Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,759
- 37,372
Ooooohooo mnaona Sasa!hizo Ni dishi za kuoshea mboga jikoni[emoji1787]jipangeni bhana
kuzaa sio tabu bali kuelea mimba na mtoto kuwepo matunzo.
Ukiniona baba mzazi unaweza kusema fidodido
Ooooohooo mnaona Sasa!hizo Ni dishi za kuoshea mboga jikoni[emoji1787]jipangeni bhana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mi nategemea kupata first born wangu mwezi April mungu asaidie ila sitosahau kile kipindi kuanzia mimba ina week hadi miezi 3 ilikua balaa
2023.Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.
Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.
Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;
1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.
2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.
3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.
Kama kuna la kuongozea niongezee.
Tuko pamoja kwenye mwezi huo welcoming my third.Mi nategemea kupata first born wangu mwezi April mungu asaidie ila sitosahau kile kipindi kuanzia mimba ina week hadi miezi 3 ilikua balaa
Dah mi mbunye sipewi na nimejicommit kutomsalit hadi ajifungue[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Noma sana, mimi nilikuwa naambiwa nanuka hata kama nimetoka kuoga, kulala ikawa mzungu wa nne, mara nyingine hadi tunapishana kabisa
Wangu alikuwa anatapika kila kitu kwa almost miezi miwili baada ya hapo ndiyo akatulia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema sio kwa kila mtu kwangu mimi ilikua tofauti ( i have a kid, She is 7month now[emoji3062]) yan sijawahi tapika, wala kuwa na dalili kama za watu wengine aiseeee[emoji18][emoji18]
Safi sana hongera kaka kwa magoli ya ushindiTuko pamoja kwenye mwezi huo welcoming my third.
Pole sana, hilo nalo linategemea mtu na mtu. Mimi hiyo adha sikuipataDah mi mbunye sipewi na nimejicommit kutomsalit hadi ajifungue
Umeshamaliza mkuu sasa sisi tutakushauri nini tena. Kwa mwanaume hayo ndo makubwa unayotakiwa kuyajua. Mengine tuachieni tu wenyewe Mungu ndo anaejua.Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.
Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.
Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;
1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.
2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.
3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.
Kama kuna la kuongozea niongezee.
Aisee mimi sikupitia hii changamoto, nilipendwa kupita kiasi ikawa raha mustarehe ila changamoto mwanzoni kwenye kutapika tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Noma sana, mimi nilikuwa naambiwa nanuka hata kama nimetoka kuoga, kulala ikawa mzungu wa nne, mara nyingine hadi tunapishana kabisa
Utapata tuJF bhana kila mtu ana mimba hapa na kila mmoja anatarajia kupata mtoto mwaka huu, sisi wengine tunashukuru kwa yote mwaka wa 12 sasa bila bila, alhamdulillah.
Tuko pamoja mkuuSafi sana hongera kaka kwa magoli ya ushindi
AmenIt's February baby 👶 soon anakuja mwamba mkombozi wa wanyonge
Mungu atakujaaliaJF bhana kila mtu ana mimba hapa na kila mmoja anatarajia kupata mtoto mwaka huu, sisi wengine tunashukuru kwa yote mwaka wa 12 sasa bila bila, alhamdulillah.
Mtoto wangu wa kwanza nilikuwa napenda sana delibolo mpaka siku naenda leba nikapata mrembo pisi kali kabisa. Hii sitaki hata kulisikia yaani hata kuwaza najisikia kichefuchefu hata kuguswa najisikia kinyaa wengi wanasema litakuwa jembe nasubiri kwa hamu nione. Mungu atusaidieDah mi mbunye sipewi na nimejicommit kutomsalit hadi ajifungue