Baba wa familia

Baba wa familia

Heaven on Earth ghafla kapachuti kako kadondokee hapo kati kati yao nafikiri utalia kikwenu
cc Tized, Mndengereko, Ntuzu na utafiti

huyo mnyama tumuone hivyo hivyo hafai kabisa ni hatari kweli ni king of the forest( huwa napenda sana kuangalia documentary za wanyama) huwa anaonea sana wanyama wenzake sasa usiombe ukutane na kombination ya simba na chui wanazz mnyama mmoja anaitwa liger huyio ndo hatari zaidi,ana ngvu,speed,meno makali na ni mkubwa kwa umbo ukimuona tu unaweza kuanza kulia....

liger 2.jpg

liger.jpg

hapa wakishiriki tendo la kumtafuta liger
liger 3.jpg
 
Mkuu Mndengereko ni balaa huyu mnyama aise na ukiangalia documentary zake dah utapenda anavyowinda
 
Last edited by a moderator:
Kwa haraka haraka kama wapo kumi na tatu kama niko sawa, pungufu mama yao au sijui na yeye yumo humo
 
Mkuu Mndengereko ni balaa huyu mnyama aise na ukiangalia documentary zake dah utapenda anavyowinda
ila kwa twiga kwa kweli cha moto huwa anakiona sema ninachowapenda huwa wana ushirikiano wakishamuweka mtu kati tu basi hatoki tena hapo,bora mmoja avunjike hata mguu ila mnyama lazima aliwe
 
ila kwa twiga kwa kweli cha moto huwa anakiona sema ninachowapenda huwa wana ushirikiano wakishamuweka mtu kati tu basi hatoki tena hapo,bora mmoja avunjike hata mguu ila mnyama lazima aliwe

Na Mbogo pia wakikutana na ambaye ni ngangari kuna uwezekano wa simba kuuwawa akiingia kwenye pembe zake
 
Na Mbogo pia wakikutana na ambaye ni ngangari kuna uwezekano wa simba kuuwawa akiingia kwenye pembe zake
yah ila huwa anafanyiwa timing sana,hawa wanyama wengine Mungu angewapa akili ya kushirikiana kama simba wanavyofanya basi simba wangekuwa wanapata tabu sana
 
yah ila huwa anafanyiwa timing sana,hawa wanyama wengine Mungu angewapa akili ya kushirikiana kama simba wanavyofanya basi simba wangekuwa wanapata tabu sana

Wale wana miili mikubwa na wako wengi ila utashangaa simbawawili au watatu wanasambaratisha kundi na kutoka na mmoja wao na kuishiwa kuliwa wakiwa wanaangalia hivi
 
Wale wana miili mikubwa na wako wengi ila utashangaa simbawawili au watatu wanasambaratisha kundi na kutoka na mmoja wao na kuishiwa kuliwa wakiwa wanaangalia hivi
hahaha yaani mazuzu kweli alafu baada ya muda yanasahu yanasogea karibu na alipo simba
 
hahaha yaani mazuzu kweli alafu baada ya muda yanasahu yanasogea karibu na alipo simba

Ila kuna documentary nyingine jamaa alipambana nao akamuua mmoja wao japo nae aliliwa ila alihakikisha ameondoka na mmoja alikosea timing kaenda kwenye pembe mbogo alimchota mbaya kabisa
 
Baba gani huyo hana hata wallet?
Sogea karibu yake utaiona ubavuni. Hushangai watoto wanakula vizuri, wanasoma mpaka wanajua huyu analiwa yule haliwi, wife anazidi kunawiri, unafikiri bila wallet ingekuwaje.
 
Sogea karibu yake utaiona ubavuni. Hushangai watoto wanakula vizuri, wanasoma mpaka wanajua huyu analiwa yule haliwi, wife anazidi kunawiri, unafikiri bila wallet ingekuwaje.

Huwajui Simba weye!

It is a common misconception that male lions don't hunt. Whilst females do the majority of the hunting for the pride, males will join in on occasion, particularly when hunting large prey such as buffalo. Also, young males who have left their natal pride but not yet taken over one of their own have no choice but to hunt for themselves
 
Back
Top Bottom