi ya mara ishirini...!
Katika kupitia speech za Baba wa Taifa, hii niliipenda, nitanukuu point chache alizozungumzia kuhusu sifa kiongozi wa Taifa letu wakati akihutubia mkutano mkuu wa CCM:
- Watanzania wanahitaji mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM
- Watanzania wanahitaji kiongozi anayetambua matatizo yetu, na matatizo hayo yanamkera. Alitaja baadhi ya matatizo ni
- Rushwa
- Umaskini (aliwakemea kuwa CCM siyo chama cha matajiri)
- Udini
- Ukabila
Je tunashughulikia vipi matatizo haya?
Yeye mwenyewe hakuweza kuyarekebisha hayo wakati wa utawala wake, vipi kwenye hotuba zake alaumu uongozi wa chama alicho kianzisha yeye mwenyewe?
Yaani ni sawa na kukemea kivuli chake mwenyewe.
...............ingawa hazifikii za kwako.pumba!