National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Ukijikausha utaona anapunguza hivyo vimbwanga.. huwa wanatabia ya kutest mambo.. unakuta usingizi umemuisha anatakaa aanze kusumbua..Mpenzi wangu mimi ni mwezi wa tano mwaka huu Mungu atupe Mungu tuvuke salama maana mmmh changamoto sana mara kiuno, mara hawezi kukaa, kulala shida yaani kuna muda tunakesha anasema kiuno kinauma