Baba wa familia

Baba wa familia

Aiseeeee nimekubali...

Hata wao wana JOHN KOMBA wao!Ila hajui kuimba tu

images
 
Heaven on Earth ghafla kapachuti kako kadondokee hapo kati kati yao nafikiri utalia kikwenu
cc Tized, Mndengereko, Ntuzu na utafiti

Wakuu Mimi niliwahi kungia ktk anga za hao viumbe miaka ya 2003 nilopokua nawafanya biashara ya mbao ktk mapoli ya Tabora nilopokua nakusanya mbao kutoka kwa wachanaji kupeleka kambini! Ilikua mida ya Saa Moja Usiku nikiwa na baiskeli Pamoja na shoka km silaha! Ghafla nikaona macho mekundu km yanamulika mbele yng! Wakati huo Nilikua ktk eneo ambalo ni Mbuga hakuna ata miti mikubwa ya kupanda ili ujiokoe! Vilikuwepo vi miti vidogo vidogo tu!
 
Last edited by a moderator:

Hebu malizia story bana ilikuwaje na nini kilitokea maana najua hapop ni majanga Mndengereko na utafiti na Tized hebu msikilizeni Ntuzu hapa
 
sasa ndo nini kutuweka hamu mkuu alafu humalizii stori,embu tuambie ulichoropoka vipi,tuntaka kujua labada na sisi tunaweza kutumia mbinu kama hiyo siku nyingine na sisi tukioatwa na janga kama hilo
 
Nilijua tu mtakuja na hamu kutaka kujua kwa hamu kipi kilitokea! Ntakua nawapa kidogo kidogo mpk ntamaliza Maana niko kibaruani!
sasa huu muda wakati umeandika haya maelezo kwamba upo kibaruani kwa nini usingeandika walau kidogo nini kiliendelea?
 
sasa ndo nini kutuweka hamu mkuu alafu humalizii stori,embu tuambie ulichoropoka vipi,tuntaka kujua labada na sisi tunaweza kutumia mbinu kama hiyo siku nyingine na sisi tukioatwa na janga kama hilo

Basi, baada ya kuona vitu vyekundu vinang'aa mbele km mwangaza unaofifia, Nilikua na jamaa yng mmoja alikua ananisaidia kusukuma mbao! Basi nikamwambia vile vitu gani? Yule jamaa akashituka sn kuona Yale macho! Wakati huo Simba Wakawa wamekazana sasa kututizama km wametutambua sasa! Na Yale macho Yao yakazidi kung'aa na kuwaka! Basi Yule jamaa yng akapiga kelele simba simba huku akinikimbia!

Basi nikampigia kelele nikamwambia usikimbie tukaachana polini humu Utapata matatizo huko Au kupotea then iwe shida ingine! Tukomae tu wote! Wakati huo Tuko na shoka Moja tu km silaha! Basi simba Wakawa wamesimama mbele yetu km Mita 20 ivi!
 
utafiti, Mndengereko, Tized unamuona jamaa hapo juu anataka kututoa tuu stimu hapa eti yuko kibaruani anataka kutupa story kidogo kidogo kwani Ntuzu amekuwa G Sam

Wakuu wangu msiwe na hofu ntawasimulia tu Kadri niwezavyo! Na niwaombe mtulie tu naelewa Mko na hamu kutaka kujua na Mimi ntafanya vyote ntaandika huku nachapa kz!
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu acha kutuletea hadithi za shigongo itaendelea baadae bana malizioa story
 
Last edited by a moderator:
Nilijua tu mtakuja na hamu kutaka kujua kwa hamu kipi kilitokea! Ntakua nawapa kidogo kidogo mpk ntamaliza Maana niko kibaruani!
Ntuzu unatupotezea au?
 
Last edited by a moderator:
Basi mwenzangu akawa kanielewa akawa katulia.

Basi mi nikasogea ktk kichaka ili nikate fimbo fupi fupi wanaita vigivigi ili tuwarushie hao simba kwa kuwapiga wasambae!

Basi nikiwa nakata zile fimbo Yule jamaa yng akaja speed nikamuuliza vp Yani alikua anatetemeka! Basi mimi Siku Hiyo Nilikua na ujasiri Wa ajabu na Mungu ni Wa ajabu sn! Maana km Upo ktk anga za Hatari basi ujasiri huja mwingi sn Na kusema liwalo na Liwe!
 
Ntuzu acha kutuletea hadithi za shigongo itaendelea baadae bana malizioa story

Mkuu Hili ni Tukio lililonitukia Mimi Kweli! Na Labda nikwambie kwa Watu Waliofanya Au wanafanya kz Mapolini haya mambo huwatokea sn!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom